Hivi STAMICO imefanikiwa kwenye nini?

Hivi STAMICO imefanikiwa kwenye nini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,992
Reaction score
285,517
Zipo taarifa kwamba Wakenya wamekuja Tanzania kujifunza Mafanikio ya STAMICO, sasa na mimi naomba kuyajua hayo mafanikio ambayo STAMICO inaweza kuwafundisha wengine?

Screenshot_2023-07-23-01-34-41-1.jpg
 
Kuna watu wameamua kwa makusudi kujipa makasiriko muda wote yaani. Hatari sana!! Hapa hata familia zitateteleka haki ya nani!!
 
Back
Top Bottom