Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.

Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.

Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.

Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.

Wameripoti Mwananchi
Screenshot 2023-07-22 at 19.03.49.png
 
Mawakala wa shetani wameshaanza kuweweseka, utetezi wao wa kijinga wa udini wameshaona unazidiwa nguvu na kundi kubwa la werevu wanaojitambua.

Kesho lazima shetani na mawakala wake wapigwe mawe mpaka waanguke, hatuwezi kuacha tujione tunapelekwa shimoni na kiongozi mjinga asiyejitambua, halafu tuanze kusikiliza utetezi wa kijinga ili kumlinda, Never.
 
Shabiki
 
Simlisema utawala huu ni washeria na demokrasia...🤔 sa imekuaje tena...🙄
Hii siyo habari ya utawala, ni wahalifu wajinga wanaojipendekeza kwa utawala. Vyombo vya dola pia vina wajinga ambao huwaacha wahalifu hawa kwa sababu ya ujinga na kujipendekeza huko huko.
Waswahili husema mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye, vivyo hivyo raia wapumbavu wengi ni mzigo wa Rais Samia.
 
aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.

Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.

Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.

Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.

Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Ni jitihada za kutaka kudhoofisha mapambano ya haki!. Kesho ndio kesho hakuna kurudi nyuma!
 
aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.

Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.

Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.

Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.

Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
CHADEMA wameanza ugaidi Tena IGP chukua hatua kulinda wanahabari

USSR
 
Pole nyingi kwa walioathiriwa na tukio hili la kihuni. Lakini pia uandishi huu wa kishabiki sijaupenda. Eti, "vijana ambao hawajafahamika ni wa chama gani.."!!!
 
aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.

Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.

Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.

Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.

Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Washukiwa wakwanza wawe serikali, polisi na CCM

Full stop.
 
Back
Top Bottom