Wanangu wapendwa,
Je kama tungetakiwa wabongo tupige kura kupitisha au kuupiga chini mkataba wa bandari, wapi ungeeelekeza kura yako? Kama itawafurahisha hasa ikizingatiwa kuwa inatoka kwa baba...
Katibu wa Baraza la Habari la Waislam Shehe Mwaipopo amesema kwa sasa Mzee Kikwete ndiye Baba wa Taifa
Shehe Mwaipopo amemuonya Askofu Mbarikiwa wa Mbeya aache tabia ya kumsemasema Rais mstaafu...
Katika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye.
Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini...
Kama ufanisi wa bandari umepelekea wapewe tuzo kwanini tunalazimisha kukodisha? Mbona hatukodishi mashirika ambayo hayafanyi vizuri?
Tunasema bandarini kuna rushwa; DP World ni TAKUKURU...
UNAFIKI pembeni!
Moja kwa moja kwenye ajenda.
1. Ni nani mshauri mkuu wa mambo muhimu na makubwa kwa Rais wetu kwa sasa?! Ni kina nani?
2. Biashara za koridoni na mwarabu zina kitu gani kikubwa...
Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina...
Mhe. Waziri ninakuandikia ujumbe huu kwa masikitiko makubwa sana. Tatizo la maji hapa Mwanza limekuwa kero kubwa. Kila kukicha maji hayapo kwenye mabomba.
Walitudanganya kuwa kulikuwa na...
Ndugu zangu kwa namna ambavyo mambo yana kwenda kwenye huu mjadala wa hili dubwana dp, Niukweli usiyo pingika kuwa mbele yetu kuna tufani kubwa
Dalili za mvua ni mawingu na panapofuka Moshi...
Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea...
Wasomi kweli kweli seminary zimetoa watu makini sina shaka hizi shule zilikua zinatoa division one form four na form six kama mvua discipline ya hatari disciples, mkikutana nao kwenye football...
Naomba kuwasilisha maoni yangu kwa viongozi wetu wapendwa katika imani mbalimbali za kidini.
Baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wakitumia upande mmoja tu wa Neno la Mungu kuelezea kuhusu umuhimu...
BALOZI SHELUKINDO AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE YA INDONESIA
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo...
Leo naomba niwaambie CCM kuwa kwa muda sasa, wamekuwa wakipata misukosuko inayotishia uhai wa CCM na CCM kuendelea kubaki madarakani huku wao wakiwa hawaelewi. Wasichokijua CCM nii kuwa...
Kichwa cha thread kinajieleza kinaga ubaga
Hapo Kenya Mawasiliano Yote ya kisiasa yanafanyika Jumapili ibadani Kanisani
Iran na Ayatolah
Putin na Orthodox
Nk nk
Mlale unono 😀😀
1. Ifanyike contract review: ongeza muda zaidi wa majadiliano au fungua majadiliano mapya na DPW na hili jambo liweke public isiwe siri mwisho wa siku wewe ndio hero au looser. Yaani iwe MAMA...
Mama alizoea wazanzibar wenzake ambao ni wakalimu na wastaarabu sana kulingana na Imani Yao kuwa strong na inayomwagopa mungu sana. Kwa kawaida muslimuls love God by heart contrary to christians...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeshauri kuondolewa kinga ya kushtakiwa kwa viongozi wa Serikali ili kutoa haki sawa kwa Watanzania wote chini ya Katiba na matakwa ya Mwenyezi Mungu...
Duru ndani ya TEC hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu.
"....Wahashamu wengi hawaungi mkono sintofahamu hiyo na huenda Katibu...
Vyanzo ndani ya Kanisa Katoliki vinatabanaisha kutakuwa na kikao rasmi cha Baraza la Maaskofu huku pamoja na mengine litajadili SINTOFAHAMU kubwa inayolikumba Taifa kwa sasa kuhusu suala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.