Wanasosholojia wawajibu TEC na tamko lao

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,948

View: https://www.youtube.com/watch?v=UkcBZGyKIrw&t=69s

Tamko la baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki kupinga uwekezaji wa bandari na kusoma kwake katika makanisa yote ya kanisa katoliki

Katiba yetu inasema Tanzania kama nchi haina dini ila watanzania wana dini zao (19.-(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake.

Ibara ya 19 (2) inasema kuwa bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu ya binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi.

Kwa misingi hiyo ya katiba hapo juu ni dhahiri Taasisi za dini si taasisi za serikali ila zinahaki kama raia wa kisheria (legal body) kuhusiana na serikali kwa mjibu wa katiba na sheria.

Taaluma ya sosiolojia ina itambua dini kama taasisi kuu ya jamii yenye majukumu ya kuwasidia waumini na watu wengine: kutambua ukuu wa Mungu muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana na kuwafanya wamuheshimu, kmtukuza na kumtii ili waje kuona ufalme wake; kuwa wadilifu; kushikamana na kushirikina; kufarijika na kuwapa matumaini kutokana na ahadi za kuwepo kwa mungu mwenye upendo na anayewapenda na yuko tayari kuwalinda wasipotee.

Kwa misingi hiyo viongozi wa dini ni watu wanaoheshimika katika jamii kwa sababu ya kujitolea kwao kwa ajili ya wengine katika jamii na unyenyekevu wao. Aidha kwa wasifu wao huo viongozi wa dini wamekuwa ni tegemeo la kusuluhisha watu inapotokea migongano katika jamii. Sifa za msulushi ni pamoja na kutokuwa mshiriki katika jambo, kutokuwa na upande katika jambo, na kuamika bila mashaka na pande zinazozozana katika jambo.

Kwa mda sasa taasisi za dini na viongozi wa dini wamepoteza sifa hizo kwa namna mbali mbali. Viongozi wa dini wamesimama pale wasipostahili kusimama, wamesema maeneno yanayofanana kabisa na wanasiasa, na ukiwaona, kuwasikiana , mienendo na matendo yao unaona pasina shaka wao ni nani.

Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki lilianza kushughurika na Mkataba hodhi wa bandari baada ya kufika kwenye himaya ya jamii. June 12 na 26 walikutana na tume ya wazira ya ujenzi ambao ndio wahusika kwa upande wa serikali. Maswali yao yalifanana kabisa na maswali yaliyouliza na Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA na wengine wote walioamua kuwa majabali ya kuyapiga mwangwi. Mpaka leo maswali yao ni hayo hayo na ndiyo yaliyomo kwenye Tamko. Serikali kwa upande wake wamejitahidi kutoa ufafanunuzi kwa kadri wanavyoweza ikiwemo mkutano kati ya timu ya wizara, mamlaka ya bandari, na timu iliyoshiriki kwenye mjadiliano na kauandaa mkataba hodhi na mingine inayokuja na jukwaa la wahariri wa vyombo vyote vya habari, lakini wanaopinga wakiwemo Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki wameamua kutosikiliza.

Aidha imekuja kubainika kuwa BAKWATA, CCT na Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki waliomba na kukubaliwa kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kupata fursa ya kuwakilisha maoni na ushauri wao. Kwa mjibu wa maelezo ya Askofu mkuu wa KKKT, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliwasikiliza, kupokea ushauri wao na kuwaeleza kuwa atashirikisha vyombo vinavyohusika na atawapa mrejesho. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliomba subira, BAKWATA na CCT waanasubiri ila Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki wamekosa subira.

Tamko la Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki lilirejea Biblia na kunukuu kitabu cha Warumi 16:17-18. Lakini ukisoma warumi 16 yote inabeba mada kuu tatu. Mada ya kwanza ni salamu kwa watu mbalimbali (16:1-16), mada ya pili ni onyo la mwisho (16:17-24) na mada ya tatu ni Sala Ya Kumsifu Mungu (16:25-27). Kwa kuzingatia mgawanyo huo wa mada tamko la Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki likisima kwenye warumi 16:17-24 ni onyo la mwisho.​

onyo la mwisho Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki linatolewa baada ya timu ya wizara, mamlaka ya bandari, na timu iliyoshiriki kwenye majadiliano na kauandaa mkataba hodhi na mingine inayokuja kutoa ufafanuzi kwa kina kwa kila kifungu. onyo la mwisho Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki linatolewa baada kuombwa na Rais wampe mda ashirikishi vyombo vyake. Na baya kuliko yote onyo la mwisho Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki lilitolewa baada ya hukumu ya mahakama kuu ambayo huenda ikazaa rufaa kwenda mahakama kuu. Hukumu ya makakama kuu inajibu hoja zote zilizotolewa na upande wa wanaopinga mkatba hodhi wa bandari. Katika jamii iliyostarabika, mahakama ikishatoa hukumu, jambo linalobishaniwa linafika mwisho. Lakini kwetu hapa, matendo na mienendo yetu inaeleza tofauti.

Pasina shaka yoyote onyo la mwisho la Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki limevunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sheria, mila, desturi na utamaduni wa jamii yetu. Jamii yetu inatambua na kuamini katika utawala wa sheria. Sheria ni msumemo, na sheria ina tabia kutoa au kuruhusu na kuchukua au kukataza. Sura ya kwanza sehemu ya pili ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imebeba maudhui juu ya Malengo Muhimu na Misingi ya Mwelekeo wa Shughuli za Serikali. Sehemu hii ya pili inanzia ibara 6 hadi ya ibara ya 11. Kwa urahisi wa kurejea tunainukuu ibara yote ya 8 ambayo maudhui yake ni serikali na watu.

8 (1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, na kwa hiyo-

(a) Wananchi ndio msingi wa mamlaka yote, na Serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa Katiba hii;

(b) Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi;

(c) Serikali itawajibika kwa wananchi;

(d) Wananchi watashiriki katika shughuli za Serikali yao kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii.

(2) Muundo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, au wa chochote kati ya vyombo vyake na uendeshaji wa shughuli zake, utatekelezwa kwa kuzingatia umoja wa Jamhuri ya Muungano na haja ya kukuza umoja wa kitaifa na kudumisha heshima ya Taifa.

Ila ilikutimiza matakwa yao mawakili waliopuuza hukumu ya mahakama na kwenda kwenye mahakama ya wananchi na baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki lilitoa tamko kupinga mkataba hodhi wa bandari na wanarejea tu ibara 8 ibara ndogo ya 1 a na c na kupuuza sehemu zote zilizobaki za sura ya pili kwa sababu haziungi nia yao isiyo njema kwa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Nia isiyo njema kwa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mawakili waliopuuza hukumu ya mahakama na kwenda kwenye mahakama ya wananchi na baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki lilitoa tamko kupinga mkataba hodhi wa bandari inaokena katika kudhalilisha hadhi na mamlaka ya serikali na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sura ya pili ya katiba Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 imebeba maudhui ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Rais ameongelewa katika sehemu ya kwanza. Kwa muktadha wa uchambuzi wetu tunarejea ibara 34. Ambayo kwa urahisi wakurejea tunainukuu ibara 34 (1) (2)

34.-(1) Kutakuwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na mamlaka juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara.

(2) Mamlaka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatahusu utekelezaji na hifadhi ya Katiba hii na pia mambo mengineyo yote ambayo Bunge lina mamlaka ya kuyatungia sheria.

Tunarejea tena ibara ya 35 ibara ndogo ya (1)

35.-(1) Shughuli zote za utendaji za Serikali ya Jamhuri ya Muungano zitatekelezwa na watumishi wa Serikali kwa niaba ya Rais

Ibara nyingine muhimu ni ibara ya 37 ibara ndogo ya (1)

37.-(1) Mbali na kuzingatia masharti yaliyomo katika Katiba hii, na sheria za Jamhuri ya Muungano katika utendaji wa kazi na shughuli zake, Rais atakuwa huru na hatalazimika kufuata ushauri atakaopewa na mtu yeyote, isipokuwa tu pale anapotakiwa na Katiba hii au na sheria nyingine yoyote kufanya jambo lolote kulingana na ushauri anaopewa na mtu au mamlaka yoyote.

Kwa ujumla ibara 34 (1) na (2) zinatambua kuwemo mikononi mwa Rais mamlaka iliyotoka kwa wananchi. Ili kutekeleza mamlaka yake Rais atatumia watumishi wa serikali (35 (1)) na hapaswi kufuata ushauri wa mtu yeyote kufanya jambo lolote isipokuwa kwa mjibu wa katiba au sheria zingine (37(1)).

Ukiacha kando katiba na sheria, baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki, nia isiyo njema kwa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania inabainishwa na madai yao kuwa tamko lao linaaksi sauti ya watanzania wengi zinazoonyesha kuwa hawataki uwekezaji katika bandari (rejea semehu ya 6.1 na 7 ya Tamko). Tuna nukuu kurahisisha kurejea:-

Na

Huwezi kujenga hoja yako kwenye maoni ya wananchi isipokuwa pale tu unapokuwa umeitisha kura ya maoni. Hii ni sayansi na lazima iwe na ushahidi wa kisayansi. Je ni lini baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki liliitisha maoni ya wananchi?

Ni wazi pasina mashaka yoyote kuwa, Mawakili waliopuuza hukumu ya mahakama na kwenda kwenye mahakama ya wananchi; na baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki lilitoa tamko kupinga mkataba hodhi wa bandari wamefanya hivyo kinyume cha katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 26 (1) na (2) ambayo kwa kurahisisha marejeo yake tunanukuu:-

26.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kufuata na kutii Katiba hii na sheria za Jamhuri ya Muungano.

(2) Kila mtu ana haki, kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria, kuchukua hatua za kisheria kuhakikisha hifadhi ya Katiba na sheria za nchi.

Kwa ufupi toka mwanzo, sasa na hata milele baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki na CHADEMA wanataka na wanaiamrisha serikali iachane na wanachotaka kufanya kwenye bandari. Kwanini CHADEMA hawataki inaeleweka, ila ni vigumu sana kuelewa kwa nini Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki pia hawataki. Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki, siyo tu hawataki, wanaenda mbali zaidi kwa kuwataka waumini pia wapinge, siyo kupinga tu bali wahakikishe pia hautekelezeki. Wanawatia waumini wao katika majaribu makubwa na kuwaweka njia panda. Haya mambo yakiachwa kuendelea tunavunja taifa letu, tuombe isitokee.
 
Duh, siku zote najua huyu jamaa alishatangulia mbele za haki!!! Kumbe yupo!!? Duh

Kasikia Jerry na Mkumbo wamedaka vyeo sasa na yeye anajaribu bahati yake. Hongera zake
Akikutangulia kufa utaishi kwa tabu sana hahahahahhhh
 
Duh, siku zote najua huyu jamaa alishatangulia mbele za haki!!! Kumbe yupo!!? Duh

Kasikia Jerry na Mkumbo wamedaka vyeo sasa na yeye anajaribu bahati yake. Hongera zake
Ni wa kwenye nywele au kwenye nguo?
 
Kurukaruka Kwa Maharage ndo kuiba kwake.

Na hakuna jambo baya kama kumsemesha mtu na asikujibu!!

Andaeni tamasha lingine kujifariji!!
 
mkuu mbona tamasha ni la toka 2018?
 
Tamko tu mnatapika ulimi 🤣🤣🤣🤣
 
Huwezi bila msaada wa Mbowe maana kachukua akili zako kitambo
Mkuu mimi ni CCM Damu kabisa kuanzia Babu yangu ambaye alipigania Uhuru na Kafa akiwa TANU nimelelewa CCM kupitia UVCCM miaka ya 98 mpaka 2004 nimeshika nyadhifa mbalimbali za Chama na Bado ni mwanachama Hai wa Ccm Niliyelipia Uanachama wangu Kwa miaka mitatu,Na mwanachama wa Jumuia ya wazazi pia ni mjumbe wa Mkutano wa Wilaya wa CCM....
Kwa hyo MBOWE Hawezi nielekeza kitu ila sio sababu ya mimi Kukubaliana na chchote Kinachoenda kinyume na serikali....
LENGO HASA LA CHAMA CHA MAPINDUZI KAMA CHAMA TAWALA NI KUISIMAMIA SERIKALI INAPOENDA MRAMA TUKISHINDWA KUISIMAMIA NA TUKAIFATA BLINDLY TUTAKUWA HATUNA TOFAUTI NA WAPINZANI WANAOFATA KILA SERIKALI WASEMACHO
Kasome IMANI ya Chama pia na Imani ya mwana TANU NA CCM
#KIDUMU CHAMA TAWALA
 
Nextime fupisha mada ndefu zinazosemeka labda za ngono au simulizi hizi wabongo hawawezi
 
Preamble ya tamko hili tu inaelezea njaa iliyotumika kuliandaa.

Maaskofu TEC watabaki very clean kwenye tamko lao kwa sababu mpaka sasa hakuna aliyeweza kujenga hoja ktk kupinga contents za waraka huo.

Kinachofanyika ni political bluff dhidi ya tamko
 
Back
Top Bottom