Mchungaji: Ngeleja alirudisha Serikalini Fedha za escrow alizopewa isivyo halali na Mafisadi, Mungu alimsamehe Dhambi ile!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,114
Mchungaji amesema binadamu anapaswa Kutubu na kusamehe " Utusamehe Dhambi zetu kama sisi tunavyowasamehe wanaotukosea"

Waziri mstaafu Ngeleja alipokea Fedha na ilipoibuliwa bungeni na Mzalendo David Kafulila Kuwa Fedha zile ni Rushwa mh Ngeleja alizisalimisha Serikalini na kunawa Mikono yake

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Back
Top Bottom