Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiutazama mkataba wa bandari kati ya DP na Tanzania, ni vigumu sana kuamini kuwa waliouandaa na kuusaini walikosa uelewa wa mapungufu yote yaliyo dhahiri kiasi ambacho hata asiye na uelewa mkubwa...
16 Reactions
62 Replies
5K Views
Ninashauri kwa nia njema kabisa kwasababu hawa viongozi wawili wa CHADEMA kwa siku za karibuni wamekuwa wakionge vitu vinavyoleta ukakasi na hasira kwa wapiga kura nchini Tanzania. Hii inafanya...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
"Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,la kwanza,mpuuzi na mpumbavu tutamkabili kwa upuuzi na upumbavu wake" Wakili Boniface Mwabukusi. "Kabla sijaanza kuongea kuhusu...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Umaskini wa mwafrika uko kwenye kushindwa kutumia siasa katika kuamua mambo yetu.si kila kitu utatumia siasa.kwa mfano ukitumia siasa hovyo kwa mambo ya afya ujue utaua wengi. Kosa letu zinpokuja...
2 Reactions
3 Replies
584 Views
Naandika kwa uchungu sana. Saa nyingine naona hata bora ningekuwa mhadzabe nisijue chochote kinachoendelea kufanywa na wenye mamlaka. Huu ufisadi unaovuja au kusikia kupitia CAG ni sehemu tu ya...
0 Reactions
8 Replies
826 Views
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kufanya mikutano ya hadhara kuelezea utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo leo alikuwa Kata ya...
1 Reactions
0 Replies
456 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Tunapaswa kujua kuwa hakuna tukio kubwa linaloipata nchi yoyote bila mkuu wake kuonyeswa mapema ndotoni. Wengi wenu nadhani mlishawahi kusoma au kusikia kisa cha Yusufu...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
MBUNGE AESHI HILALY MGENI RASMI KAMATI YA CCM KATA YA MAFULALA Kata ya Mafulala iliyopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa leo imefanya mkutano mkuu wa CCM Kata na kuhudhuriwa na mgeni rasmi...
0 Reactions
4 Replies
595 Views
Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20) Kikeke...
8 Reactions
101 Replies
7K Views
Kati ya watu wamekuwa mstari wa mbele kuupigia debe mkataba wa kishenzi wa bandari, kwa upande wa wanahabari, ni bwana Kitenge. Huyu jina lake linajitokeza miongoni mwa wanaotajwa kupokea hongo...
10 Reactions
25 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa wingi wetu kwa maelfu na mamilioni tunaendelea kusimama na Rais samia, tunaendelea kumtetea, kumsemea na kuwa upande wake ambao ndio upande wa nchi na Taifa letu kwa...
4 Reactions
91 Replies
3K Views
Rais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri...
14 Reactions
64 Replies
4K Views
Wataalamu wa sheria wanaowakilisha kamuni ya Indiana wametuma barua kwa Wakili Mkuu wa Tanzania, ikidai malipo hayo ifikapo tarehe 17 Agosti 2023. Barua hiyo imetumwa tarehe 20 Julai 2023, Wito wa...
2 Reactions
50 Replies
10K Views
Soma Comments za Watanzania kwenye Live Streaming ya Mkutano wa Chadema kwa Sasa. Maaskofu wanashambulia Jukwaa. Ukiwa huijui hujafika Tanzania halafu mtu akakushusha kwenye Mkutano huu utafikiri...
-2 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu John Heche pekee emekuwa akizunguka nchi nzima kuinadi Chadema. Binafsi nimewahi kukutana naye Lindi akifanya kazi katika mazingira magumu sana. Ilikuwa hakuna ruzuku kilipita...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
KOMREDI KAWAIDA, ATUMA SALAMU KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI, ASISITIZA KUMLINDA RAIS SAMIA NI JUKUMU LA VIJANA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Ndg. Mohammed Ali KAWAIDA (MCC)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta...
13 Reactions
120 Replies
5K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitarudi nyuma kuhusu uwekezaji katika bandari kwa sababu uwekezai huo uko kwenye ilani ya chama hicho ya mwaka 2020-2025. Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari jf , Binafsi kwa nature ya kazi yangu ananifanya nakuwa karibu sana na watu wa aina mbalimbali lakini kuna kitu sijakuelewa. Asilimia kubwa ya Waalimu hawampendi hayati JPM Wanasheria na...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar Mwezi 27 katika maadhimisho ya Mwaka Mya wa Kiislamu 1445 - Hijiria tarehe 16...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom