Hupo sahii mkuu ipo research nilifanya katika jimbo ilo, wahaya wanajiitaga nshomile ila ile jimbo ni utopolo mtupu,
Nilijaribu uliza wabunge wa mwanzo ,nikaambiwa
Mbunge Kamala, ambae amewahi kuwa balozi alietanguliwa na mbunge Kinyondo kama sikosei, akaja mbunge Sompita kama sikosei, then huyu mjinga , hamna cha maana pale ni umaskin wa kutupa ndugu, alafu bila kujua wanananchi wamechakaa,
Jimbo la kipumbavu sana , kama alivyo mpumbavu mbunge wa sasa mpaka shiliki uza bandari za wananchi, na wabunge wengine wapumbavu kama yeye , wajinga kama hawa wanastahili ondoshwa kwenye majimbo,shame on them