Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 783
- 525
Hali niionayo sasa na ajenda za uchaguzi zinazozidi kuzaliwa, hasira ya wananchi ninayoiona kwa mabo mengi mchanganyiko, kuchoka kwa walio wengi kuona mambo yaleyale kwa miaka 62
Ongezeko la unemployment inayoongezeka, utumwa unaoongezeka wa walionacho na wasionacho, uongozi usiolidhisha wa baadhi ya watu wanaomsaidia Mama wa Taifa, wabunge wengi hamna mvuto wa kuwashawishi wapiga kura.
Na kwa vile wengi mliingia kimagumashi na nguvu ya kuwalinda itatindika, nawashauri tumieni posho zenu vizuri, imarisheni miradi yenu na punguzeni kujiona miungu watu tutabanana muda usio mrefu Mwaka mmoja tu umebaki. Na kwa kulinda heshima ya utumishi wenu anzeni kutamka hukohuko kustaafu kwenu . msiseme hamkuambiwa !!!!