Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema kwa uelewa wake Jeshi la polisi hushughulika na Jinai siyo Lugha za Staha ambalo Kimsingi ni swala la Kijamii ambalo hushughulikiwa kimadai Mnyika...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Na Johnson Gerald Nimefuatilia ripoti ya Jaji Othman Chande kuhusu changamoto mbalimbali katika utoaji wa haki katika mawanda za jinai nchini. Nataka kuamini Jaji Chande amewasemea wananchi wengi...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID) kimeiamuru Tanzania kulipa dola milioni 109.5 (zaidi ya bilioni 260 za Tanzania) kwa kampuni za uchimbaji madini zilizosajiliwa...
15 Reactions
203 Replies
16K Views
TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000. Walipewa magati 08,09,10 na...
11 Reactions
104 Replies
7K Views
Tanzania ni nchi pekee kubwa yenye madini na fursa ya kuzungukwa na nchi jirani. Miaka ya zamani kabisa hata sijazaliwa masufuria na vijiko yalitoka Arusha, pasi za mkaa na majembe na spea...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Nimesoma ripoti ya tume ya Mhe. Rais kuhusu mabadiliko ya haki jinai; kupitia mapendekezo yaliyotolewa ninaamaoni kwamba tumeanza kupunguzwa kasi ya kutaka katiba mpya au upo uwezekano wajanja...
4 Reactions
6 Replies
842 Views
Hayati Magufuli ni chembe ya ngano iliyofukiwa ardhini na sasa inazaa matunda mamia, kwa maelfu na kwa mamilioni. Sasa naamini kuwa Hayati Magufuli amezalisha majasiri na wazalendo wengi sana wa...
2 Reactions
3 Replies
592 Views
Kama lipo jambo la hatari ambalo wenye Mamlaka wanataka kulifanya, basi ni kuanza kumfuatilia Tundu, huku wakimwandikia barua za miito ya mashtaka. Jamani, Lissu hana cha kupoteza hapa Duniani...
38 Reactions
65 Replies
6K Views
Toka sakata la Bandari lianze nimepitia na kusoma sheria nyingi sana. Nikasoma na sheria mbalimbli za nchi nyingine. Nikagundua nchi haina sheria ya Uongo na upotoshaji wa umma. Kwa nchi ya...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Baada ya mawakili Mwabukusi, Madeleka & Ruge Nshala, sasa ni zamu yangu. Leo DCI Kingai ametuma watu kuleta barua ya kuripoti ofisini kwake. Wamerudi nayo baada ya kujulishwa niko nje ya nchi...
44 Reactions
182 Replies
21K Views
Sugu atafute kazi ya kufanya, Mbeya ya Tulia imetulia kama inavyoonekana hapa 👇 ====== Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Nilikuwa katikati ya kazi jimboni nikaambiwa kwamba kuna mwito humu wa Nape na Ridhwan kutaka nieleze elimu yangu. WanaCCM walianza suala hili kwa ari, nguvu na kasi mpya niliposema kwamba nchi...
338 Reactions
1K Replies
156K Views
Utafagia sana ==== Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo Januari 2, 2023 amewaongoza Wananchi wa Kata ya Ruanda...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Wana Jf Salaam , bila shaka mko poa poa na weekend hii. Kwa mda sasa nimekua nikisikia hii sherehe ya mwaka kogwa ambayo huazimishwa huko Makunduchi, Juzi ilibidi nimpigie simu mtu anaishi huko...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema Raha ya Kuuzwa Nchi ni hata wale Wanaoiuza Wanajiuza Wao na Vizazi vyao na wote wanakuwa Watumwa na inakuwa Harusi kwa wote Fatma amesema...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Kikwete: Unapopata nafasi ya Uongozi utasikia mengi ila Usifanye kila unaloambiwa. Kaa chini Chuja unayoambiwa. Vinginevyo Utaumiza Wengi Hii nimeikuta kwenye Ukurasa wa Ayub Madenge kule...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwana JF hapo ulipo na familia yako mnaweza kuitikia huo wimbo. Hata kama ni bar mnakula bata ambia DJ apige song
37 Reactions
108 Replies
11K Views
Kuna sheria ya utumishi wa Umma endapo mtumishi akitoka kwenye ajira yake na kuteuliwa kwenye nafasi kisiasa hata kama bado haja staafu hawezi kurudia ajira yake. Miezi kadhaa kuna mabosi wa...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Hamza Saidi Johari WORK Board Member - Civil Aviation Safety and Security Oversight Agency Director General - Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) Part time Lecturer - University of Dar es...
0 Reactions
73 Replies
4K Views
Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia. Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom