Na Sam Ruhuza
Naomba ufafanuzi!
Nimeupitia mkataba wa Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai.
Dubai ni state kwenye Nchi ya UAE (United Arabs of Emirates) na ndio tumeingia...
Mbunge wa Jimbo la Nkenge mkoani Kagera amelitaka jeshi la Uhamiaji sambamba na idara ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) Wilayani humo kuacha tabia ya kuwahukumu wananchi hasa wa mipakani kwa majina...
Wapinzani wanatumia ujinga wa watu kujieneza. Wanatambua nchi hii wenye uelewa wa mambo ni wachache na hao wachache wapo kimya Kwa sababu hawataki kuonekana ni wanasiasa.
Kuhusu hili la bandari...
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa...
Ndugu zangu ijumaa ya tarehe 14th July 2023 niliwekwa kizuizini na jeshi la polisi mkoa wa Mbeya baada ya kumsindikiza wakili Boniface Mwabukusi aliyekuwa anaitikia wito katika ofisi ya mkuu wa...
Familia ya mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji 'Mo' aliyetekwa tangu Alhamisi imesema itazungumza na waandishi wa habari leo mchana saa 6:30,katika ofisi za Kampuni ya MeTL Group zilizopo...
Tumewaona UDSM, jana walikuwa Ikulu na Kesho wapo Dodoma; wanawasilisha ripoti ile ile ambayo walitelekezwa wakae waweke utaratibu wa kuitekeleza.
Je, ni kwamba Watanzania awakuielewa siku...
BANDARI YA DARESALAM IMEMUINGIZA RAIS SAMIA KWENYE VITA VYA KIUCHUMI
Chukua kalamu na karatasi kwenye andiko hili unaweza kuandika chochote…. Ipo hivi….
Bandari ya Daresalam inahusika kwa...
Babati. Katibu Mku wa CCM, Daniel Chongolo kesho atawahutubia wanachama na viongozi wa chama hicho wa mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro katika mkutano wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa...
(1)Muda uliotolewa kwa wananchi wote Nchi nzima kutoa maoni juu ya mkataba, siku moja tu.
( 2 ) Kukosa nafasi ya kuchangia mjadala kwa baadhi ya wabunge wenye misimamo mfano Luhaga Mpina, japokua...
A new world order? BRICS nations offer alternative to West.
Mataifa yanayojumuisha umoja wa BRICS — Brazil, Russia, India, China, South Africa yamejipanga ili kutoa mbadala wa mfumo uliopo wa...
Hivi kweli inamaana kelele za wale wazee wastaafu vikongwe wanaolopwa directly kutoka Hazina hawazisikii huko madarakani au furaha yao ni taabu zao na vifo tuu?
Mbona walao Mwinyi wa Zanzibar...
Kuelekea siku ya mashujaa wetu nchini Tanzania naomba tumkumbuke baba wa taifa letu.
Kwa wale waliokuwa na uahamu (umri wa kuelewa) mwaka 1978 mtakubaliana na mimi kuwa wana Kagera walipitia...
Juzi tar 20/07/2023 , Alhamis nilipata taarifa juu ya Kampuni ya kitapeli ambayo siku zote imekuwa ikilalamikiwa kutapeli watanzania na vijana iitwayo Q-NET .
Kampuni hii imekuja na njia Mpya ya...
Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Malecela ametoa kauli kuhusu sakata la makubaliano ya uwekezaji wa bandari nchini na Serikali ya Dubai kupitia Kampuni ya Dubai Port...
Ile kesi inayosubiriwa kwa hamu na Dunia nzima, ambayo imefunguliwa na Watanzania Wazalendo , ya kupinga Mkataba mbovu wa kukodisha Bandari za Tanganyika kwa Waarabu wa DP WORLD , ambayo imepangwa...
Familia ya mzee Abeid Amani Karume imetengwa na mfumo wa Chama tawala?
Kumbuka CCM ina tabia ya kuwabeba sana watoto wa viongozi wastaafu na kuwapa nyadhifa mbali mbali, na hata isipotosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.