Malawi Na Tanzania Za Saini Hati Ya Makubaliano

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,200
Malawi Na Tanzania Za Saini Hati Ya Makubaliano

Malawi kutumia mkongo wa intaneti unaopita chini ya ardhi kuunganisha Tanzania na Malawi hatimaye dunia unaokatisha chini ya bahari ya Hindi. Mkongo huo wa ardhini Tanzania unamilikiwa na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano(NICTBB) wa Tanzania.

Makubaliano hayo yalishuhudiwa na marais Lazarus Chakwera wa Malawi na Samia Hassan wa Tanzania huku mawaziri Moses Kunkuyu wa TEHAMA na Nape Nnauye waziri wa habari wa Tanzania wakitia saini hati hizo za makubaliano.

Wingi wa mzigo wa kusafirisha data kupitia mkongo unatarjiwa kupunguza gharama za vifurushi data kwa nchi zote mbili na wateja kunufaika kwa unafuu wa bei. Gharama za intaneti data Malawi ni ghali sana ikizidiwa na nchi mbili tu Equatorial Guinea and Sao Tome.

Hayo yamejiri katika ziara ya kiserikali ya Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan ya siku tatu nchini Malawi iliyomalizika 8 Julai 2023.

Govt banks on Tanzania deal to cut Internet costs​

Malawi and Tanzania have signed a memorandum of undertaking (MoU) on information and communications technology which will lead to a reduction in cost of Internet connectivity in Malawi.

The countries signed the agreement on Friday in Lilongwe during closed bilateral talks that President Lazarus Chakwera and his visiting Tanzanian counterpart Samia Suluhu Hassan presided over.

kunkuyu_suluhu_chakwera-1024x696.jpg
Kunkuyu and Nnauye the signs MoU as Chakwera (L) and Suluhu look on
Minister of Information and Digitisation Moses Kunkuyu told reporters later that the MoU will lead to reduction of the country’s reliance on third party connectivity providers.

“There are a number of issues that are covered but major of them all is the affordability of data that is going to be enhanced by connecting Malawi to undersea cables through non-commercial avenues.

“Currently, we are connecting through the undersea cables in Tanzania and other countries through some vendors’ cables.

“And when we connect directly through State to State infrastructure in this case through Escom and TCL of Tanzania we are going to lower the running cost of bandwidth into the country,” he said.

The minister said this will “lower the overall cost of data for consumers in Malawi.”

Asked to estimate the reduction once the deal is finalised, Kunkuyu responded: “It will be a drastic reduction but we cannot give the figures now.”

His Tanzanian counterpart Nape Moses Nnauye said the partnership will also help the two countries strengthen their cyber security.

“This MoU was meant to be signed last year and there have been a lot of works that have been going on….I am happy that at last we have signed the MoU.

“We are determined to cooperate on cyber security, exchanging information. After signing this MoU, we are now going to have specific agreements which we will sign,” he said.

The MoU has been signed against a background that Malawians are paying more on internet data than their counterparts on the continent.

This is according to analysis by Statista, an online platform specialised in market and consumer data.

Published earlier this year the analysis shows that Internet data prices in Malawi are the third most expensive after Equatorial Guinea and Sao Tome
 
09 Julai 2023
Lilongwe, Malawi

Ha kumbe Kuna Memorandum of Undertaking na Memorandum of Understanding?
 
Rubbish! Secretry anauza nchi ya tanganyika
 
09 JULY 2023

SAMIA - BANDARI YA DSM NI YENU PIA MALAWI, TUNAIBORESHA

Tanzania yaihakikishia Malawi shughuli za bandari ya Dar es Salaam kuboreshwa hivi karibuni ili kuleta ufanisi.

Ufanisi wa bandari ya Dar es Salaam utapunguza ucheleweshaji wa mizigo, upotevu wa muda na hivyo kuimarisha biashara ya bandari, uchukuzi na ugavi baina ya nchi hizi mbili jirani. Mheshimiwa rais Samia Hassan asisitiza bandari hii ya Dar es Salaam ni yao pia WaMalawi .

Baadaye rais Dr. Chakwera na mgeni wake walitembelea maeneo ya Kapeni yaliyokumbwa na kimbuga Freddy kilichopiga Malawi tarehe 12 March 2023 na kuleta maafa makubwa kama maporomoko ya ardhi na mafuriko. Tanzania ilikuwa nchi ya kwanza kupeleka misaada Malawi baada ya kimbunga hicho.

Tanzania promises Dar es Salaam Port revamp advance​

by Lloyd Chitsulo

Tanzania President Samia Suluhu Hassan says her government will soon revamp the Dar es Salaam Port to curb inefficiencies.

Speaking on Friday at Sanjika Palace in Blantyre at the end of her three-day State visit to Malawi, the Tanzanian leader said revamping the port will also strengthen trade ties between her country and Malawi.
chakwera_suluhu-2-1024x962.jpg
Chakwera explains to Hassan, from Kapeni View, the Cycle Freddy devastation in Soche Hill
She said: “I wish to assure the Malawi business community that delays, mishandling and other inefficiencies will be a thing of the past. We welcome you to continue using the Dar es Salaam Port as your port of choice.”
She said during their discussions they observed that despite the historic bonds and excellent diplomatic relations between Malawi and Tanzania, the trade ties between the two countries do not match with their political relations.
Against such a background, Hassan said they family.”
chakwera_suluhu-3-1024x755.jpg

President Chakwera also hailed Hassan’s visit which he said will benefit the people of both Malawi and Tanzania.

He further expressed optimism that the relations between the two countries will continue to be strengthened with agreements that have been made.

Prior to holding the media briefing, the two leaders visited Kapeni View to appreciate the extent of damage caused by Cyclone Freddy which made a landfall in southern Malawi on March 12 2023.

The cyclone triggered mudslides, floods and heavy rainfall which destroyed numerous infrastructure, killed 676 people and injured 2 171 others.

While 537 people are still considered missing, the cyclone also displaced 659 278 people and affected 63 health facilities.

These displaced people were living in 747 evacuation camps, some of which have been decommissioned.
In the aftermath of the devastation caused by the cyclone, Tanzania was the first country that helped Malawi with $1 million and relief items
 
MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO NI MUUNDOMBINU MUHIMU WA TEHAMA UTAKAOSAIDIA NCHI KUUFIKIA UCHUMI WA KIDIJITI- DKT. YONAZI

3cafd1f2f24dd9b5aba8f957a820c675.jpeg

Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi.

Dkt. Jim Yonazi, ameuzungumzia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kuwa ni muundombinu muhimu wa TEHAMA utakaosaidia kuifikisha nchi katika uchumi wa kidijiti ambao ni uchumi shindani utakaoleta tija kwa nchi na mwananchi moja moja.

Dkt. Yonazi ameyazungumza hayo januari 27, 2023 jijini Dodoma wakati akifunga mafunzo ya kutunza na kuendesha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na kuwakabidhi vyeti vya kuhitimu mafunzo hayo washiriki 114 kutoka TTCL na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Ameongeza kuwa Serikali imefanya uwekezaji mkubwa kwenye ujenzi na usambazaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na kuongeza uwezo na ustahimilivu wake katika utoaji wa huduma ambapo kiasi cha shilingi bilioni 170 za kitanzania zinatekeleza ujenzi wa muundombinu ya Mkongo wa Taifa kwa mwaka wa fedha unaoendelea kutekelezwa.

Aidha amewataka wataalamu hao waliopatiwa mafunzo hayo kuhakikisha wanatumia taaluma zao kutekeleza majukumu yao ya kusimamia na kuendesha miundombinu ya Mkongo pamoja na kushauri ili Mkongo wa Taifa uendelee kuwa bora unaoleta ushindani katika uchumi na kutoa huduma bora ndani na nje ya nchi.

Naye Mtaalamu mshauri wa Ujenzi wa Mkongo, Bw. Emmanuel Nagunwa amesema mafunzo hayo ni muhimu na yanatakiwa kutolewa mara kwa mara kwa kuwa teknolojia inabadilika na watu wanabadilika hivyo ni muhimu kupanua wigo wa wataalamu wenye uwezo wa kusimamia, kutunza na kuendesha mitambo ya Mkongo wa Taifa ili iweze kutoa huduma bora na kuleta manufaa kwa Taifa.

Mkurugenzi Msaidizi wa HUAWEI Tanzania, Bw. Tom Tao ameuzungumzia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kuwa ndio msingi wa uchumi wa kidijiti kwasababu ili kuweza kutumia teknolojia ya 5G, mifumo ya TEHAMA pamoja na matumizi ya teknolojia nyingine zinazovumbuliwa inategemea uwepo wa intaneti ya kasi kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.

Baadhi ya wataalamu walioshiriki mafunzo hayo wameyazungumzia mafunzo kusaidia na kuzidi kuwaimarisha katika utekelezaji wa majukumu yao kwa kuzingatia mahitaji na teknolojia ya vifaa na mitambo ya kuendesha na kutoa huduma za Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano
 
Kila mtu anaelewa akisikia kuna "ushirikiano"na Malawi...
Ila ukisema "ushirikiano na Oman" Tu inakuwa tumeuza nchi Kwa waarabu
 
Una ujinga fulani. Hushangai kwanini huku hueshimiki kama zamani? Kila mtu anakudharau maana umekua limbukeni mchumia tumbo.

Wewe ni eitwege mwingine
 
Kuheshimiwa na wajinga ni hasara zaidi...Bora watu wawili wakuheshimu kuliko kundi la wajinga
 
09 Julai 2023
Lilongwe, Malawi

Malawi Na Tanzania Za Saini Hati Ya Makubaliano​

Malawi kutumia mkongo wa intaneti unaopita chini ya ardhi kuunganisha Tanzania na Malawi hatimaye dunia unaokatisha chini ya bahari ya Hindi. Mkongo huo wa ardhini Tanzania unamilikiwa na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano(NICTBB) wa Tanzania.

Makubaliano hayo yalishuhudiwa na marais Lazarus Chakwera wa Malawi na Samia Hassan wa Tanzania huku mawaziri Moses Kunkuyu wa TEHAMA na Nape Nnauye waziri wa habari wa Tanzania wakitia saini hati hizo za makubaliano.

Wingi wa mzigo wa kusafirisha data kupitia mkongo unatarjiwa kupunguza gharama za vifurushi data kwa nchi zote mbili na wateja kunufaika kwa unafuu wa bei. Gharama za intaneti data Malawi ni ghali sana ikizidiwa na nchi mbili tu Equatorial Guinea and Sao Tome.

Hayo yamejiri katika ziara ya kiserikali ya Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan ya siku tatu nchini Malawi iliyomalizika 8 Julai 2023.

Govt banks on Tanzania deal to cut Internet costs​

Malawi and Tanzania have signed a memorandum of undertaking (MoU) on information and communications technology which will lead to a reduction in cost of Internet connectivity in Malawi.

The countries signed the agreement on Friday in Lilongwe during closed bilateral talks that President Lazarus Chakwera and his visiting Tanzanian counterpart Samia Suluhu Hassan presided over.

kunkuyu_suluhu_chakwera-1024x696.jpg
Kunkuyu and Nnauye the signs MoU as Chakwera (L) and Suluhu look on
Minister of Information and Digitisation Moses Kunkuyu told reporters later that the MoU will lead to reduction of the country’s reliance on third party connectivity providers.

“There are a number of issues that are covered but major of them all is the affordability of data that is going to be enhanced by connecting Malawi to undersea cables through non-commercial avenues.

“Currently, we are connecting through the undersea cables in Tanzania and other countries through some vendors’ cables.

“And when we connect directly through State to State infrastructure in this case through Escom and TCL of Tanzania we are going to lower the running cost of bandwidth into the country,” he said.

The minister said this will “lower the overall cost of data for consumers in Malawi.”

Asked to estimate the reduction once the deal is finalised, Kunkuyu responded: “It will be a drastic reduction but we cannot give the figures now.”

His Tanzanian counterpart Nape Moses Nnauye said the partnership will also help the two countries strengthen their cyber security.

“This MoU was meant to be signed last year and there have been a lot of works that have been going on….I am happy that at last we have signed the MoU.

“We are determined to cooperate on cyber security, exchanging information. After signing this MoU, we are now going to have specific agreements which we will sign,” he said.

The MoU has been signed against a background that Malawians are paying more on internet data than their counterparts on the continent.

This is according to analysis by Statista, an online platform specialised in market and consumer data.

Published earlier this year the analysis shows that Internet data prices in Malawi are the third most expensive after Equatorial Guinea and Sao Tome
Sasa ndiyo mtaelewa Kikete alikuwa anaona mbali. Mkongo kasambaza nchi nzima, na mpaka hatuutumii hata 10%
 
Back
Top Bottom