Tulijua CCM itafanya kila mbinu Chadema wasifanye mkutano wao Temeke leo

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wenye Akili kubwa tulijua tu kuwa mkutano wa CHADEMA Temeke utapata vizingiti tu kutoka kwa watawala kama sio polisi basi ni CCM au msajili wa vyama. Hatimae yameanza kutokea.

Wahuni wametumwa wakapandishe bendera za CCM eneo la mkutano wa CHADEMA ili kuwe na vurugu zionekane ni za CHADEMA.

Waandishi wa habari wamefanyiwa vurugu za kipigwa na kuibiwa na hao hao wahuni ili ionekane ni CHADEMA.

Sasa kajitokeza msajili wa vyama nae kaja na hadithi zake za Alinacha eti CHADEMA wanachanganya dini na siasa. Namuuliza msajili wa vyama je viongozi wa dini hawaruhusiwi kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa? Je viongozi wa dini sio wananchi? Je ni sheria gani inayowakataza? Mbona Askofu GWAJIMA ni mbunge wa CCM, ile sio siasa?

Wenye akili kubwa tulijua tu kwa kuwa agenda kuu ya huu mkutano ni mkataba mbovu wa bandari, na CCM haitaki sakata la bandari. Wananchi waelezwe ni wazi huu mkutano utapingwa na CCM kwa kupeleka wahuni, na kisha msajili wa vyama auzuie kwa kigezo cha kuwa CHADEMA ndio imesababisha hizo vurugu.

CCM inaonekana inataka yanayotokea Kenya yatokee na Tanzania.
 
Wenye Akili kubwa TULIJUA tu kuwa MKUTANO wa CHADEMA Temeke utapata VIGINGI tu kutoka kwa WATAWALA kama sio POLISI basi ni CCM au MSAJILI wa VYAMA.Hatimae yameanza kutokea
WAHUNI wametumwa wakapandishe BENDERA za CCM eneo la MKUTANO wa CHADEMA ili kuwe na VURUGU zionekane ni za CHADEMA
Waandishi wa Habari wamefanyiwa Vurugu za Kipigwa na Kuibiwa na hao hao Wahuni ili ionekane ni CHADEMA
Sasa kajitokeza MSAJILI wa VYAMA nae kaja na Hadithi zake za Alinacha eti CHADEMA wanachanganya DINI na SIASA namuuliza MSAJILI wa VYAMA je Viongozi wa Dini hawaruhusiwi kuhudhuria Mikutano ya Vyama vya Siasa? Je Viongozi wa Dini Sio Wananchi Je ni sheria gani inayowakataza? Mbona Askofu GWAJIMA ni Mbunge wa CCM ile sio SIASA?
Wenye AKILI KUBWA TULIJUA tu kwa kuwa AGENDA KUU ya huu MKUTANO ni MKATABA MBOVU wa BANDARI na CCM haitaki SAKATA la BANDARI Wananchi WAELEZWE ni Wazi huu MKUTANO UTAPINGWA na CCM kwa kupeleka WAHUNI na kisha MSAJILI wa VYAMA AUZUIE kwa kigezo cha kuwa CHADEMA ndio imesababisha hizo VURUGU.
CCM inaonekana inataka yanayotokea KENYA yatokee na TANZANIA.
Pole nipo kwenye ground maandalizi yanafanyika
 
CCM haitaki KUUMBULIWA UOVU wake kwenye SAKATA LA BANDARI
20230723_082832.jpg
 
Msajili hana uwezo wala mamlaka yoyote ya kusimamisha mkutano wa chama chochote cha siasa.

Hiyo taarifa ni magumashi. Taarifa imetengenezwa na kuwadi mla rushwa ya mwaraba, bwana Maulid Kitenge. Mkutano upo pale pale kama ilivyopangwa.
 
Hilo tangazo ni propaganda Tu Toka lini msajili wa vyama anaweza kuzuia mkutano? Kwa taarifa yako ni kuwa mkutano unaendelea pale viwanja vya buriaga na maandalizi ya kufunga majukwaa yamekamilika Leo asubuhi
 
Kwa yanayoondelea kufanywa na CCM inathibitisha pasipo na shaka kuwa huu mkataba na DPW RUSHWA kubwa sana ilitumika na inaendelea kutumika kuhakikisha huu mkataba wa kinyama, aibu na kifisadi unatekelezwa!
CCM kumbekeni kuwa mnaweza kufanikiwa kutokana na kutumia "nyenzo mbalimbali mlizo nazo" Lakini kamwe hamuwezi kumshinda Mwenyezi Mungu na atawaadhibu kwa laana kubwa nyie na uzao wenu kwa hii DHULUMA mliyowafanyia waTanzania. Amina.
 
Back
Top Bottom