Kwaheri Dkt. Mkamilo, tunaomba Rais Samia utuletee Mkurugenzi mpya wa TARI

May 12, 2023
11
2
23/5/2018 aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI).

Taarifa ilisema uteuzi wa Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo ulianza tarehe 22 Mei, 2018 na kabla ya uteuzi huu, alikuwa Mkurugenzi wa Utafiti wa Kilimo, Kanda ya Mashariki, Kituo cha Utafiti wa Kilimo Ilonga Mkoani Morogoro. Ukurasa wa 8 wa TARI Scheme of Service umeweka sifa za kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI na kipindi cha miaka 5 kama tenure ya uongozi kwa mtu anayeshikilia nafasi hiyo. Vilevile, mtu kama ana sifa anaweza kuteuliwa tena kwa nafasi hiyo kwa kipindi kingine.

Kipindi cha miaka 5 ya Dr Mkamilo ambaye kwasasa ana umri wa miaka 59 na akiwa njiani kustaafu Rasmi kazi za Utumishi wa umma mwaka 2024 kimemalizika 21/5/2023 saa 11:00 jioni kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Hivyo kwa mujibu wa TARI Scheme of Service Dr Mkamilo siyo Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Mbali na kumaliza kipindi chake kisheria, Dr Mkamilo ameendelea kukalia ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Jambo hili ni baya sana na linahatarisha uhai wa Taasisi ya TARI. Ni makosa makubwa kisheria mtu ambaye hana mamlaka au kuidhinishwa kufanya kazi yoyote ile au kuelekeza watu kufanya kazi.

Dkt. Mkamilo kwasasa ndani ya TARI ni kama strenger. Na kazi zote ambazo amefanya baada ya kipindi cha uongozi wake kumalizika hazina uhalali wowote maana hakuwa na mamlaka ya kufanya hivyo. Tunapata mashaka makubwa kuamini kwamba makosa mengi ya makusudi yaliyofanywa na Dkt. Mkamilo hasa hasa kwenye eneo la fedha na unyanyasaji wa watumishi ni kwa sababu alijua kuwa yeye siyo mtu sahihi kwa muda huu na kipindi chake cha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI kimemalizika. Dr Mkamilo kuendelea kuwapangia watumishi majukumu ya kufanya na kuhamisha wengine asiowapenda wakati yeye siyo mtu halali kwa nafasi aliyopo hili nalo nikosa jingine na kazi zote zinazofanywa na watumishi kwa maelekezo ya Dr Mkamilo nazo siyo halali.

Tunamshauri Dr Mkamilo amuandikie barua Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassani kumtaarifu kuwa muda wake wa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI umemalizika mwezi Mei 21, 2023 na mpaka sasa ana umri wa miaka 59 kuelekea kustaafu utumishi wa umma. Na ajieleze kwanini ameendelea kufanya kazi ambazo hana mamlaka kuzifanya baada ya kujua kuwa muda wa uongozi wake umekwisha. Tunamuomba Rais wetu mpendwa Dr Samia Suluhu Hassani ateue mtu mwingine mwenye sifa sitahiki kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI maana kwasasa TARI haina Mkurugenzi Mkuu.

KWA HERI DKT MKAMILO: RAIS SAMIA TEUA MKUGENZI MPYA WA TARI

23/5/2018 aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI). Taarifa ilisema uteuzi wa Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo ulianza tarehe 22 Mei, 2018 na kabla ya uteuzi huu, alikuwa Mkurugenzi wa Utafiti wa Kilimo, Kanda ya Mashariki, Kituo cha Utafiti wa Kilimo Ilonga Mkoani Morogoro.

Ukurasa wa 8 wa TARI Scheme of Service umeweka sifa za kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI na kipindi cha miaka 5 kama tenure ya uongozi kwa mtu anayeshikilia nafasi hiyo. Vilevile, mtu kama ana sifa anaweza kuteuliwa tena kwa nafasi hiyo kwa kipindi kingine.

Kipindi cha miaka 5 ya Dr Mkamilo ambaye kwasasa ana umri wa miaka 59 na akiwa njiani kustaafu Rasmi kazi za Utumishi wa umma mwaka 2024 kimemalizika 21/5/2023 saa 11:00 jioni kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Hivyo kwa mujibu wa TARI Scheme of Service Dr Mkamilo siyo Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Mbali na kumaliza kipindi chake kisheria, Dr Mkamilo ameendelea kukalia ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa TARI.

Jambo hili ni baya sana na linahatarisha uhai wa Taasisi ya TARI. Ni makosa makubwa kisheria mtu ambaye hana mamlaka au kuidhinishwa kufanya kazi yoyote ile au kuelekeza watu kufanya kazi. Dr Mkamilo kwasasa ndani ya TARI ni kama strenger. Na kazi zote ambazo amefanya baada ya kipindi cha uongozi wake kumalizika hazina uhalali wowote maana hakuwa na mamlaka ya kufanya hivyo.

Tunapata mashaka makubwa kuamini kwamba makosa mengi ya makusudi yaliyofanywa na Dr Mkamilo hasa hasa kwenye eneo la fedha na unyanyasaji wa watumishi ni kwa sababu alijua kuwa yeye siyo mtu sahihi kwa muda huu na kipindi chake cha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI kimemalizika. Dr Mkamilo kuendelea kuwapangia watumishi majukumu ya kufanya na kuhamisha wengine asiowapenda wakati yeye siyo mtu halali kwa nafasi aliyopo hili nalo nikosa jingine na kazi zote zinazofanywa na watumishi kwa maelekezo ya Dr Mkamilo nazo siyo halali.

Tunamshauri Dr Mkamilo amuandikie barua Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassani kumtaarifu kuwa muda wake wa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI umemalizika mwezi Mei 21, 2023 na mpaka sasa ana umri wa miaka 59 kuelekea kustaafu utumishi wa umma.

Na ajieleze kwanini ameendelea kufanya kazi ambazo hana mamlaka kuzifanya baada ya kujua kuwa muda wa uongozi wake umekwisha. Tunamuomba Rais wetu mpendwa Dr Samia Suluhu Hassani ateue mtu mwingine mwenye sifa sitahiki kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI maana kwasasa TARI haina Mkurugenzi Mkuu.
 
Wewe utakuwa ni mmoja wa wanataka nafasi yake au uko kwenye kundi linalotaka kuweka mkurugenzi mkuu hapo.

Kwa taarifa Yako ataletwa mtu ambaye hukumdhania.
 
Rais anaweza kumwongezea miaka mingine mitano hata kama amefikisha umri wa kustaafu.

Lakini pia anaweza kumwongezea muda uliobaki mpaka pale atakapo staafu kwa mujibu wa sheria.

Kuna wakurugenzi wakuu wa taasisi kadhaa nchini wanakaribia 70 sasa hivi.

Hadi pale mtakapoletewa mtu mwingine huyo bado ni kiongozi wenu.
 
Nadhani mtoa mada hajajenga hoja vizuri. Suala la Mkamilo siyo tu muda wake wa kuwa DG wa TARI umekwisha, bali kwa muda huu anatakiwa awe mahakamani kujibu tuhuma za wizi, rushwa, uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka. Mtoa mada hakusema haya. Nashauri TAKUKURU waharakishe shughuli zao zinazoendelea nadani ya TARI
 
Rais ndio mwenye maamuzi na hili na atalifanyia kazi. Huyu Dr Mkamilo aliwahi kumuajiri mke wake ambaye ni div 4 ya mwisho. Ukiangalia vyeti
Nadhani mtoa mada hajajenga hoja vizuri. Suala la Mkamilo siyo tu muda wake wa kuwa DG wa TARI umekwisha, bali kwa muda huu anatakiwa awe mahakamani kujibu tuhuma za wizi, rushwa, uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka. Mtoa mada hakusema haya. Nashauri TAKUKURU waharakishe shughuli zao zinazoendelea nadani ya TARI
 
Kwaheri Dkt. Mkamilo, tunaomba Rais Dr Samia utuletee Mkurugenzi mpya wa TARI

11/6/23 tulimuomba Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan atuletee Mkurugenzi Mpya wa TARI. Tunataka kusema ukiyaona ya Mussa utayaona ya Dr Mkamilo na watetezi wake. Kuna baadhi ya watumishi wake wachache sana ambao wanakubaliana na mfumo mbovu walijitokeza kumtetea. Baadhi wanasema kafanya mengi badala ya kusema kabomoa mengi mazuri na kuanzisha mabaya yasiyokubalika katika utumishi wa umma na Serikali ya awamu ya 6 haiyakubali. Huyu mzee ana madudu mengi sana ambayo wahusika wakiyafuatilia wao watapigwa na butwaa kabla yenu ninyi wananchi ambao mpo humu kwenye mahakama yetu ya wananchi. Ngoja leo nitolee maelezo mfano mdogo wa kuajiri watu wa familia yake ambao hawana sifa wala uwezo na kuwa watumishi wa Taasisi nyeti, muhimu na ya kisayansi kama TARI inayoongozwa na Dr Mkamilo.

Hebu wenye nia njema na Taifa na kutetea ajira kwa vijana wanaohotimu vyuo fuatilieni lengo la kuanzishwa kwa TARI. Hii TARI hii ni taasisi ambayo ilianzishwa kwa ajili ya kufanya Utafiti kwenye masuala ya kilimo. Tunapozungumzia TARI ndio msingi wetu mkubwa kwenye kilimo. Watumishi wengi wa TARI ni wale ambao wamesoma sayansi ya kilimo na watu ambao wana akili nzuri isiyotiliwa shaka kwenye mambo ya kitafiti. Hali hii imekuwa tofauti kwa familia ya Dr Mkamilo.

Utaratibu wa Vyuo vya Ngazi ya Kati ya Elimu za Sayansi ya Kilimo, ni kwamba vyuo hivi huwa vinadahiri wanafunzi ambao wana ufaulu kwenye masomo ya sayansi kwa kidato cha nne au kidato cha sita.

Dr Mkamilo kama Mkurugenzi mkuu wa TARI alimuajiri mke wake ambaye ana ufaulu wa div 4 ya pointi 33 kwa masomo ya kidato cha nne. Huyu mke wake huyu ana ufaulu wa D mbili tu nazo ni kwenye masomo ya kiswahili (D) na historia (D). Masomo mengine ya civics (F), hesabu (F), biology (F), English (F), Geography (F), Literature (F) na mengine yote unayoyafahamu ni F. Kumbukumbu za ufaulu huu zipo TARI na zipo chuo Cha MATI Tumbi. Mnaohusika na ufuatiliaji haiitaji kwenda kwenye Taasisi hizi, mpigie Mkurugenzi Mkuu wa TARI na Mkuu wa Chuo Cha MATI Tumbi watume vyeti hivi mtacomfirm wenyewe. Sasa tunauliza iweje mtu huyu akawa muajiriwa ndani ya TARI? Je hicho chuo alichosoma stashahada ya kilimo kinazingatia ufaulu gani? Nauliza juu ya Chuo kwa sababu ili mwanafunzi kujiunga na masomo ya Kilimo Kwa elimu ya kati anahitaji kuwa na ufaulu wa chini ambao ni D physics, D Kemia, D biolojia, D hesabu au geography na D kiingereza (Hivi ni vigezo ambavyo vimewekwa na Wizara ya Kilimo na unaweza kutembelea website ya Wizara ili kujisomea vigezo hivi) lakini chuo cha MATI Tumbi hawakuzingatia vigezo hivyo. Huyu mama masomo muhimu yote yanayohitajika kuwa mtumishi wa TARI ana F lakini haikuwa na shida kwa mme wake kuchomeka jina la mke wake kwenye Taasisi yenye wasomi wakubwa ndani ya Taifa hili. Lakini vijana wenye weledi na ufaulu mzuri wanakosa ajira ila huyu mama anapata faster ajira ndani ya TARI Taasisi ya kisayansi ambayo lugha zake ni za kisayansi.

Nimefanya kazi na huyu mama TARI Makutupora tangu 2018. Sasa iko hivi watafiti wanapomuelekeza kufanya kazi kwa lugha ya kiingereza anashindwa kuelewa maelekezo ya kisayansi anayopewa, wakimpa sampuli za maabara anazimwaga kwa kutetemeka mikono kwa sababu hajawahi kutumia vifaa vya maabara, wakimwambia apange jaribio anasahau mapema hayo mambo mazito ya majaribio, wakimtuma kazi haelewi nao wanamuogopa ni nke wa boss wao. Taifa linapata hasara kubwa kupitia ajira za mchongo za namna hii. Nalo tunasubiri watu wa Dubai watuletee utaalam wao kwenye eneo hili ?

Halafu huyu mama sio kosa lake, kosa ni kwamba ufaulu na masomo yake hayamruhusu kufanya kwenye Taasisi ambazo sayansi zake zinahusu Biolojia, Kemia, Fizikia na hesabu ambayo hana msingi nayo. Kosa ni la Mkurugenzi Mkuu ambaye kwa makusudi alitumia akili yake vibaya na kuingiza mambo ya kifamilia kwenye Utumishi wa umma.

Huyu mama Mkamilo amekuwa technician kwa kipindi cha miaka 5 ndani ya TARI tena akiharibu majaribio na watafiti kumuogopa nke wa boss wao. Bado kwa nguvu za mme wake, huyu mama amepandishwa cheo kutoka kuwa Technician na kuwa mkufunzi mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha usambazaji Teknolojia za kilimo kiitwacho Agri Hub kilichopo jijini Dodoma eneo la Nzuguni. Hiki Kituo kinamilikiwa na TARI Makutupora.

Kama hujui ndugu yangu kilimo ni uti mgongo wa nchi yetu. Zaidi ya asilimia 70 ndio watanzania wanaojihusisha na kilimo. Na isitoshe kilimo kwenye nchi yetu ni sekta ambayo ina asilimia 26 kwenye GDP ya nchi. Hivi ni kwanini watu wanaichukulia nchi yetu kama shamba la bibi? Basi Dr Mkamilo asiiheshimu TARI basi awaheshimu watanzania ambao wanategemea kilimo katika nchi hii. Ni vijana wangapi wenye ufaulu mzuri kwenye masuala ya kilimo na hawana ajira kwa sababu ya watu wachache wenye ulafi kwenye madaraka?

Hali ilivyo sasa, wakulima nao wameanza kulalamika kwamba wakifika pale Nzuguni huyu mama anashindwa kuwaelezea vizuri wakamuelewa. Vijana wa BBT nao wamelalamikia hili. Yaaani wakulima wa sasa wana uelewa mkubwa sana na wengine wamehitimu vyuo na kujiajiri kwenye kilimo. Hawa wanahitaji watu wenye weledi na uwezo mkubwa kuwapa maelezo. Mkulima mwenye C ya biolojia na B ya agricultural science kwenye kidato cha 4 unahisi atamuelewa huyu mama? Rais Dr Samia amefanya kazi kwenye shirika la World Food Programme (WFP), siku mama anatembelea eneo hili kujua Teknolojia zinazotolewa na akaongozana na wageni wa kimataifa hali itakuwaje pale ?

Hii inatufanya kumuomba Rais wetu mpendwa Dr Samia atusaidie mzigo huu mzito. Tunaamini Rais ana malengo mazuri na nchi yetu hasa kwa Sekta ya Utafiti wa Kilimo lakini kuna watu wachache kama Dr Mkamilo ambao wanataka kumuangusha. Elimu ya Dr Mkamilo ni nzuri mno lakini anatumia elimu yake kwa ajili ya maslahi yake binafisi. Huyo ni mke wake ambaye ni muajiriwa ndani ya TARI lakini ni failure wa kidato cha nne.

Wakati mwingine watu hatuna shida binafisi na watu kama Dr Mkamilo lakini shida inatokea baada ya wao ubinafisi wao kuuingiza na kuuhusisha na masuala ya umma. Kuna kijana wake alifeli chuo kikuu cha SUA 2015 lakini kijani huyo alimuweka kusimamia mradi mkubwa wa Utafiti wa mihogo humo TARI🥹. Mradi huu ulishindwa kutoa matokeo. Huu uzi umeletwa kuonesha wale wanaomsifia Dr Mkamilo kwa maslahi yao binafisi kwamba wanakosea sana. Tulinde Taifa letu na tumsaidie Rais. Mkiendelea kumtetea teba tutaleta mengine mengi ambayo tunayafahamu. Tunaomba Mhe Rais ateue mtu mwingine mwenye kujali misingi imara ya Utafiti na kuheshimu sayansi ili kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Huyu Dr Mkamilo apangiwe majukumu mengine ambayo anayaweza na mke wake atafutiwe eneo sahihi analoliweza na kuondolewa kwenye Taasisi ya kisayansi inayoheshimika kikanda na kimataifa ya TARI
 
I know the guy he is such a smart scientist
mengine ni ubinadamu acha roho mbaya. na wewe mchukue mkeo mpe kazi kiazi wewe.
 
23/5/2018 aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI).

Taarifa ilisema uteuzi wa Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo ulianza tarehe 22 Mei, 2018 na kabla ya uteuzi huu, alikuwa Mkurugenzi wa Utafiti wa Kilimo, Kanda ya Mashariki, Kituo cha Utafiti wa Kilimo Ilonga Mkoani Morogoro. Ukurasa wa 8 wa TARI Scheme of Service umeweka sifa za kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI na kipindi cha miaka 5 kama tenure ya uongozi kwa mtu anayeshikilia nafasi hiyo. Vilevile, mtu kama ana sifa anaweza kuteuliwa tena kwa nafasi hiyo kwa kipindi kingine.

Kipindi cha miaka 5 ya Dr Mkamilo ambaye kwasasa ana umri wa miaka 59 na akiwa njiani kustaafu Rasmi kazi za Utumishi wa umma mwaka 2024 kimemalizika 21/5/2023 saa 11:00 jioni kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Hivyo kwa mujibu wa TARI Scheme of Service Dr Mkamilo siyo Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Mbali na kumaliza kipindi chake kisheria, Dr Mkamilo ameendelea kukalia ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Jambo hili ni baya sana na linahatarisha uhai wa Taasisi ya TARI. Ni makosa makubwa kisheria mtu ambaye hana mamlaka au kuidhinishwa kufanya kazi yoyote ile au kuelekeza watu kufanya kazi.

Dkt. Mkamilo kwasasa ndani ya TARI ni kama strenger. Na kazi zote ambazo amefanya baada ya kipindi cha uongozi wake kumalizika hazina uhalali wowote maana hakuwa na mamlaka ya kufanya hivyo. Tunapata mashaka makubwa kuamini kwamba makosa mengi ya makusudi yaliyofanywa na Dkt. Mkamilo hasa hasa kwenye eneo la fedha na unyanyasaji wa watumishi ni kwa sababu alijua kuwa yeye siyo mtu sahihi kwa muda huu na kipindi chake cha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI kimemalizika. Dr Mkamilo kuendelea kuwapangia watumishi majukumu ya kufanya na kuhamisha wengine asiowapenda wakati yeye siyo mtu halali kwa nafasi aliyopo hili nalo nikosa jingine na kazi zote zinazofanywa na watumishi kwa maelekezo ya Dr Mkamilo nazo siyo halali.

Tunamshauri Dr Mkamilo amuandikie barua Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassani kumtaarifu kuwa muda wake wa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI umemalizika mwezi Mei 21, 2023 na mpaka sasa ana umri wa miaka 59 kuelekea kustaafu utumishi wa umma. Na ajieleze kwanini ameendelea kufanya kazi ambazo hana mamlaka kuzifanya baada ya kujua kuwa muda wa uongozi wake umekwisha. Tunamuomba Rais wetu mpendwa Dr Samia Suluhu Hassani ateue mtu mwingine mwenye sifa sitahiki kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI maana kwasasa TARI haina Mkurugenzi Mkuu.

KWA HERI DKT MKAMILO: RAIS SAMIA TEUA MKUGENZI MPYA WA TARI

23/5/2018 aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI). Taarifa ilisema uteuzi wa Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo ulianza tarehe 22 Mei, 2018 na kabla ya uteuzi huu, alikuwa Mkurugenzi wa Utafiti wa Kilimo, Kanda ya Mashariki, Kituo cha Utafiti wa Kilimo Ilonga Mkoani Morogoro.

Ukurasa wa 8 wa TARI Scheme of Service umeweka sifa za kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI na kipindi cha miaka 5 kama tenure ya uongozi kwa mtu anayeshikilia nafasi hiyo. Vilevile, mtu kama ana sifa anaweza kuteuliwa tena kwa nafasi hiyo kwa kipindi kingine.

Kipindi cha miaka 5 ya Dr Mkamilo ambaye kwasasa ana umri wa miaka 59 na akiwa njiani kustaafu Rasmi kazi za Utumishi wa umma mwaka 2024 kimemalizika 21/5/2023 saa 11:00 jioni kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Hivyo kwa mujibu wa TARI Scheme of Service Dr Mkamilo siyo Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Mbali na kumaliza kipindi chake kisheria, Dr Mkamilo ameendelea kukalia ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa TARI.

Jambo hili ni baya sana na linahatarisha uhai wa Taasisi ya TARI. Ni makosa makubwa kisheria mtu ambaye hana mamlaka au kuidhinishwa kufanya kazi yoyote ile au kuelekeza watu kufanya kazi. Dr Mkamilo kwasasa ndani ya TARI ni kama strenger. Na kazi zote ambazo amefanya baada ya kipindi cha uongozi wake kumalizika hazina uhalali wowote maana hakuwa na mamlaka ya kufanya hivyo.

Tunapata mashaka makubwa kuamini kwamba makosa mengi ya makusudi yaliyofanywa na Dr Mkamilo hasa hasa kwenye eneo la fedha na unyanyasaji wa watumishi ni kwa sababu alijua kuwa yeye siyo mtu sahihi kwa muda huu na kipindi chake cha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI kimemalizika. Dr Mkamilo kuendelea kuwapangia watumishi majukumu ya kufanya na kuhamisha wengine asiowapenda wakati yeye siyo mtu halali kwa nafasi aliyopo hili nalo nikosa jingine na kazi zote zinazofanywa na watumishi kwa maelekezo ya Dr Mkamilo nazo siyo halali.

Tunamshauri Dr Mkamilo amuandikie barua Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassani kumtaarifu kuwa muda wake wa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI umemalizika mwezi Mei 21, 2023 na mpaka sasa ana umri wa miaka 59 kuelekea kustaafu utumishi wa umma.

Na ajieleze kwanini ameendelea kufanya kazi ambazo hana mamlaka kuzifanya baada ya kujua kuwa muda wa uongozi wake umekwisha. Tunamuomba Rais wetu mpendwa Dr Samia Suluhu Hassani ateue mtu mwingine mwenye sifa sitahiki kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI maana kwasasa TARI haina Mkurugenzi Mkuu.
Mpeni Mama Luambano PhD
 
Dr Mkamilo ni mtu poa sana ,sijui umeandika ukiwa na yako moyoni au roho mbaya ya familia zetu za kimaskini.

Dr Mkamilo kafanya vitu vingi vizuri kama MKURUGENZI hapo TARI.
Kama unafanya kazi TARI basi utakua ni wale wafanyakazi wazembe.
Mpeni Mama Luambano PHD
 
I know the guy he is such a smart scientist
mengine ni ubinadamu acha roho mbaya. na wewe mchukue mkeo mpe kazi kiazi wewe.
Mpeni Mama Luambano Nessie PHD

Sasa ni wakati wa akina Mama

Akina Mama oyeee

Mnahangaika wakati mnajua sasa ni zamu za akina Mama

Centre za TARI hazifiki kumi
 
Wewe utakuwa ni mmoja wa wanataka nafasi yake au uko kwenye kundi linalotaka kuweka mkurugenzi mkuu hapo.

Kwa taarifa Yako ataletwa mtu ambaye hukumdhania.
Mleta mada ni mtumishi wa TARi lakini tatizo hana PhD

Wenzake huko wana PhD na ni wanawake

Mleta mada atakuwa ni Male
 
23/5/2018 aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI).

Taarifa ilisema uteuzi wa Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo ulianza tarehe 22 Mei, 2018 na kabla ya uteuzi huu, alikuwa Mkurugenzi wa Utafiti wa Kilimo, Kanda ya Mashariki, Kituo cha Utafiti wa Kilimo Ilonga Mkoani Morogoro. Ukurasa wa 8 wa TARI Scheme of Service umeweka sifa za kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI na kipindi cha miaka 5 kama tenure ya uongozi kwa mtu anayeshikilia nafasi hiyo. Vilevile, mtu kama ana sifa anaweza kuteuliwa tena kwa nafasi hiyo kwa kipindi kingine.

Kipindi cha miaka 5 ya Dr Mkamilo ambaye kwasasa ana umri wa miaka 59 na akiwa njiani kustaafu Rasmi kazi za Utumishi wa umma mwaka 2024 kimemalizika 21/5/2023 saa 11:00 jioni kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Hivyo kwa mujibu wa TARI Scheme of Service Dr Mkamilo siyo Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Mbali na kumaliza kipindi chake kisheria, Dr Mkamilo ameendelea kukalia ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Jambo hili ni baya sana na linahatarisha uhai wa Taasisi ya TARI. Ni makosa makubwa kisheria mtu ambaye hana mamlaka au kuidhinishwa kufanya kazi yoyote ile au kuelekeza watu kufanya kazi.

Dkt. Mkamilo kwasasa ndani ya TARI ni kama strenger. Na kazi zote ambazo amefanya baada ya kipindi cha uongozi wake kumalizika hazina uhalali wowote maana hakuwa na mamlaka ya kufanya hivyo. Tunapata mashaka makubwa kuamini kwamba makosa mengi ya makusudi yaliyofanywa na Dkt. Mkamilo hasa hasa kwenye eneo la fedha na unyanyasaji wa watumishi ni kwa sababu alijua kuwa yeye siyo mtu sahihi kwa muda huu na kipindi chake cha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI kimemalizika. Dr Mkamilo kuendelea kuwapangia watumishi majukumu ya kufanya na kuhamisha wengine asiowapenda wakati yeye siyo mtu halali kwa nafasi aliyopo hili nalo nikosa jingine na kazi zote zinazofanywa na watumishi kwa maelekezo ya Dr Mkamilo nazo siyo halali.

Tunamshauri Dr Mkamilo amuandikie barua Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassani kumtaarifu kuwa muda wake wa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI umemalizika mwezi Mei 21, 2023 na mpaka sasa ana umri wa miaka 59 kuelekea kustaafu utumishi wa umma. Na ajieleze kwanini ameendelea kufanya kazi ambazo hana mamlaka kuzifanya baada ya kujua kuwa muda wa uongozi wake umekwisha. Tunamuomba Rais wetu mpendwa Dr Samia Suluhu Hassani ateue mtu mwingine mwenye sifa sitahiki kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI maana kwasasa TARI haina Mkurugenzi Mkuu.

KWA HERI DKT MKAMILO: RAIS SAMIA TEUA MKUGENZI MPYA WA TARI

23/5/2018 aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI). Taarifa ilisema uteuzi wa Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo ulianza tarehe 22 Mei, 2018 na kabla ya uteuzi huu, alikuwa Mkurugenzi wa Utafiti wa Kilimo, Kanda ya Mashariki, Kituo cha Utafiti wa Kilimo Ilonga Mkoani Morogoro.

Ukurasa wa 8 wa TARI Scheme of Service umeweka sifa za kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI na kipindi cha miaka 5 kama tenure ya uongozi kwa mtu anayeshikilia nafasi hiyo. Vilevile, mtu kama ana sifa anaweza kuteuliwa tena kwa nafasi hiyo kwa kipindi kingine.

Kipindi cha miaka 5 ya Dr Mkamilo ambaye kwasasa ana umri wa miaka 59 na akiwa njiani kustaafu Rasmi kazi za Utumishi wa umma mwaka 2024 kimemalizika 21/5/2023 saa 11:00 jioni kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Hivyo kwa mujibu wa TARI Scheme of Service Dr Mkamilo siyo Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Mbali na kumaliza kipindi chake kisheria, Dr Mkamilo ameendelea kukalia ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa TARI.

Jambo hili ni baya sana na linahatarisha uhai wa Taasisi ya TARI. Ni makosa makubwa kisheria mtu ambaye hana mamlaka au kuidhinishwa kufanya kazi yoyote ile au kuelekeza watu kufanya kazi. Dr Mkamilo kwasasa ndani ya TARI ni kama strenger. Na kazi zote ambazo amefanya baada ya kipindi cha uongozi wake kumalizika hazina uhalali wowote maana hakuwa na mamlaka ya kufanya hivyo.

Tunapata mashaka makubwa kuamini kwamba makosa mengi ya makusudi yaliyofanywa na Dr Mkamilo hasa hasa kwenye eneo la fedha na unyanyasaji wa watumishi ni kwa sababu alijua kuwa yeye siyo mtu sahihi kwa muda huu na kipindi chake cha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI kimemalizika. Dr Mkamilo kuendelea kuwapangia watumishi majukumu ya kufanya na kuhamisha wengine asiowapenda wakati yeye siyo mtu halali kwa nafasi aliyopo hili nalo nikosa jingine na kazi zote zinazofanywa na watumishi kwa maelekezo ya Dr Mkamilo nazo siyo halali.

Tunamshauri Dr Mkamilo amuandikie barua Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassani kumtaarifu kuwa muda wake wa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI umemalizika mwezi Mei 21, 2023 na mpaka sasa ana umri wa miaka 59 kuelekea kustaafu utumishi wa umma.

Na ajieleze kwanini ameendelea kufanya kazi ambazo hana mamlaka kuzifanya baada ya kujua kuwa muda wa uongozi wake umekwisha. Tunamuomba Rais wetu mpendwa Dr Samia Suluhu Hassani ateue mtu mwingine mwenye sifa sitahiki kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI maana kwasasa TARI haina Mkurugenzi Mkuu.
Dk. Mkamilo ni Mwanasayansi aliyebobea na mwenye mchango unaotambulika na kuthaminika ndani na nje ya nchi, hata sisi ambao hatufanyi kazi TARI tunaona mageuzi aliyofanya kwenye Sekta ya Utafiti.... Fuatilia rekodi yake ya utendaji na mchango wake kwa taifa, hayo majungu yako na genge lako hayawezi kukusaidia kupata nafasi yake. Dk. Mkamilo anasifika kwenye eneo la utafiti kidunian tunaona hasa suala la utafiti maana ukizungumzia maendeleo ya kilimo unazungumzia utafiti hasa wa mbegu na mambo ya afya za mimea..

Hayo majungu yenu ya kumuingizia vimemo mama Rais Samia kutaka muweke watu wenu hapa kwenye utafiti Mhe. Rais na Waziri Mkuu wanajua mchango wa Dk. Mkamilo kwa taifa la tanzania...

Mnaleta ubaguzi kutaka kila nafasi serikalini akae mzanzibar.
 
23/5/2018 aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI).

Taarifa ilisema uteuzi wa Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo ulianza tarehe 22 Mei, 2018 na kabla ya uteuzi huu, alikuwa Mkurugenzi wa Utafiti wa Kilimo, Kanda ya Mashariki, Kituo cha Utafiti wa Kilimo Ilonga Mkoani Morogoro. Ukurasa wa 8 wa TARI Scheme of Service umeweka sifa za kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI na kipindi cha miaka 5 kama tenure ya uongozi kwa mtu anayeshikilia nafasi hiyo. Vilevile, mtu kama ana sifa anaweza kuteuliwa tena kwa nafasi hiyo kwa kipindi kingine.

Kipindi cha miaka 5 ya Dr Mkamilo ambaye kwasasa ana umri wa miaka 59 na akiwa njiani kustaafu Rasmi kazi za Utumishi wa umma mwaka 2024 kimemalizika 21/5/2023 saa 11:00 jioni kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Hivyo kwa mujibu wa TARI Scheme of Service Dr Mkamilo siyo Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Mbali na kumaliza kipindi chake kisheria, Dr Mkamilo ameendelea kukalia ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Jambo hili ni baya sana na linahatarisha uhai wa Taasisi ya TARI. Ni makosa makubwa kisheria mtu ambaye hana mamlaka au kuidhinishwa kufanya kazi yoyote ile au kuelekeza watu kufanya kazi.

Dkt. Mkamilo kwasasa ndani ya TARI ni kama strenger. Na kazi zote ambazo amefanya baada ya kipindi cha uongozi wake kumalizika hazina uhalali wowote maana hakuwa na mamlaka ya kufanya hivyo. Tunapata mashaka makubwa kuamini kwamba makosa mengi ya makusudi yaliyofanywa na Dkt. Mkamilo hasa hasa kwenye eneo la fedha na unyanyasaji wa watumishi ni kwa sababu alijua kuwa yeye siyo mtu sahihi kwa muda huu na kipindi chake cha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI kimemalizika. Dr Mkamilo kuendelea kuwapangia watumishi majukumu ya kufanya na kuhamisha wengine asiowapenda wakati yeye siyo mtu halali kwa nafasi aliyopo hili nalo nikosa jingine na kazi zote zinazofanywa na watumishi kwa maelekezo ya Dr Mkamilo nazo siyo halali.

Tunamshauri Dr Mkamilo amuandikie barua Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassani kumtaarifu kuwa muda wake wa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI umemalizika mwezi Mei 21, 2023 na mpaka sasa ana umri wa miaka 59 kuelekea kustaafu utumishi wa umma. Na ajieleze kwanini ameendelea kufanya kazi ambazo hana mamlaka kuzifanya baada ya kujua kuwa muda wa uongozi wake umekwisha. Tunamuomba Rais wetu mpendwa Dr Samia Suluhu Hassani ateue mtu mwingine mwenye sifa sitahiki kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI maana kwasasa TARI haina Mkurugenzi Mkuu.

KWA HERI DKT MKAMILO: RAIS SAMIA TEUA MKUGENZI MPYA WA TARI

23/5/2018 aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI). Taarifa ilisema uteuzi wa Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo ulianza tarehe 22 Mei, 2018 na kabla ya uteuzi huu, alikuwa Mkurugenzi wa Utafiti wa Kilimo, Kanda ya Mashariki, Kituo cha Utafiti wa Kilimo Ilonga Mkoani Morogoro.

Ukurasa wa 8 wa TARI Scheme of Service umeweka sifa za kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI na kipindi cha miaka 5 kama tenure ya uongozi kwa mtu anayeshikilia nafasi hiyo. Vilevile, mtu kama ana sifa anaweza kuteuliwa tena kwa nafasi hiyo kwa kipindi kingine.

Kipindi cha miaka 5 ya Dr Mkamilo ambaye kwasasa ana umri wa miaka 59 na akiwa njiani kustaafu Rasmi kazi za Utumishi wa umma mwaka 2024 kimemalizika 21/5/2023 saa 11:00 jioni kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Hivyo kwa mujibu wa TARI Scheme of Service Dr Mkamilo siyo Mkurugenzi Mkuu wa TARI. Mbali na kumaliza kipindi chake kisheria, Dr Mkamilo ameendelea kukalia ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa TARI.

Jambo hili ni baya sana na linahatarisha uhai wa Taasisi ya TARI. Ni makosa makubwa kisheria mtu ambaye hana mamlaka au kuidhinishwa kufanya kazi yoyote ile au kuelekeza watu kufanya kazi. Dr Mkamilo kwasasa ndani ya TARI ni kama strenger. Na kazi zote ambazo amefanya baada ya kipindi cha uongozi wake kumalizika hazina uhalali wowote maana hakuwa na mamlaka ya kufanya hivyo.

Tunapata mashaka makubwa kuamini kwamba makosa mengi ya makusudi yaliyofanywa na Dr Mkamilo hasa hasa kwenye eneo la fedha na unyanyasaji wa watumishi ni kwa sababu alijua kuwa yeye siyo mtu sahihi kwa muda huu na kipindi chake cha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI kimemalizika. Dr Mkamilo kuendelea kuwapangia watumishi majukumu ya kufanya na kuhamisha wengine asiowapenda wakati yeye siyo mtu halali kwa nafasi aliyopo hili nalo nikosa jingine na kazi zote zinazofanywa na watumishi kwa maelekezo ya Dr Mkamilo nazo siyo halali.

Tunamshauri Dr Mkamilo amuandikie barua Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassani kumtaarifu kuwa muda wake wa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI umemalizika mwezi Mei 21, 2023 na mpaka sasa ana umri wa miaka 59 kuelekea kustaafu utumishi wa umma.

Na ajieleze kwanini ameendelea kufanya kazi ambazo hana mamlaka kuzifanya baada ya kujua kuwa muda wa uongozi wake umekwisha. Tunamuomba Rais wetu mpendwa Dr Samia Suluhu Hassani ateue mtu mwingine mwenye sifa sitahiki kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI maana kwasasa TARI haina Mkurugenzi Mkuu.
Acha chuki binfsi chapa kazi Dr atakuachiaa vumbi
 
Unaonekana wewe ni mtafiti wa mchongo. Sisi Scientists hatunaga muda wa umbea, ni matokeo tu kusaidia jamii na taifa. Sijui unapata wapi muda wa majungu badala ata ya kupiga shule umekalia umbea. Tafiti zako zitakua za kimbeambea pia.Probably wewe ni mfanyakazi wa TARI mzembe sana huezani na speed ya Dr Mkamilo.
Namfahamu Geof muda mrefu sana kwa kazi zake na mentorship yake. Nashauri SSH amuongezee muda
 
Back
Top Bottom