Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi vifaa tiba kituo cha Afya cha Engusero (Milioni 100), Zahanati ya Ngipa (Milioni 18) na Zahanati ya Nchinila (Milioni 18) vyenye...
AD Ports Group ya Abu Dhabi UAE Wameingia Makubaliano ya kuendeleza na Kuendesha Bandari muhimu ya Nchini Congo Brazzaville Kwa miaka 30'Exclusive Right" na Kwa kuanzia Watawekeza Dola za Marekani...
Wanasiasa wa Tanzania wana roho ngumu sana. Wapo tayari kulinda madaraka lakini siyo kulinda ndugu zao.
Mimi sikujua kama Nape ni mjomba wa Tundu Lisu; kama Nape na Lisu ni ndugu basi siasa...
Nimeona clip ya Nape Nauye akifoka na kumwambia Tundu Lissu amuheshimu Rais Samia kwa kuwa ni mama yake. Sawa hatukatai kuwa kila mtu anastahili heshima na si viongozi tu wa serikali na kisiasa...
Kichwa: Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania
Katiba ni waraka muhimu unaounda msingi wa mfumo wa kisiasa na kijamii katika nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine...
Wale wanaopinga serikali 3 wana hoja na hofu za msingi japo huwa hawasemi sana. Tatizo kubwa la serikali tatu ni serikali ya Tanganyika yenye nguvu zilizopitiliza ambayo inaweza kumpuuza Rais wa...
Habarini wana JF
Ebwana Mkataba wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na DP WORLD unaendelea kubamba kila siku kwenye vyombo vya habari, mitaani na kwenye mitandao ya kijamii. Mkataba huu...
Kumekuwa na hadithi nyingi kwa sasa, baada ya umma wa Watanzania kupaza sauti dhidi ya watawala na makuwadi wachache waliowezesha uporwaji wa bandari za Tanganyika unaofanywa na Waarabu wa Dubai...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali akiwa sehemu ya Ujumbe wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ziara ya Kitaifa iliyofanywa na...
Is Samia metamorphosing into a Magufuli?
Tumultuous moments are a good test of genuineness. In these situations, good people may turn bad and vice versa. If good people turn bad, one may wonder...
Kikweta aliwaalika CHADEMA Ikulu wakanywa juice na samosa na lilipofika bunge la Katiba wakamtosa.
Maalim Seif alikubali kumtosa Prof. Lipumba ili kumsapoti Mzee Lowassa wa CHADEMA lakini Maalim...
Mwana CCM huyu ameng’aka kabisa kuwa nimakosa makubwa Serikali kuruhusu hawa comedian(wachekeshaji) kuongelea suala la bandari
Anasema hawa wengi ndio wanasababisha mjadala kuwa mgumu na...
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai mimi na wewe. Nina hakika umeamka salama ndugu Kingai.
Baada ya shukurani naomba niungane na Watanzania kukupongeza, hakika sasa mfumo...
TANZANIA PRIVATE SECTOR FOUNDATION
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAMKO LA SEKTA BINAFSI KWA VYAMA VYA SIASA KUHUSU RUSHWA KUELEKEA UCHAGUZI WA VIONGOZI IFIKAPO MWEZI OKTOBA 2015
Utangulizi...
Mchungaji ameelezea jinsi safari ya kuwaondoa Wana wa Israel Utumwani Misri na kuwapeleka nchi ya Ahadi ilivyokuwa Ngumu
Mchungaji amesema wakiwa katikati ya safari Wana wa Israel wakamlalamikia...
Nape strikes again.
Ukishaonja kula nyama za watu, kamwe hutoacha.
Yuleyule aliyetuondolea bunge live wakati huo akiwa waziri wa habari kipindi cha utawala wa Magufuli, Leo tena akiwa na dhamana...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amepongeza juhudi za mdau wa michezo Kuambiana Investment kwa kuanzisha mashindano ya Kuambiana Cup katika Wilaya ya Ludewa...
Na, Wakili wa Mahakama Kuu Msomi, Tundu A. Lissu.
Nimefadhaishwa kidogo na baadhi ya michango ya humu ndani kuhusu masuala mbali mbali yanayohusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Inaelekea tuna...
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.
Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya...
Baada ya kukataliwa na wasomi pamoja na wachambuzi wengi wengi waliousoma mkataba wa DP World, tumeshuhudia CCM ikikaa kikao ghafla ghafla na kuamua kwenda kutoa elimu kuhusu huu mkataba mbovu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.