Waziri Nape astushwa Waandishi wa Mwananchi kushambuliwa na Watu Wasiojulikana, alaani na kuagiza Polisi Wawasake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,022
Waziri wa Habari Nape Nnauye amelaani Utamaduni wa kuwashambulia Waandishi wa Habari wakiwa wanatimiza majukumu yao

Nape amewaagiza Polisi kuwasaka Watu waliowashambulia Waandishi wa habari wa Mwananchi jana kule Temeke kwani Mazingira yanajulikana

Waziri kaongea kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica Njema!
 
Mbona wakienda Lumumba watawakuta.
 
Waziri wa Habari Nape Nnauye amelaani Utamaduni wa kuwashambulia Waandishi wa Habari wakiwa wanatimiza majukumu yao

Nape amewaagiza Polisi kuwasaka Watu waliowashambulia Waandishi wa habari wa Mwananchi jana kule Temeke kwani Mazingira yanajulikana

Waziri kaongea kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica Njema!
Unafiki mtupu...wahusika si ni wao wenyewe!?! (serikali, polisi, na CCM)
 
Waziri wa Habari Nape Nnauye amelaani Utamaduni wa kuwashambulia Waandishi wa Habari wakiwa wanatimiza majukumu yao

Nape amewaagiza Polisi kuwasaka Watu waliowashambulia Waandishi wa habari wa Mwananchi jana kule Temeke kwani Mazingira yanajulikana

Waziri kaongea kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica Njema!
Mbona Wanajulikana Chadema walipangiwa kufanya MKUTANO pale na wakapandisha Bendera zao Wale wengine walioenda kupandisha Bendera za Kijani ni wa Chama gani wakati hawakuwa na Mkutano Eneo lile?
 
Waziri wa Habari Nape Nnauye amelaani Utamaduni wa kuwashambulia Waandishi wa Habari wakiwa wanatimiza majukumu yao

Nape amewaagiza Polisi kuwasaka Watu waliowashambulia Waandishi wa habari wa Mwananchi jana kule Temeke kwani Mazingira yanajulikana

Waziri kaongea kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica Njema!
Labda mwenda zake kafufuka huko alipo ,mana tuliaminishwa hivyo
 
Waziri wa Habari Nape Nnauye amelaani Utamaduni wa kuwashambulia Waandishi wa Habari wakiwa wanatimiza majukumu yao

Nape amewaagiza Polisi kuwasaka Watu waliowashambulia Waandishi wa habari wa Mwananchi jana kule Temeke kwani Mazingira yanajulikana

Waziri kaongea kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica Njema!
You will never find justice in a world where criminals make the law
Bob Marley
 
Back
Top Bottom