Kiongozi akiamini Jambo siyo rahisi kumbadili mfano Nyerere aliliamini Azimio la Arusha na Muungano, Je alikuwa sahihi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,018
142,058
Ni hulka ya Viongozi wengi Duniani akiamini Jambo fulani basi kumbadilisha mawazo linakuwa jambo gumu sahihi

Mfano Nyerere aliliamini Azimio la Arusha hadi anakufa japo mzee Mwinyi alilipindua kwa Azimio la Zanzibar

Tunakumbushana tu

Mlale unono!
 
... it is very dangerous kiongozi kuwa alfa na omega! Hapo ndipo mjadala wa power control and regulation unapopata nguvu japo mnajitoa ufahamu.
 
Kiongozi hauzuiliwi kuamini unacho amini ila kama unacho amini ni cha kijinga na hakina manufaa yoyote yale kitapingwa vikali
 
Back
Top Bottom