Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasalaam, Rais Magufuli leo amesema anashangaa kuona baadhi ya Majaji nchini kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya likizo zao za mwaka. Rais Magufuli amesema huwa anatoa vibali...
25 Reactions
510 Replies
55K Views
Kwa bahati Mzuri nimekusoma ile IGA iliyoridhiwa na Bunge letu tukufu. Nimesoma pia Tamko la Kanisa Katoliki. Katika IGA DP World aliweka Masharti yake anayoamini yatalinda Uwekezaji wake ili...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- i)Amemteua Bw. Ally Amani Karavina kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Kawambwa, amewasihi vijana wasikubali kutumika na baadhi ya watu wakiwemo wanasiasa au viongozi wa dini ambao wanakusudia kuharibu amani na utulivu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba , kesho Jumapili 20/08/2023 imetengwa Maalum kwa ajili ya Kumshukuru Mungu kutokana na Jambo kubwa aliloitendea Nchi yetu. Mungu amebadilisha tuhuma nzito za...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Mara ya kwanza kabisa kufika mikoa ya Pwani, kuna baadhi ya mambo yalinishangaza Nalijifunza kwamba, Mungu alituumba kwa namna ya kutofautiana sana, kutoka watu hadi wanyama na hata ndege! Watu...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Toka imeondoka nchini kuelekea kule Arabuni nadhani ndiyo ilikuwa safari ya mwisho hadi leo sijaona ikiwa hapa uwanja wa ndege Dar Es Salaam au kule Zanzibar. Kwenye ile rada maarufu ya kutrack...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Dkt. Wilbroad Slaa ameachiwa kwa dhamana saa chache zilizopita ikiwa ni siku chache baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa makosa yaliyoelezwa kuwa ni uhaini na...
11 Reactions
181 Replies
15K Views
Leo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu. Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na...
36 Reactions
179 Replies
11K Views
Nikiwa naangali TV, kule kwenye mkutano wa mashirika ya umma. Mara ninaona wakati wa kupewa tuzo TPA wamepewa tuzo kama shirika lilinaloiingiza mpunga mrefu Tanzania baada tu ya TCRA. Kumbe TPA...
32 Reactions
61 Replies
4K Views
Wakubwa kwema! Sitasema mengi! Kuna viongozi sijui ni wivu, sijui ni kutokujiamini, sijui ni Jambo gani, yaani kila mara wakisimama huropoka vitu ambavyo kimsingi havipendezi masikioni. Wachaga...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino, Dodoma leo tarehe 18/08/2023
9 Reactions
84 Replies
10K Views
Tumeshazungumza mengi humu kuhusu mkataba wa kilaghai wa kuchukua Bandari zetu milele na kuwakabidhi Waarabu wa Dubai. Sa100 lazima aambiwe ukweli kwamba hata kama alikuwa na nia nzuri kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
521 Views
Kanisa la Kiinjili la Kiluteli Tanzania lilianzishwa mwaka 1963 na sasa linatimiza miaka 60 ya kuasisiwa Kwake Sherehe za maadhimisho hayo zitafanyika wiki ijayo sawia na Mkutano mkuu wa Kanisa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Tunamtetea ila hachoki kutuumiza Kwa kutapanya pesa za walalahoi wa taifa hili na kukimbilia kukopa ,mnatupa hasira hata wanaokataa ishu ya bandari ni kitokana na kuona pesa zinazopatikana...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwabukusi Boniface Mwaka 2020 aligombea ubunge Mbeya Mjini kupitia NCCR -Mageuzi na kama mwenzake wa CHADEMA Joseph Mbilinyi (Sugu) alidhulumiwa nafasi yake. Kuna watu kama Tulia Ackson Mbunge wa...
11 Reactions
34 Replies
4K Views
Najua kutakua na fidia za kulipa nikivunja huu mkataba, lakini ni bora nilipe fidia kuliko kuona naongoza nchi inayotumikia mkaba wa hovyo kama huu. Kama rais sintokua tayari kupata aibu ya huu...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
CCM ndiyo chama chetu kinachotuelekeza kwenye dira ya kisiasa nchini, tukiweka maanani matamanio ya wananchi waliowengi. Hadi sasa ndimi za watu wengi hazijapumzika kuzungumzia suala la Bandari...
1 Reactions
2 Replies
585 Views
Kikosi cha siasa za upinzani bado ni kilekile na watu ni wale wale na ajenda zao ni zilezile tu hakuna kilichobadilika Sana zaidi ya kupata maumivu ya kukimbia nchi, vipigo vya mbwa Koko kutoka...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom