Wakati wa royal tour, mikataba iliosainiwa ni ya kuwapa wazungu Mapori ya akiba

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,496
8,734
Ukiachana na ile mikataba iliosainiwa kule kwa wajomba ya kuuza bandari kwa upande wa Marekani wazungu walikabidhiwa Mapori ya akiba na Mbuga za wanyama.

Wakati wa uzinduzi wa royal tour Marekani kuna mikataba ya kufa mtu Mama aliingia na mingi ni ya kuwapa Wazungu Mapori ya akiba wafanye utalii wa Uwindaji na picha.

Ni swala la muda kabla hamjasikia Wamasai wa Longido,Simanjiro na baadhi ya sehemu za monduli wakihamishwa.

Kuna mtonyaji kanitonya kwamba mmoja ya wafadhili wa Royal Tour alipewa Pori lote la Wilaya ya Longido, na kuna alie pewa pori la Simanjiro na pia.

Ni swala la muda kabla hamjasikia wamasai wakihamishwa. Haya mambo yanafanywa siri sana ila itabainika tu.

Pia mmoja wa wafadhili wa Royal tour Mzungu mmiliki wa Singita Grumet kule Serengeti ameongezewa maeneo kinyemela na ameisha anza kuweka mipaka, huyu tiyari ana hekari laki 1 plu.
 
Mtaelewa tu...sijui nani aliuza loliondo, akaja nani, akauza chunya n.k, akaingia nani sijui, mapori, makazi, bandari na ardhi yoyote watakayo, vimekwenda

Kwani upande huo wanashida gani?
 
Kama haya aliyosema Dr. Slaa akijaribu kumjibu Rostam Aziz yana ukweli wo wote basi kuna tatizo mahali tena kubwa tu. Msikilize hapa Dr. Slaa

Wazungu wanavuna Wanyamapori bila buguza za Slaa.

1.jpg
 
Ukiachana na ile mikataba iliosainiwa kule kwa wajomba ya kuuza bandari kwa upande wa Marekani wazungu walikabidhiwa Mapori ya akiba na Mbuga za wanyama.

Wakati wa uzinduzi wa royal tour Marekani kuna mikataba ya kufa mtu Mama aliingia na mingi ni ya kuwapa Wazungu Mapori ya akiba wafanye utalii wa Uwindaji na picha.

Ni swala la muda kabla hamjasikia Wamasai wa Longido,Simanjiro na baadhi ya sehemu za monduli wakihamishwa.

Kuna mtonyaji kanitonya kwamba mmoja ya wafadhili wa Royal Tour alipewa Pori lote la Wilaya ya Longido, na kuna alie pewa pori la Simanjiro na pia.

Ni swala la muda kabla hamjasikia wamasai wakihamishwa. Haya mambo yanafanywa siri sana ila itabainika tu.

Pia mmoja wa wafadhili wa Royal tour Mzungu mmiliki wa Singita Grumet kule Serengeti ameongezewa maeneo kinyemela na ameisha anza kuweka mipaka, huyu tiyari ana hekari laki 1 plu.
Duh aisee ndiyo maana inasemekaba bosi wa wilaya ya simanjiro inasemekana ana kiburi kusema rais Samia kamtuma kazi maalumu simanjiro aisee hapo sasa hata mi chawa nasikitika. Ila bado nitaendelea kuwa chawa wa Mama hata iweje
 
Ukiachana na ile mikataba iliosainiwa kule kwa wajomba ya kuuza bandari kwa upande wa Marekani wazungu walikabidhiwa Mapori ya akiba na Mbuga za wanyama.

Wakati wa uzinduzi wa royal tour Marekani kuna mikataba ya kufa mtu Mama aliingia na mingi ni ya kuwapa Wazungu Mapori ya akiba wafanye utalii wa Uwindaji na picha.

Ni swala la muda kabla hamjasikia Wamasai wa Longido,Simanjiro na baadhi ya sehemu za monduli wakihamishwa.

Kuna mtonyaji kanitonya kwamba mmoja ya wafadhili wa Royal Tour alipewa Pori lote la Wilaya ya Longido, na kuna alie pewa pori la Simanjiro na pia.

Ni swala la muda kabla hamjasikia wamasai wakihamishwa. Haya mambo yanafanywa siri sana ila itabainika tu.

Pia mmoja wa wafadhili wa Royal tour Mzungu mmiliki wa Singita Grumet kule Serengeti ameongezewa maeneo kinyemela na ameisha anza kuweka mipaka, huyu tiyari ana hekari laki 1 plu.
Ni swala la muda kabla hamjasikia Wamasai wa Longido,Simanjiro na baadhi ya sehemu za monduli wakihamishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom