Msije sema hamkujua, ombeni reconcilliation naye maana si vema kuacha mtu afike viwango hivi.
Hebu msikilizeni na ombeni upatanishi naye, acheni kupaza shingo zenu, ni hayo tu :
-
Maombi makuu...
CCM mnafanya mikutano mikubwa kujibu mambo kuhusu bandari; wengi wanauliza kwanini mtumie nguvu hivi? Si mbadili tu huo mkataba? Mkimaliza mikutano yenu hakuna anaeelewe.
Sasa waruhusuni waulize...
Anna Tibaijuka,
Umeulizwa maswali mazuri sana kama nilivyoona kwenye taarifa ya habari ya TBC 1 usiku huu, cha kushangaza, hujajibu swali hata moja, iliyobaki ukapiga porojo.
Sasa, maneno ni...
Katika Mambo ambayo yanashangaza kwenye kesi inayoendelea ya kupinga Mkataba mbovu wa Bandari na DP WORLD, ni Umati wa Wananchi uliojitokeza kufuatilia kesi hiyo Mahakamani hapo.
Maelfu ya...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mh. Godbless Lema ametoa angalizo kwa Rais huko Twitter kwamba, anaokaa nao meza moja ndio wabaya kuliko wanaokamatwa kwa kuipinga DP World hadharani...
Utata kifo cha Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM); Naibu Waziri-OR TAMISEMI ajiuzulu kupisha uchunguzi.
Utangulizi
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa juu ya kifo...
Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Iringa Mhandisi Fatma Rembo ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UWT Taifa na Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa...
Leo dola 1 sawa na tzs 2500 sawa na tofauti ya tshs 292 toka Hayati Rais Magufuli alivyoondoka (2500 - 2208 = 292) hii inasababishwa na kinachoendelea duniani juu ya dola,hivi sasa mataifa kama...
Serikali imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya mapambano dhidi ya Virusi Vya UKIMWI ambapo mwaka huu mpya wa fedha wa 2023/2024 zimetengwa fedha nyingi zaidi kuhakikisha kila Wizara na Taasisi ya...
Mbunge Wa Jimbo la Ndanda Mhe. Cecil David Mwambe amefanya ziara ya ukaguzi wa mradi wa usambazaji umeme wa REA Jimboni akiwa ameambatana na Meneja wa Tanesco (W) pamoja na Mkandarasi Namis...
Ukisikiliza ile clip inayodaiwa na Nape kuwa Tundu Lissu kamtukana Rais na ghafla kwa kufikiri ni kosa, DCI Kingai kamwita Tundu Lissu ili amhoji na bila shaka ikiwezekana afungulie mashitaka...
Yanipasa kufikiria mara mbili tatu kwanini haya yanatokea.
Serikali yetu ya Tanzania ilishawahi kuingia mikataba mingi huko nyuma ambayo imeliingiza Taifa letu kwenye Hasara kubwa na wizi wa...
Katibu wa NEC Itakadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi amesema Tanzania tunahitaji uwekezaji bandarini kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania, ameyasema hayo alipotembelea vyombo vya habari vya Africa...
Habari wadau.
Najua nitawaudhi wengi ila naomba tu Uhuru wa maoni uzingatiwe.Mwalimu Nyerere kitu kikubwa alichofanya ni kupigania Uhuru hapa namshukuru sana.
Baada ya Uhuru Nyerere akaturudisha...
Mbunge Wa Jimbo la Ndanda Mhe. Cecil David Mwambe ameendelea na ziara Jimboni.
Leo tarehe 20 Julai, 2023 amefanya kikao na OCD Masasi pamoja na wasaidizi wake. Katika kikao hicho wamejadili mambo...
Ni hulka ya Viongozi wengi Duniani akiamini Jambo fulani basi kumbadilisha mawazo linakuwa jambo gumu sahihi
Mfano Nyerere aliliamini Azimio la Arusha hadi anakufa japo mzee Mwinyi alilipindua...
Jana Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefika Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma kukagua miradi ya maji ambapo Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Florence George Samizi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na...
kwa nini wa africa tunapenda ugomvi ?kama mkataba bandari kati ya Tanzania na DP World kuna wanaona ni mkataba ni mzuri na wengine ni mbaya kwa nini wasiitane wakakaa pamoja wakaelewashana mambo...
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada anayeshughulikia Maendeleo ya Kiuchumi ya Pasific, Mhe. Harjit Sajjan amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia tarehe 19 – 23 Julai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.