Pascal Mayalla anasema Tukubali kusaidiwa pale ambapo hatuwezi lolote
Ndio nimekumbuka hawa Kunguru kutoka Malaya wanavyotusaidia kusafisha jiji huku mitaani
Kiukweli Watanzania ni Watu Wavivu...
Mimi naamini kuwa, Nchi yetu imefika hapa ilipo kutokana na viongozi wetu wa Dini kujisahau kidogo kutimiza majukumu yao vizuri kwa waamini wao.
Viongozi wa Dini tumehubiri sana Amani, Utulivu na...
Ndugu wa marehemu aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es salaam, Dkt. Didas Masaburi wamepanga kumburuza mahakamani binti wa marehemu Juliana Masaburi kwa kile kilichodaiwa kupanga njama ya kuwadhulumu...
=======
"Wakati wa Maandamano ya amani, Vyombo vya dola vikivunja haki za binadamu kwa namna yoyote hatua za kisheria zitachukiliwa dhidi yao! Iwapo waandamanaji watafikishwa kwenye vyombo vya...
Kuna andiko la Mh Zitto zuberi kamwe hakika limenifanya nitafakari mengi sana dhidi ya mkoa wetu wa kagera
Naomba nidikree interest(utajuaje mi ni nshomire paspo kuchanganya lugha hasa kimombo?)...
Kuwasaidia watanganyika wanaowakataa Waarabu pmj na uwekezaji wao wa kitapeli na kuibia watanganyika
Nchi nyingi za ulaya zinakamata makundi uhalifu ambao ni waarabu na kuwarudisha kwao uarabuni...
Mama Samia anaupiga mwingi kweli kweli, bila kufoka bila makeke anafanya kazi kuliko tunavyofikiria.
Kila akiibuka anaibuka na mambo ambayo yanasongesha mbele gurudumu la maendeleo.
Jioneeni...
Nimefuatilia siku hizi mbili tatu za sakata la uuzwaji wa bandari ya tanganyika, kwa waarabu wa dubai, kazi wanayoifanya waandishi wa habari ni ya kipuuzi sana, ni bora wangechagua kukaa kimya...
Walimu wengi vijana ndani ya jimbo la uchaguzi la mbunge Msukuma wameapa kufa naye kwenye uchaguzi mkuu ujao na kamwe watamwonyesha wao ni wasomi ndiyo maana wanasimamia uchaguzi umhusuyo...
Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata.
Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa...
Habari wanajukwaa
Chama cha MAPINDUZI ni chama dola kwa sasa,wananchi bado wana imani kubwa sana na chama hiki mathalani kwa wananchi wa daraja la chini kabisa namaanisha wakulima ambao kipato...
Jeshi la Polisi kwanini mmezuia? Ni haki ya wanaoandamana kama ilivyohaki ya wanaondamana kupongeza juhudi za serikali. Kwanini hawa huwa mnawaruhusu?
Kwani familia zenu zipo Uarabuni au...
Baada ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kusema yeye ni Mkazi wa Kijiji kinachoonekana kuwa na maji machafu na Wakazi wa kijiji hicho kutumia maji hayo kwa shughuli zao, na Mbunge huyo kusema tatizo...
Ndio hivyo kama Rais katoka Tanganyika kipindi kinachofuata LAZIMA atoke ZANZIBAR
Sababu kuu hizi NI NCHI mbili zilizoungana KATIBA ieleze wazi usawa wa kushika madaraka Kwa pande pandezo mbili...
Katika Amri kumi za Mungu walizoshushiwa waana wa Israel kupitia Nabii Mussa, kuna Amri moja tu ambayo wataalam wa maandiko matakatifu wanasema kuwa ni nadra kuvunjwa na binadamu, Amri "Usiue"...
ACT Wazalendo wamefanya uchambuzi wa Bajeti Kuu iliyosomwa siku ya Alhamisi June 15, 2023, uchambuzi uliowasilishwa na Msemaji wa Sekta ya Fedha na Uchumi ACT Wazalendo Esther Thomas na Naibu wake...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 35 leo Mei 29, 2023.
Ufungaji wa kamera za Ulinzi
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Hamad Masauni amesema Shirika la Uzalishaji...
Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari.
Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka
Hivi mnadhani hii ndio suluhu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.