Wanasiasa wataanza kulogana rasmi mwakani; familia zao ziniandae kisaikolojia

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Mwakani tutakuwa na chaguzi za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu. Asilimia zaidi ya 80%ya viongozi wa kisiasa waliopo sasa madarakani walipita bila kupigiwa kura na wananchi. Lakini pia regime iliyowaweka haipo tena.

Natabiri hawa asilimia 80%kwenda kwa waganga kuandaa mikakati ya kubaki wakiwa wabunge na madiwani. Ni kipindi hiki tunategemea kupotea kwenye siasa kwa baadhi ya watu nakufunguliwa njia kwa watu wapya.

Kama ambavyo familia zilikuwa zikiishi kwa kufurahia baba mbunge au diwani ni vyema pia wanajiandaa kwa lolote atakalo pata mpendwa wao. Akilogwa akabaki hai washukuru.

Contrary kama tunawapenda ndugu zetu hawa tuwaombee waache dhuluma na kutegemea wizi maana uchawi upenya kwenye kiumbe mwenye dhambi.

Kwa wale mtakaopoteza wapendwa wenu tubuni maana walozi wakati mwingine upiga kizazi chote.
 
Wakuu msicheke tunakwenda kupata misiba ya mafisadi soon wakianza kulogana.

Za mwizi ni arobaini
 
FB_IMG_1684176316586.jpg
 
Muda wa wapiga ramli kupiga mapesa 😆😆 kwa wagombea ambao wakishinda wananchi watajibika kulipa mapesa hayo 😄
 
Back
Top Bottom