Mhandisi Fatma ashiriki ziara ya Viongozi wa UWT Taifa

Mhandisi Fatma ashiriki ziara ya Viongozi wa UWT Taifa

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430
Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Iringa Mhandisi Fatma Rembo ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UWT Taifa na Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa ameshiriki ziara ya kitaifa ya viongozi wa UWT iliyoongozwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndugu Mary Chatanda.

Ziara ya Viongozi wa UWT Taifa iliongozwa na Mwenyekiti na MCC Mary Pius Chatanda (MNEC), Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Ndugu Zainab Shomari na Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu UWT Taifa iliyoanza tarehe 12 Julai, 2023 na kumalizika jana tarehe 18 Julai, 2023 katika mkoa wa Lindi.

Pichani ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UWT Taifa Mhandisi Fatma Rembo katika majukumu ya ziara hiyo.

Hakika UWT ni jeshi la mama Samia Suluhu Hassan lililo imara na tayari kumkomboa mwanamke kifikra, kiuchumi na kisiasa kwa maslahi mapana ya nchi yetu.

#UWTImara

WhatsApp Image 2023-07-19 at 16.18.48.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-19 at 15.56.36(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-07-19 at 15.54.13.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-19 at 15.53.27.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-19 at 15.53.26.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-19 at 15.52.02(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-07-19 at 15.52.00.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-19 at 15.51.59.jpeg
 
Back
Top Bottom