Profesa Kabudi aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa ndiye BABA wa mikataba na mwenyekiti wa timu za kitaifa za majadiliano ya mikataba.
Huu mkataba wa bandari umepitaje mikononi mwake...
George Michael Uledi.
Kyela, Mbeya.
July 23,2023.
CHADEMA wanafanya kila linalowezekana kutaka kuipasua nchi kwa sasa, walianza na ajenda mbaya ya Uzanzibari na Utanganyika bahati mbaya watu...
Waziri wa Habari Nape Nnauye amelaani Utamaduni wa kuwashambulia Waandishi wa Habari wakiwa wanatimiza majukumu yao
Nape amewaagiza Polisi kuwasaka Watu waliowashambulia Waandishi wa habari wa...
MBUNGE NDAISABA RUHORO ACHANGIA 1,200,000 JUMUIYA YA WATUMIAJI MAJI - KASULO
"Nimechangia Mita 40 za kurekodi matumizi ya maji, na kiasi cha TZS 1,200,000 kama gharama ya ufundi wa kuzifunga mita...
Hivi naotaa ama ni ukweli dhahiri?
Kwamba: badala ya hoja zetu kujikita kwenye utatuzi wa vipengele tata vya mkataba wa Dp world na hatimaye tufikie hatima njema kama taifa na kutuacha kwenye...
Jambo lipo Kondoa.
Mkutano Mkuu wa Jimbo kondoa
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana.
#VitendoVinaSauti
#CCMImara
#KaziIendelee
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo anesema yeye ni Professional na Mbunge anayewakilisha wapiga kura laki 4 Ubungo hivyo ni vema aaminiwe
Prof Kitila amesema DP World watapewa Malengo na Vigezo...
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume.
Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo...
Uhuru usio na mipaka ni uhaini.
Kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na...
Malawi Na Tanzania Za Saini Hati Ya Makubaliano
Malawi kutumia mkongo wa intaneti unaopita chini ya ardhi kuunganisha Tanzania na Malawi hatimaye dunia unaokatisha chini ya bahari ya Hindi...
Zipo taarifa kwamba Wakenya wamekuja Tanzania kujifunza Mafanikio ya STAMICO, sasa na mimi naomba kuyajua hayo mafanikio ambayo STAMICO inaweza kuwafundisha wengine?
Mchungaji amesema binadamu anapaswa Kutubu na kusamehe " Utusamehe Dhambi zetu kama sisi tunavyowasamehe wanaotukosea"
Waziri mstaafu Ngeleja alipokea Fedha na ilipoibuliwa bungeni na Mzalendo...
Kama kawaida ya CCM yanapowafika shingoni wanawakimbilia waislamu, ni mara nyingi wanafanya hivyo.
Nakumbuka tulipokwenda kwenye uchaguzi wa marudio Wilayani Igunga mwaka 2011 baada ya aliyekua...
UKIONA KIONGOZI ANATUMIA LUGHA ZA KUTISHA WATU, JUA HUYO NI DHULMATI"MDHALIMU", MASHETANI NDIO HUFANYA HAYO.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Saikolojia ya mtu mwovu...
Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya.
Kwani katiba ilioruhusu Zanzibar kuwa na serikali yake kamili, huku Tanganyika ikiwa haina serikali nyingine yake yenyewe, kwanini katiba hio...
Wenye Akili kubwa tulijua tu kuwa mkutano wa CHADEMA Temeke utapata vizingiti tu kutoka kwa watawala kama sio polisi basi ni CCM au msajili wa vyama. Hatimae yameanza kutokea.
Wahuni wametumwa...
KAMA JAKAYA NA UHURU, KAMA RIDHIWANI NA JOMO
JAKAYA Kikwete, Rais wa Nne Tanzania. Uhuru Kenyatta; Rais wa Nne Kenya.
Ridhiwani ni mtoto wa kwanza wa Jakaya. Jomo ni mwana wa kwanza wa...
Habari wakuu,
Leo ni uzinduzi wa kampeni kwa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ambazo zinafanyika leo Jumamosi tarehe 29 Agosti 2015 katika viwanja vya Jangwani. Kampeni hizi zitaungwa...
Waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.