Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,706
- 10,229
Nikitazama utendaji kazi na mipango ya SSH naona napata mawenge 😂😂😂 ni kama anakuja kisha anakataa, kama anafunga kisha anapaisha, kama anatoa pasi ila ghafla unamuona kwenye kibendera akishangilia ameshafunga goli,
SSH ni Pro capitalist ambae inabaki kidogo aangukie kwenye Ubeberu, anaweka kila kitu kwa msingi wa Ubepari, anapambana kuboost performance ya serikali, ana outsource vitu, anajitahidi katika angle hii
✓ Anavutia wawekezaji
✓ Anajitahidi kuboresha maisha ya wafanyakazi (japo sio sana)
Anajitahidi kwenye miundombinu, shule na hospital anazipa mpunga mrefu na anajenga shule nyingi kweli
✓ Barabara tunaona mikataba imesainiwa ya km 2000+
✓ Katika yote ananifurahisha sio mtu wa media sana
Na mengine mengi, mpaka hapo naona SSH kama anakuja hiv
Ila ghafla bin Vuu unaona SSH
✓ Anashindwa kuwa mkali kwa wafanyakazi wake
✓ Ana entertain mno mamichezo, anajihusisha mno na Simba na Yanga
✓ Ana ukimya sana kwenye critical issues, hadi leo hajaongelea swala la Bandari, daima utamuona kimya tu, hafanyi Chochote ( kwenye macho yangu)
Ko mpaka hapo najikuta namkataa tena SSH, naishia kusema kama anakuja kama anakataa 😂
Ninyi wenzangu mnaonaje 🤔
Mimi wenu bepari niliekomaa, (BEBERU)