Hotuba ya Mbowe Zanzibar, ndiyo Hotuba bora ya muda wote

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,809
218,464
Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi, Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu.

Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha, basi haraka sana utagundua kwamba uongozi ni Karama halisi anayoitoa Mungu Mwenyewe kwa Wanadamu aliowachagua mwenyewe , kama hukuchaguliwa kuwa kiongozi na Mungu achana na uongozi.

Kwa hotuba ile nathibitisha hadharani kwamba Mbowe amewekwa Wakfu na Mungu kuwa kiongozi.

Timu yangu ya IT inajitahidi kuwawekea Video ili wenyewe msikie na kupima.

bagamoyo
 
Kiukweli ni kwamba CDM walifanya kazi kubwa ya kisiasa Zanzibar kupitia UKAWA na matokeo yake yalionekana mwaka 2015 pale kwa mara ya kwanza tangu mfumo wa vyama vingi, mgombea wa UKAWA alipomshinda mgombea wa CCM.

Kiongozi kama Tundu Lissu huwa anakubalika sana Zanzibar kwa kuongelea maslahi ya zanzibar ndani ya muungano bila kujali utanganyika wake.

Ila kwa sasa kutokana na mkataba wa Bandari na lugha zilizotumiwa na baadhi ya viongozi wangu hata kama ni za ukweli lakini M/Kiti ana kazi ngumu sana!
 
Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi , Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu .

Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha ...
Ile ni mipasho mmeambiwa mkaanzia grass root ndiko ccm walipo wewe lete sifa na mapambio tu!
 
Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi, Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu.

Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha , basi haraka sana utagundua kwamba uongozi ni Karama halisi anayoitoa Mungu Mwenyewe kwa Wanadamu aliowachagua mwenyewe , kama hukuchaguliwa kuwa kiongozi na Mungu achana na uongozi.

Kwa hotuba ile nathibitisha hadharani kwamba Mbowe amewekwa Wakfu na Mungu kuwa kiongozi.

Timu yangu ya IT inajitahidi kuwawekea Video ili wenyewe msikie na kupima.

bagamoyo
Nami naunga mkono kwa hotuba hiyo.
Lakini ajue Chadema inawahitaji zaidi Sauti ya Watanzania kuliko wao wanavyoihitaji Chadema.
 
Hakuna Tajiri ambaye ni Chawa


Mh.Kamarada F.Mbowe ni tajiri na bado hakuacha "uchawa" kwa LAIGWANAN.....

Pale ngome Mbezi Beach kila kitu alikuwa ni Laigwanan.....

Akazidisha mno maombi....mpaka ya kusomeshewa watoto wa akina RBC.... Laigwanan akakombwa na kukombeka....wanawe akina F na P wakamwambia " babaaa huyo Chawa M ana kipaji cha kuombaomba" atakumaliza

Laigwanan akabwaga manyangaaa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom