Kweli Mkurugenzi Jiji la Mwanza hatambui maagizo ya Waziri Mkuu!

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
380
763
Kati ya Waziri Mkuu na Mkurugenzi wa Halmashauri nani mkubwa?

Kweli Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza anadiriki kusema kuwa hatambui maagizo ya Mhe. Waziri Mkuu kuwa yeye anatambua maagizo ya Mkuu wa Mkoa?.

Huyu Mkurugenzi hafai kuendelea kukalia kiti hicho na anatakiwa kuomba radhi na kujiondoa mwenyewe.
 
Kati ya Mhe. Waziri Mkuu na Mkurugenzi wa Halmashauri nani mkubwa?. Kweli Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza anadiriki kusema kuwa hatambui maagizo ya Mhe. Waziri Mkuu kuwa yeye anatambua maagizo ya Mkuu wa Mkoa?. Huyu Mkurugenzi hafai kuendelea kukalia kiti hicho na anatakiwa kuomba radhi na kujiondoa mwenyewe.
Makonda enzi zake alikua na nguvu kuliko hata waziri mkuu kassimu majaliwa, hata makamu wa Raisi hakua na nguvu kuliko makonda, kinacho angaliwa ni connection yake mpaka kupewa hicho cheo, mkuu ni Tanzania sio Marekani, ambapo kuna constitutional rule
 
Kati ya Mhe. Waziri Mkuu na Mkurugenzi wa Halmashauri nani mkubwa?. Kweli Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza anadiriki kusema kuwa hatambui maagizo ya Mhe. Waziri Mkuu kuwa yeye anatambua maagizo ya Mkuu wa Mkoa?. Huyu Mkurugenzi hafai kuendelea kukalia kiti hicho na anatakiwa kuomba radhi na kujiondoa mwenyewe.
IMG_8119.jpeg
 
Kwanini mkuu jina lina kosa gani, majalia ndo jina la hope kwa kiingereza au sio ndo Fortune?
Shida sio jina tu mkuu ila mwenye jina hilo ambae alitakiwa awe mfano ndio tatizo🤣🤣🤣🤣
 
Naona ulikuwa unamuwahi johnthe baptish kupost Kwa haraka, Sasa edit ili tuelewe maana umepost fasta sana
 
Kati ya Mhe. Waziri Mkuu na Mkurugenzi wa Halmashauri nani mkubwa?.

Kweli Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza anadiriki kusema kuwa hatambui maagizo ya Mhe. Waziri Mkuu kuwa yeye anatambua maagizo ya Mkuu wa Mkoa?.

Huyu Mkurugenzi hafai kuendelea kukalia kiti hicho na anatakiwa kuomba radhi na kujiondoa mwenyewe.
ni nani huyo ili kusudi nimuelekeze zuhura yunusi aapload pdf la tenguzi mara maoja, alaa??

hatuwezi kwenda hivi....
 
hata makamu wa Raisi hakua na nguvu kuliko makonda
Ni heri makonda kuliko hilo bomu. Makonda ni kiongozi, na chini yake mambo yalikwenda. Sio kila mtu anafaa kuwa kiongozi wa Uma, wengine wana capacity ya kuongoza familia tu.
 
Back
Top Bottom