Salama ya upinzani kuchukua dola ilikuwa mikononi mwa maridhiano ambayo yangepelekea uundwaji wa katiba mpya ambayo ingezaa tume huru ya uchaguzi.
Na jambo hili lilikuwa pia linasubiriwa kwa...
Muda mrefu umepita sijamsikia Kamanda Sugu akizungumzia suala la Mkataba wa Bandari. Je ni mgonjwa?. Ni vema tukajua Kamanda yuko wapi na hali yake ikoje?.
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amefunguka mazito kuhusu maelekezo ya Rais kufanikisha Dk. Samia Suluhu Hassan katika mapambano shisi ya vifo vitokanavyo na uzazi kwa mama na moto.
Amesema hatua...
Sakata la kugenisha bandari na rasilimali za Tz-bara Wapinzani siyo silaha sahihi kushinda vita.
1. Ni ukweli usiokanushika kwa ushahidi wowote ule kwamba Wazungu ni watu wasioitakia mema Afrika...
Wakili Paul Kisabo amesema Mkutano wa hadhara wa Chadema kujadili Mkataba wa Bandari utalindwa na Jeshi la Polisi ili kuhakikisha amani inakuwepo wakati wote
Wakili Kisabo amelipongeza Jeshi la...
"Mmeamkaje? Kwangu mambo siyo mazuri. Mtakumbuka baada tu ya kuingia upinzani serikali ilitishia muda mrefu kuchukua mashamba yangu bila sababu za msingi, hata wakati wa kampeni baadhi ya viongoz...
Wakuu Na mgonjwa Ocean road hapati tiba kwa sababu Machine imeharibika ni week ya pili inakata kipi kinashindwa kutatuliwa ifanye kazi na malipo wanapokea watu wa bima wanapelekwa kupimiwa...
Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.
2. Ofisi hii inakiri kupokea barua yako yenye kumb. Na. CDM/TMK/17/0713 ya tarche 18.07.2023.
3. Mutano huo ni wa hadhara na Jeshi linaamini mnalo jukumu...
Na Sam Ruhuza
Naomba ufafanuzi!
Nimeupitia mkataba wa Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai.
Dubai ni state kwenye Nchi ya UAE (United Arabs of Emirates) na ndio tumeingia...
Mbunge wa Jimbo la Nkenge mkoani Kagera amelitaka jeshi la Uhamiaji sambamba na idara ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) Wilayani humo kuacha tabia ya kuwahukumu wananchi hasa wa mipakani kwa majina...
Wapinzani wanatumia ujinga wa watu kujieneza. Wanatambua nchi hii wenye uelewa wa mambo ni wachache na hao wachache wapo kimya Kwa sababu hawataki kuonekana ni wanasiasa.
Kuhusu hili la bandari...
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa...
Ndugu zangu ijumaa ya tarehe 14th July 2023 niliwekwa kizuizini na jeshi la polisi mkoa wa Mbeya baada ya kumsindikiza wakili Boniface Mwabukusi aliyekuwa anaitikia wito katika ofisi ya mkuu wa...
Familia ya mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji 'Mo' aliyetekwa tangu Alhamisi imesema itazungumza na waandishi wa habari leo mchana saa 6:30,katika ofisi za Kampuni ya MeTL Group zilizopo...
Tumewaona UDSM, jana walikuwa Ikulu na Kesho wapo Dodoma; wanawasilisha ripoti ile ile ambayo walitelekezwa wakae waweke utaratibu wa kuitekeleza.
Je, ni kwamba Watanzania awakuielewa siku...
BANDARI YA DARESALAM IMEMUINGIZA RAIS SAMIA KWENYE VITA VYA KIUCHUMI
Chukua kalamu na karatasi kwenye andiko hili unaweza kuandika chochote…. Ipo hivi….
Bandari ya Daresalam inahusika kwa...
Babati. Katibu Mku wa CCM, Daniel Chongolo kesho atawahutubia wanachama na viongozi wa chama hicho wa mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro katika mkutano wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa...
(1)Muda uliotolewa kwa wananchi wote Nchi nzima kutoa maoni juu ya mkataba, siku moja tu.
( 2 ) Kukosa nafasi ya kuchangia mjadala kwa baadhi ya wabunge wenye misimamo mfano Luhaga Mpina, japokua...
A new world order? BRICS nations offer alternative to West.
Mataifa yanayojumuisha umoja wa BRICS — Brazil, Russia, India, China, South Africa yamejipanga ili kutoa mbadala wa mfumo uliopo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.