Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo aitetemesha Katavi, atoa maagizo mazito kwa Doto Biteko

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,311
9,740
Ndugu zangu Watanzania,

Katibu mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo Ametua kwa kishindo na Kuutetemesha mkoa wa katavi kwa maagizo yake mazito kwa Naibu waziri Mkuu na waziri wa Nishati Mh Dotto Biteko, yaliyowafanya wana katavi kulipuka kwa shangwe,furaha , Tabasamu na matumaini makubwa kwa chama cha Mapinduzi. Ndugu Chongolo kwa umadhubuti, uimara na Sauti ya mamlaka amemtaka mh Biteko kushughulikia haraka sana suala la umeme katika kuhakikisha katavi inaunganishwa katika grid ya Taifa kama ilivyo kwa mikoa ya kigoma na Rukwa ili katavi nayo ipate mwanga.

Akiendelea kuzungumza huku muda wote watu wakiwa wamejaa Tabasamu katika nyuso zao kutokana na matumaini makubwa na imani yao kwa CCM alieleza kuwa ni lazima suala hilo lifanyike haraka ,kwa kuwa kama serikali imeweza kujenga barabara nzuri ya lami kutoka Tabora hadi katavi Haiwezi kushindwa kuweka nguzo za umeme ili wana katavi wafurahie na mkoa upate wawekezaji wakubwa watakao wekeza maeneo mbalimbali na hivyo kuchochea maendeleo ya kiuchumi ya mkoa huo.

Akiendelea kusikiliza kero na changamoto mbalimbali za wananchi ambapo wananchi muda wote walikuwa wakimshangilia kwa nguvu kubwa sana na kuahidi kuipa Ushindi CCM katika chaguzi zijazo hasa pale alipotamka kuwa anahitaji kusikiliza zaidi masuala ya kero na changamoto za wananchi ili zipatiwe ufumbuzi na kuwatua mizigo wananchi kuliko habari za kusikiliza mafanikio tu au kusikia sauti za viongozi tu.Jambo ambalo liliwakosha sana na kuteka mioyo ya wengi.

Hii ndio Tofauti ya CCM na vyama vya upinzani ambavyo vyenyewe muda wote huwa ni kulalamika na kutukana matusi tu bila kueleza chochote au hoja yoyote ile yenye kugusa maisha ya watu au kuleta matumaini,.ndio maana wananchi wanaendelea kuwa karibu na CCM kwa kutambua kuwa palipo na kiongozi wa CCM pana majibu, matumaini na suluhisho la kero na changamoto zao. Ndio maana watu wenye shida ,kero na changamoto huwa njia zao ni katika ofisi za CCM au mikutano ya CCM.

Kwa kuwa wengi wanajuwa kuwa ni CCM Pekee ndio mahali ambapo sauti zao zinaweza kusikika , kusikilizwa na kupewa majibu. Ni CCM Pekee unapokuwa na uhakika wa kusikia masuala yanayogusa maisha yako na namna ya kukusaidia mwananchi kuinuka kiuchumi au kukufungulia milango ya fursa,kama ambavyo Ndugu Chongolo ametoa maagizo ya kuhakikisha kuwa serikali inawapatia umeme wa uhakika wana katavi na hivyo kuwafungulia milango ya fursa mbalimbali.

Hii ndio sababu ya CCM Kuendelea kusalia madarakani kwa miaka yote na kuendelea kuaminika,kupendwa,kuchaguliwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania .Ndio sababu ya CCM Kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge,sauti kwa wasio na sauti na nguvu kwa wasio na nguvu pamoja na kuwa mkombozi na nuru ya wanyonge. CCM inawekeza katika maisha ya watu kutokana na kuwa na uchungu na maisha ya watanzania,ndio maana muda wote huzungumzia masuala yanayogusa maisha ya watu tu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Kwa hiyo Katavi imetetemeka?
 
Hivi kuna watu bado wanahudhuria mikutano ya hawa watu
Mikutano ya CCM inahudhuliwa na Maelfu ya watu kwa kuwa kila mtu anatambua CCM Ndio wenye serikali na ndio wenye majibu ya kero yoyote ile.ndio maana watu hufurika kwa wingi na kuwa na matumaini mioyoni mwao.
 
Ccm wanabebana na kulindana huku wananchi wakiumia.
 
Ndio tatizo la kulima katani hili yaani unasubiria kitu ambacho huwezi kuvuna na kupeleka
nyumbani
Utakoma na bado
 
Back
Top Bottom