Mbunge Mwambe afanya kikao na OCD

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
479
Mbunge Wa Jimbo la Ndanda Mhe. Cecil David Mwambe ameendelea na ziara Jimboni.

Leo tarehe 20 Julai, 2023 amefanya kikao na OCD Masasi pamoja na wasaidizi wake. Katika kikao hicho wamejadili mambo mbalimbali ya kiusalama Jimboni Ndanda. Pia walijadiliana juu ya ujenzi wa Kituo kipya cha Polisi kwenye kata ya Chiwale.

Kwa kuanzia Mwambe aliahidi kutoa mifuko 100 ya saruji kufanikisha huo ujenzi.
IMG-20230720-WA0106.jpg
 
Mbunge Wa Jimbo la Ndanda Mhe. Cecil David Mwambe ameendelea na ziara Jimboni.

Leo tarehe 20 Julai, 2023 amefanya kikao na OCD Masasi pamoja na wasaidizi wake. Katika kikao hicho wamejadili mambo mbalimbali ya kiusalama Jimboni Ndanda. Pia walijadiliana juu ya ujenzi wa Kituo kipya cha Polisi kwenye kata ya Chiwale.

Kwa kuanzia Mhe. Mwambe aliahidi kutoa mifuko 100 ya saruji kufanikisha huo ujenzi.View attachment 2694628
Iwe jua iwe mvua HAWEZI kurudi Bungeni 2025
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom