Ukiona kiongozi anatumia Lugha za kutisha Watu, jua huyo ni dhulmati" mdhalimu", mashetani ndio hufanya hivyo

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
UKIONA KIONGOZI ANATUMIA LUGHA ZA KUTISHA WATU, JUA HUYO NI DHULMATI"MDHALIMU", MASHETANI NDIO HUFANYA HAYO.

Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.

Saikolojia ya mtu mwovu anapokabiliana na Mijadala hukimbilia Vitisho. Yupo mwovu hutoa vitisho Kwa sababu ya kuficha Maovu yake, yupo mwovu hutoa vitisho ili kuupa uovu nafasi ya kufanyika. Lakini yupo muovu hutoa vitisho katika namna ya kuonyesha Kiburi chake, Jeuri yake na ushetani wake Kwa sababu Kiburi na majivuno hukaa Kwa Nafsi yenye ushetani.

Ukiona mtu yeyote ambaye ametoa hoja yake, ameiwasilisha vizuri tuu lakini wewe haujaielewa, au umeona mapungufu katika hoja yake, Wakati WA kumrekebisha au kwenye Mijadala akawa anakupa vitisho na kukutolea maneno ya kukutisha ikiwezekana kutaka kuitoa Roho yako. Jua mtu huyo ni shetani, dhulmati, na Haki haiko ndani yake.

Mashetani kikawaida ndio hutoa vitisho, wadhulmati na wasohaki ndio hutisha Watu.

Taikon nikionaga mtu awe ni Kiongozi wa familia, taasisi, au taifa akiwa anapendelea kutoa vitisho visivyoeleweka hasa Kwa wanaokosoa mawazo yake au mipango yake. Mtu huyo ni dhulmati, ni mdhalimu.

Wenye Haki wanajua kuwa kila mtu anayohaki ya kutoa Maoni Yao, na kusikilizwa.
Wenye Haki wanajua hata walio waovu na wahalifu wanazohaki zao wanazotakiwa kupewa katika Uovu na uhalifu wao.
Wenye Haki wanajua kila mtu ni Bora, huku Wadhalimu wao hujiona ni Bora kuliko Watu wengine.

Sio ajabu kiongozi kufikia hatua kuua na kumwaga Damu za Watu wasio na hatua Kwa sababu yeye ndivyo alivyo, ni mdhalimu, na udhalimu upo ndani yake siku zote.

Wadhalimu hawapendi Ukweli Kwa sababu ukweli unaweka udhalimu wao hadharani. Wao huona wanaaibishwa Wakati udhalimu wao ndio unaowaabisha.

Mwenye HAKI na mtenda Haki haogopi kusikiliza Maoni ya wengine. kamwe Haki haizibi Watu midomo. NARUDIA Haki haizibi Watu midomo. Haki ni Ukweli. Ukweli hauzibi Watu midomo.

"Nitakuua"
"Nitakufunga na kukutia gerezani"
" Nitakufilisi na kukuhenyesha"
" Nitakuteka na kukumaliza"

Ni kauli za Watu wajinga, wapuuzi, waliojidharau na kudharaulika, wanaojihadaa na mambo ya mpito Kutokana na ulimbukeni wa Maisha.

Wewe juzi tuu ulikuwa huna lolote, haukuwa chochote na haukuwa lolote. Hicho Cheo chako hakijabadilisha Jambo lolote. Wewe ni yuleyule tuu. Hujabadilika. Utabaki kama ulivyokuwa.
Hukuwa na Cheo na hicho Cheo ulichonacho hautakuwa nacho.
Acha kutisha Watu kama mtu mpumbavu, tena kutisha Watu Wema na wenye Haki.
Kutisha Watu Wema na wenye Haki ni kumtisha Muumba WA mbingu na nchi Kwa sababu yeye ndio huo Wema na Haki.
Niliandika miaka kadhaa Nyuma Jambo kama hili.

Ndugu zangu, tujidhibiti na Majaliwa tuliyopewa. Zawadi zote tulizopewa tuzitumie kushirikiana na kusaidiana Kwa Furaha. Tukusaidie jamii yetu. Hivyo ndivyo inavyotakiwa.

Nawasisitiza Vijana na Wazee, msijichanganye, dhulma ni Dhambi ya Daima, ni laana Kwa kizazi chako.

Tenda Haki, penda Haki. Haki ndio Maisha.

Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato. Ijumaa Kareem.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
kwahiyo?
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Mkuu kuwa makini,kuna sheria ya usalama wa taifa imepitishwa juzi tu sambamba na ile IGA ya mchongo

Halafu mbona sijaliona andiko lako kwenye stories of change
 
Umenena vema. Mashetani siku zote kwanza huwa yanataka ushetani wao usijulikane, na ukijulikana hawataki usemwe.

Uporwaji wa bandari zetu ni ushetani. Yanayozuia watu kupaza sauti dhidi ya uporwaji wa bandari za Tanganyika, ni mashetani. Wanaowatisha kwa kuwakamata wanaopinga uporwaji wa bandari zq Tanganyika, ni mashetani.

Hii ni vita kati ya wema na ushetani. Wema ni tunda la Roho wa Mungu, ushetani ni laana. Wamelaanika waliouza bandari za Tanganyika, na mawakala wao wote.
 
Vipi Raia au kiongozi anae watukana watu au viongozi wake kua ni takataka na akili matope?
 
Kutisha watu Wema na wenye HAKI, ni kumtisha Muumba ambaye ndiye MWEMA na mwenye HAKI.

Mkitutishia kifo, tunawacheka na kuwashangaa maana tulisha kufa , tukazikwa na kufufuka kitambooooo!!!!
 
Jjiwe alikuwa shetani
 
Kutisha watu Wema na wenye HAKI, ni kumtisha Muumba ambaye ndiye MWEMA na mwenye HAKI.

Mkitutishia kifo, tunawacheka na kuwashangaa maana tulisha kufa , tukazikwa na kufufuka kitambooooo!!!!

Waovu ndio hutishwa ili waache uovu wao.
Lakini wenye Haki kamwe hawawezi kutishwa ili waache kutenda na kutetea Haki.
 
Umenena vema. Mashetani siku zote kwanza huwa yanataka ushetani wao usijulikane, na ukijulikana hawataki usemwe.

Uporwaji wa bandari zetu ni ushetani. Yanayozuia watu kupaza sauti dhidi ya uporwaji wa bandari za Tanganyika, ni mashetani. Wanaowatisha kwa kuwakamata wanaopinga uporwaji wa bandari zq Tanganyika, ni mashetani.

Hii ni vita kati ya wema na ushetani. Wema ni tunda la Roho wa Mungu, ushetani ni laana. Wamelaanika waliouza bandari za Tanganyika, na mawakala wao wote.

Wafanye maboresho sehemu zenye matatizo.
Mambo mengine sio mpaka Watu wagombezane, wachukiane na kuchapana.
 
Back
Top Bottom