Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume. Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo...
21 Reactions
146 Replies
19K Views
Uhuru usio na mipaka ni uhaini. Kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na...
8 Reactions
160 Replies
12K Views
Malawi Na Tanzania Za Saini Hati Ya Makubaliano Malawi kutumia mkongo wa intaneti unaopita chini ya ardhi kuunganisha Tanzania na Malawi hatimaye dunia unaokatisha chini ya bahari ya Hindi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Zipo taarifa kwamba Wakenya wamekuja Tanzania kujifunza Mafanikio ya STAMICO, sasa na mimi naomba kuyajua hayo mafanikio ambayo STAMICO inaweza kuwafundisha wengine?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mchungaji amesema binadamu anapaswa Kutubu na kusamehe " Utusamehe Dhambi zetu kama sisi tunavyowasamehe wanaotukosea" Waziri mstaafu Ngeleja alipokea Fedha na ilipoibuliwa bungeni na Mzalendo...
0 Reactions
1 Replies
399 Views
Kama kawaida ya CCM yanapowafika shingoni wanawakimbilia waislamu, ni mara nyingi wanafanya hivyo. Nakumbuka tulipokwenda kwenye uchaguzi wa marudio Wilayani Igunga mwaka 2011 baada ya aliyekua...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
UKIONA KIONGOZI ANATUMIA LUGHA ZA KUTISHA WATU, JUA HUYO NI DHULMATI"MDHALIMU", MASHETANI NDIO HUFANYA HAYO. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Saikolojia ya mtu mwovu...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya. Kwani katiba ilioruhusu Zanzibar kuwa na serikali yake kamili, huku Tanganyika ikiwa haina serikali nyingine yake yenyewe, kwanini katiba hio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wenye Akili kubwa tulijua tu kuwa mkutano wa CHADEMA Temeke utapata vizingiti tu kutoka kwa watawala kama sio polisi basi ni CCM au msajili wa vyama. Hatimae yameanza kutokea. Wahuni wametumwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
KAMA JAKAYA NA UHURU, KAMA RIDHIWANI NA JOMO JAKAYA Kikwete, Rais wa Nne Tanzania. Uhuru Kenyatta; Rais wa Nne Kenya. Ridhiwani ni mtoto wa kwanza wa Jakaya. Jomo ni mwana wa kwanza wa...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu, Leo ni uzinduzi wa kampeni kwa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ambazo zinafanyika leo Jumamosi tarehe 29 Agosti 2015 katika viwanja vya Jangwani. Kampeni hizi zitaungwa...
75 Reactions
3K Replies
377K Views
Waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao...
6 Reactions
87 Replies
10K Views
Kwa mujibu wa shirika la fedha Duniani IMF Uchumi wa Tanzania hivi sasa unafika karibu asilimia 6% Wakati uchumi wa Majirani zetu wa Kenya upo asilimia 4.7% Hongera Mama Rais Samia Suluhu...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Akizungumza na gazeti la Mwananchi , DCI Ramadhan Kingai amesema kwamba wito uliotolewa kwa wale Wazalendo wanaopinga Mkataba wa kimangungo kati ya Tanzania na DP WORLD wa kuitwa kuhojiwa polisi...
14 Reactions
157 Replies
12K Views
Disemba 1961 Tanzania ilipata Uhuru na kushimika Bendera yake na Mwenge wa Uhuru katika kilele cha Mlima Kilimanjaro na marehemu MajorAlex Gwebe Nyirenda. Huyu ndiye shujaa aliyepandisha bendera...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Niweke wazi kabisa kwamba , hakuna mabadiliko yoyote yatakayopongezwa , ikiwa Francis Mutungi na msaidizi wake Sisty Nyahozya wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa, na yule Dr Mahera ambaye ni...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania, Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na CCM baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa...
20 Reactions
125 Replies
13K Views
Wahandisi hutengenezwa wahandisi hawazaliwi hivyo kama kuna mtu anadhani uhandisi ni kipaji na kuna watu wanazaliwa wakiwa wahandisi huyo anajidanganya. Jukumu la kutengeneza wahandisi ni la...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hifadhi kubwa zaidi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania Wataalumu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za gesi hiyo ya barafu kama inavyofahamika. Hifadhi ya...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa jinsi Lissu anavyoendelea vibaya kuutumia uhuru alionao kikatiba katika mikutano tofauti, inakaribia sana kwetu waTZ kuamini kuwa yaliyomtokea wakati wa Magufuli pengine haikuwa makosa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom