Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!
Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga...
VIJANA WA CHADEMA AMUENI TUMALIZANE NA JAMBO MOJA KWANZA NDIO TUHAMIE LA PILI
Na Thadei Ole Mushi
Kwa miezi sita vijana wa Chadema wamebeba agenda tatu ambazo hawazifikishi mwisho. Walianza na...
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo anasema ni wajinga wanaokosoa mkataba wa IGA kauli hii ni kinyume cha Katiba na Sheria za nchi na Miiko ya Viongozi wa CCM kuhusu kuheshimu utu na uhuru
wa...
Moshi. Chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro kimesema kitawapunguza watendaji wa Serikali ambao watabainika kukitengenezea chama hicho ajali ili kishindwe katika uchaguzi wa Serikali za...
Prof. Kitila mkumbo ameshindwa kujibu hoja kuhusu mkabata anaanza kuviingiza vyombo vya ulinzi kwenye mambo ambavyo havihusiki navyo, kwani wakati mnaingia huo mkataba mlilijulisha Jeshi? kwanini...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na kinalaani vikali tukio la kushambuliwana, kujeruhiwa na kuporwa mali Wanahabari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), lililotokea...
Na:- Diplomatic Agent
Ni heshima kubwa kwa Taifa la Tanzania, Taifa la Kidemokrasia na lililojipambunua vyema katika masuala Diplomasia Kimataiafa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za...
MKATABA NDIO HUO KWA LUGHA YA KISWAHILI USOME NA UELEWE.
TAFSIRI NA UCHAMBUZI MKATABA WA BANDARI TANZANIA NA DUBAI.
UTANGULIZI; Februari 28, 2022, Rais Samia alipokwenda UAE kuhudhuria Maonesho...
Shujaa Magufuli alikuwa anayaogopa sana Malumbano ya Kidini na alijitahidi sana kuwafanya Watu wa Dini zote wawe marafiki
Pale Kinya udini unawasumbua sana ukienda Nairobi Wagalatia ukija...
Nahisi walikosea namba, message zimekuja kwangu. Hao walioshukuriwa hakuna hata mmoja ninaemjua.
Swali linalofikirisha, ni kwanini atoe shukrani kwa jambo ambalo lilipaswa kuwa halali...
Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.
Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati...
Kusema kweli maamuzi wa Rais Magufuli kuvunja mikataba tuliyoingia b yanatugharimu sana kama Taifa. Na yatatugharimu sana kama Taifa.
Hizi kesi tunazoshtakiwa na sasa tunalipa mabilioni...
Hilo ni swali nimekuwa najiuliza toka wananchi walipoamua ghafla tusherehekea siku yao tarehe 22/7/2023. Nitangulize kujitangaza kuwa mimi ni mwananchi lakini kwa hili sijawaelewa YANGA. Hii...
Ni historia nzuri kuijua
Ameandika Advocate: Othman Masoud
KAMARA KUSUPA NA MTAMBO WA KASUMBA JUU YA ZANZIBAR
Nimesoma katika Gazeti la An-nuur la tarehe 11- 17 Novemba, 2016, Makala ya...
Gazeti la Mwananchi lilipomuuliza Kamanda Muliro wa Kanda maalumu kuhusu kama ameshatoa kibali kwa Chadema Kufanya Mkutano wa Bandari Day huko Temeke Kesho Kamanda alisema vibali hutolewa wilayani...
Serikali na chama tawala wamefafanua vizuri sana kuhusu mradi huu wa bandari ya Dar es Salaam aliopewa mwekezaji kutoka Falme ya Dubai anayeitwa DP World.
2. Waziri wa Mipango na uwekezaji, Prof...
Uongozi ni Karama, Uongozi ni Taranta, Uongozi ni Zawadi Kutoka kwa Mungu wa mbinguni
Ipo tofauti kubwa Kati ya Leader, Manager na Administrator
Freeman Mbowe is a leader
Kiongozi wa Upinzani...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari.
Mbarawa:
Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.