johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Joseph Mafuru amekataa kuongea na mwandishi wa ITV ndugu Msilo kwa madai kuwa Leo Serikali haifanyi kazi kwa sababu ni Sikukuu
Msilo alikuwa ametoka kusikiliza malalamiko ya Wananchi ambao nyumba zao zimebomolewa isivyo halali ndipo akampigia Mkurugenzi kumueleza mateso na malalamiko ya Wananchi hao
Alipopokea simu na mwandishi kujitambulisha ndipo akamwambia Serikali haipo Kazini hadi Jumanne
Source ITV habari