CCM waanza kutumia mpango wao mkuu kuichafua CHADEMA

bitare

Senior Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
196
Reaction score
601
Kama kawaida ya CCM yanapowafika shingoni wanawakimbilia waislamu, ni mara nyingi wanafanya hivyo.

Nakumbuka tulipokwenda kwenye uchaguzi wa marudio Wilayani Igunga mwaka 2011 baada ya aliyekua Mbunge kipindi hicho Rostom Azzi kujiuzuru ubunge, maji yalipowafika shingoni ikabidi watumie plani kama hii, yakuwapa baadhi ya maimamu pesa ili waichafue CHADEMA.

Nilishuhudia tukio hilo kwenye ofisi ya Cable Netwark wilayani humo, huku likiwa live kwa watu waliokua wameunganisha cable majumbani kwao.

Hawa ndio CCM, wanaotumia kila hila kuhakikisha wanabaki madarakani. Ni kama wanawachukulia waumini wakiislamu ni wajinga, yaani wao hawawezi kusikia na kutafakari mpaka watafakariwe na viongozi wao, yaani wanatafuta genge fulani wanalipa pesa kwa maslahi yao.

Tutazunguka nchi nzima. Yaani nchi nzima kuisema CHADEMA tu, mtapata wapi pesa? Pesa zote hizo si zinaweza jenga msikiti mzima?

Hiyo mbinu yao ya kijinga imeshazoeleka, ndio maana sasa moto unaendelea kuwashwa tu bila kujali kama kuna wajinga wamelishwa pumba za udini wanaendelea kujitapikia.
 
Kama kawaida ya CCM yanapowafika shingoni wanawakimbilia waislamu, ni mara nyingi wanafanya hivyo.

Nakumbuka tulipokwenda kwenye uchaguzi wa marudio Wilayani Igunga mwaka 2011 baada ya aliyekua Mbunge kipindi hicho Rostom Azzi kujiuzuru ubunge, maji yalipowafika shingoni ikabidi watumie plani kama hii, yakuwapa baadhi ya maimamu pesa ili waichafue CHADEMA.

Nilishuhudia tukio hilo kwenye ofisi ya Cable Netwark wilayani humo, huku likiwa live kwa watu waliokua wameunganisha cable majumbani kwao.

Hawa ndio CCM, wanaotumia kila hila kuhakikisha wanabaki madarakani. Ni kama wanawachukulia waumini wakiislamu ni wajinga, yaani wao hawawezi kusikia na kutafakari mpaka watafakariwe na viongozi wao, yaani wanatafuta genge fulani wanalipa pesa kwa maslahi yao.

Tutazunguka nchi nzima. Yaani nchi nzima kuisema CHADEMA tu, mtapata wapi pesa? Pesa zote hizo si zinaweza jenga msikiti mzima?
Shida ni Ubwabwa
 
Mwenyekiti wake kwa kauli alishadhihirisha chadema ni CHAMA cha aina gani, kimeshavunja kanuni zinazoendesha vyama Vya siasa,kipewe adhabu Kali au kufutwa,kwani chama kuingiza udini,uislam kama hoja,huu ni ubatili na hatari kwa taifa letu..
 
Kwa kadiri ya kumbukumbu zangu wa mwanzo kuwatumia waislamu alikua B. W. Mkapa, kwa ahadi ya kuwazawadia chuo kikuu kama asante.

Ndio mwanzo wa kutunukiwa MUM waislamu.

Hivyo kama kuna muendelezo, walaumiwe wakatoliki wanaowatumia visivyo waislamu, ambao pia wamehodhi mamlaka ya juu ya nchi kwa niaba ya madhehebu mengine yote ya kikristo, na kubadilishana kati yao na waislamu peke yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom