Napendekeza mwaka 2025 Waziri Mkuu apeperusha bendera ya CCM kuwania kiti cha urais

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
382
764
Nimekuwa nikifuatilia hotuba, maamuzi, ushauri, ufuatiliaji wa shughuli za Serikali na kufanya kazi kama timu moja napendekeza Mhe. Waziri Mkuu apeperushe bendera ya CCM mwaka 2025 kwa nafasi ya mgombea wa CCM kama Rais.
 
Hana credibility kama mnavyotaka kum brand

1. Alilidanganya taifa juu ya afya ya raisi, alikua na nia gani?
2. Alishiriki michezo michafu ya uchaguzi.
3. Kuna kesi nyingi hazifanyii kazi, mbona mfanya biashara aliedhurumiwa na TRA alikataa asiongee kwenye mkutano wa kariakoo hali ya kua bado hajalipwa. Yeye anakua anashiba kwa kodi za wananchi wakati wengine wanateseka kwa kudhurumiwa na serikali.

Napenda kusema yeye hana maajabu, niwalewale.
 
Nimekuwa nikifuatilia hotuba, maamuzi, ushauri, ufuatiliaji wa shughuli za Serikali na kufanya kazi kama timu moja napendekeza Mhe. Waziri Mkuu apeperushe bendera ya CCM mwaka 2025 kwa nafasi ya mgombea wa CCM kama Rais.
Urais wa TFF? ANAPITA BILA KUPINGWA.....
 
Back
Top Bottom