RC Chalamila: Mkome, kama mlivyokoma titi la mama yenu

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,101
2,716
Ndivyo alivyosema RC Chalamila. Alikuwa amewapeleka watendaji wake soko la Ndizi la Mabibo halafu wakafukuzwa. Kwa hiyo RC akasema mkome kuwatimua watendaji wangu.

Sasa yale maneno yameibua tafrani, ndivyo wanavyosema Wazee wa soko la Mabibo. Wanasema lile soko, after all,walilianzisha wao, serikali ilifika tu kulitaifisha. Hawana maneno na hilo. Lakini kwa nini huyu kijana mdogo ( kijana mdogo maana yake: Chalamila) anakuja kuwatukana namna hii?

Kwa hiyo wanasema kuna mgogoro Mabibo, wapo watu wanataka kurudisha kadi za CCM itakuwa bora kama Makao Makuu CCM itatuma mtu kule kuongea nao.

Wale wazee( wanne au watano, wameongea mambo mengi kuelezea malalamiko yao). Walikuwa wameitisha Press Conference.

Wanasema waliambiwa kwamba wasisikike kwamba wamelalamika au hata kama wameguna, ama sivyo watapata taabu sana. Lakini ao wanasema hiyo haiwezekani, lazima walalamike.

Wameongea maneno mengi wale wazee. Lakini it what they did not say that is important. Ile spichi ya RC Chalamila imekuwa interspersed na maneno mengi ya,"RPC, kamata hawa watu, kamata!". Nadhani hii ndio inaleta taharuki huko Mabibo.

Sasa sijui kuna nini kule, kama kweli wapo watu wanataka kurudisha kadi za CCM. Nimeiandika habari kama ilivyosemwa.
 
Watanzania tuna safar ndefu. uboreshajinwa miundombinu ya soko umeshaanza, wao bado hawaridhiki,? dah hatari kweli. Bila ubabe, pale pangeendelea kuwa vile.

Niko upande wa RC Chalamila, somtimes watanzania wanahitaji ubabe wa namna ile ili mambo yaende.
 
Waambie kuwa kiti amesema, je wana ubavu wa kujibizana na kiti ? Wakisema ndiyo tunao, waambie , jaribuni tuone.
 
Tena amewahurumia ningekuwa mimi ningechukua hatua zaidi, unafukuzaje watumishi wa umma waliokutembelea bila kujali ujumbe wao. Hizo kadi zetu warudishe hatunaga wanachama vigego.
 
Ndivyo alivyosema RC Chalamila. Alikuwa amewapeleka watendaji wake soko la Ndizi la Mabibo halafu wakafukuzwa. Kwa hiyo RC akasema mkome kuwatimua watendaji wangu.

Sasa yale maneno yameibua tafrani, ndivyo wanavyosema Wazee wa soko la Mabibo. Wanasema lile soko, after all,walilianzisha wao, serikali ilifika tu kulitaifisha. Hawana maneno na hilo. Lakini kwa nini guyi kijana mdogo (Chalamila) anakuja kuwatukana namna hii?

Kwa hiyo wanasema kuna mgogoro Mabibo, wapo watu wanataka kurudisha kadi za CCM itakuwa bora kama Makao Makuu CCM itatuma mtu kule kuongea nao.

Wale wazee( wanne au watano, wameongea mambo mengi kuelezea malalamiko yao). Walikuwa wameitisha Press Conference.

Wanasema waliambiwa kwamba wasisikike kwamba wamelalamika au hata kama wameguna, ama sivyo watapata taabu sana. Lakini ao wanasema hiyo haiwezekani, lazima walalamike.

Wameongea maneno mengi wale wazee. Lakini it what they did not say that is important. Ile spichi ya RC Chalamila imekuwa interspersed na maneno mengi ya,"RPC, kamata hawa watu, kamata!". Nadhani hii ndio inaleta taharuki huko Mabibo.

Sasa sijui kuna nini kule, kama kweli wapo watu wanataka kurudisha kadi za CCM. Nimeiandika habari kama ilivyosemwa.
lakini msemaji,
mbona ni kama wewe mwenyewe ndio pekee unalalamika?
yaani wew ndie mzee wa mabibo ambae pia ni mfanyabiashara soko la mabibo na unajisemea mwenyewe 🤓
 
Back
Top Bottom