Kumtumia mtu mmoja [Rais Samia] kuwa mwakilishi wa jinsia nzima nchini; ni akili timamu kweli?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,252
113,644
Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.

Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.

Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.

Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na wanawake wengine wote nchini!!

Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao😀. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].

Naweza kusema mara nyingi sasa nimeona watu wakisema humu kuwa Rais Samia kathibitisha kuwa wanawake hawafai kabisa katika nyanja za uongozi…wengine wanasema kuwa Rais Samia ndo keshawaharibia fursa wanawake wenye ndoto za kupata nafasi za juu za kiuongozi, n.k.

Kuna makosa kadhaa hapo ya kimantiki ambayo yananifanya nihoji pia uwezo wa kiakili wa watu wanaoshikilia aina hiyo ya mitazamo;

1. Kushindwa kutenganisha uwezo wa mtu binafsi na badala yake kuuhusisha utovu wake wa uwezo wa kiuongozi na jinsia nzima yenye mamilioni ya watu nchini, ni uwezo duni wa kufikiri.

How come I am able to [easily] compartmentalize her serious lacking of leadership ability and separate it from her gender and therefore not lump all the women together with her? Seriously, how come?

2. Kosa jingine la kimantiki ni; Kama Rais Samia kaonyesha kuwa wanawake hawafai katika nyanja za uongozi wa juu kitaifa, ina maana wanaume ndo wanafaa?

Mpaka kufikia hivi sasa, kati ya marais 6 ambao tumewahi kuwa nao, watano ni wanaume. Mwanamke ni Samia tu.

Ina maana hao wanaume watano wote walifanya kazi maridadi sana katika vipindi vyao vya uongozi?

Walikuza GDP kwa viwango vikubwa sana? Waliboresha viwango vya maisha vya Mtanzania? Walitengeneza ajira nyingi na zilizo bora kwa Watanzania? Walifuta kabisa deni la taifa? Walikuza demokrasia? Walilinda na kutetea haki za watu?

Kama kuna kati ya hao watano wanaume ambao hawakuwa viongozi wazuri, kwa nini hatukusikia maneno ya kuwa hao ambao hawakuwa viongozi wazuri wamethibitisha kuwa wanaume hawafai kushikilia nafasi za juu za kiuongozi nchini?

Zaidi ya miaka 60 ya uhuru, Tanzania bado ni nchi maskini ya kutupwa. Tuko wa mwisho mwisho karibu kwenye kila kigezo cha ubora wa maisha.

Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani 🤣🤣🤣.

But seriously, kama marais wanaume ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kiuongozi hawatumiki kuwa ndo kigezo cha kusema kwamba wanaume hawafai kuwa viongozi, kwa nini Samia ndo atumike kama kigezo cha kusema kwamba wanawake hawafai kuongoza?

Ambaye hafai ni Rais Samia. Siyo wanawake.

Deuces ✌️.
 
Tuna changamoto ya watu kufuata upepo kwenye kuchangia hoja au kutoa maoni, pia asilimia kubwa ya watu ambao wanakerwa na uongozi wa Samia wameamua kuitupia lawama jinsia yake ili kuhalalisha maoni yao.

Jambo lingine ni wingi wa jinsia ya kiume kwenya kujadili na kutoa maoni kuhusu hali na mustakabali wa siasa za nchi yetu . Wanawake wengi wako kwenye jukwaa za chitchat, mapenzi na mahusiano, celebrities forums nk. Hata kama bi Samia na jinsia nzima ya kike inakaangwa kunakua hakuna mtetezi.
 
Kumbe jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani, hii ni habari mpya.

By the way, dunia ipo male dominated na kwenye ngazi ya uongozi ndio kabisaaa hivyo, mwanaume akifanya vibaya haitokuwa issue kama single fathers wasivyosemwa kwa kuchukuliwa ni sehemu ya ubinadamu wao kukosea

Ila mwanamke kwa sababu hiyo chance traditionally huwa hapewi kwa kuamini kuwa hana huo uwezo kiasili, pale anapoipata watu huwa wanategemea ashindwe na akishindwa, tunarudi kwenye zile imani zetu kuwa hakustahili kupata nafasi

Kwa mtazamo wangu, sijali kuhusu gender Ila tu kama hatutaki mtu apimwe uwezo kwa jinsia yake bhasi ni vyema zaidi kutoitumia kama "gender card" Pale anapokosolewa
 
Yaani unataka kufananisha mzee wa msoga na mama yako unayemtaja hapa serious kabisa. maana hata jiwe tu hakufikia kwa mzee wetu. Sasa huyo mama unamfananishaje na hao wazee watano. Jamani😂😂😂.
Ndugu zangu, mimi si mwanasiasa. Naomba msinukuu sana sifa hii nimeongea tu uhalisia.
 
Fair point!

Na ndio maana mimi simuiti ‘mama’ huyo Samia.
 
Yaani unataka kufananisha mzee wa msoga na mama yako unayemtaja hapa serious kabisa. maana hata jiwe tu hakufikia kwa mzee wetu. Sasa huyo mama unamfananishaje na hao wazee watano. Jamani😂😂😂.
Ndugu zangu, mimi si mwanasiasa. Naomba msinukuu sana sifa hii nimeongea tu uhalisia.
Umesoma kweli na kuelewa nilichokiandika?
 
Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.

Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.

Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.

Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na wanawake wengine wote nchini!!

Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao😀. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].

Naweza kusema mara nyingi sasa nimeona watu wakisema humu kuwa Rais Samia kathibitisha kuwa wanawake hawafai kabisa katika nyanja za uongozi…wengine wanasema kuwa Rais Samia ndo keshawaharibia fursa wanawake wenye ndoto za kupata nafasi za juu za kiuongozi, n.k.

Kuna makosa kadhaa hapo ya kimantiki ambayo yananifanya nihoji pia uwezo wa kiakili wa watu wanaoshikilia aina hiyo ya mitazamo;

1. Kushindwa kutenganisha uwezo wa mtu binafsi na badala yake kuuhusisha utovu wake wa uwezo wa kiuongozi na jinsia nzima yenye mamilioni ya watu nchini, ni uwezo duni wa kufikiri.

How come I am able to [easily] compartmentalize her serious lacking of leadership ability and separate it from her gender and therefore not lump all the women together with her? Seriously, how come?

2. Kosa jingine la kimantiki ni; Kama Rais Samia kaonyesha kuwa wanawake hawafai katika nyanja za uongozi wa juu kitaifa, ina maana wanaume ndo wanafaa?

Mpaka kufikia hivi sasa, kati ya marais 6 ambao tumewahi kuwa nao, watano ni wanaume. Mwanamke ni Samia tu.

Ina maana hao wanaume watano wote walifanya kazi maridadi sana katika vipindi vyao vya uongozi?

Walikuza GDP kwa viwango vikubwa sana? Waliboresha viwango vya maisha vya Mtanzania? Walitengeneza ajira nyingi na zilizo bora kwa Watanzania? Walifuta kabisa deni la taifa? Walikuza demokrasia? Walilinda na kutetea haki za watu?

Kama kuna kati ya hao watano wanaume ambao hawakuwa viongozi wazuri, kwa nini hatukusikia maneno ya kuwa hao ambao hawakuwa viongozi wazuri wamethibitisha kuwa wanaume hawafai kushikilia nafasi za juu za kiuongozi nchini?

Zaidi ya miaka 60 ya uhuru, Tanzania bado ni nchi maskini ya kutupwa. Tuko wa mwisho mwisho karibu kwenye kila kigezo cha ubora wa maisha.

Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani 🤣🤣🤣.

But seriously, kama marais wanaume ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kiuongozi hawatumiki kuwa ndo kigezo cha kusema kwamba wanaume hawafai kuwa viongozi, kwa nini Samia ndo atumike kama kigezo cha kusema kwamba wanawake hawafai kuongoza?

Ambaye hafai ni Rais Samia. Siyo wanawake.

Deuces ✌️.
Yaani daah
 
Magufuli's aka Sukuma Hegemony is no more! Meza mate kojoa ulale.
 
Umemaliza..lakini..jinsia ya mwanaume haihusishwi na utendaji kazi wake...well said bro
 
Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao😀. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].
Wewe mpiga maboksi ukilialia umaskini, sisi tunaotegemea kuuza mikopa tutasemaje sasa?
Njama zilizopo ni za maCCM tu.
Hata hayo maccm kuyajenerelaizi yote kwenye fungu moja siyo sahihi. Kikwete aliboronga, lakini Magufuli aliperform vizuri tu. Kwa mantiki hiyo, maccm nayo yanatofautiana.
 
Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.

Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.

Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.

Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na wanawake wengine wote nchini!!

Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao😀. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].

Naweza kusema mara nyingi sasa nimeona watu wakisema humu kuwa Rais Samia kathibitisha kuwa wanawake hawafai kabisa katika nyanja za uongozi…wengine wanasema kuwa Rais Samia ndo keshawaharibia fursa wanawake wenye ndoto za kupata nafasi za juu za kiuongozi, n.k.

Kuna makosa kadhaa hapo ya kimantiki ambayo yananifanya nihoji pia uwezo wa kiakili wa watu wanaoshikilia aina hiyo ya mitazamo;

1. Kushindwa kutenganisha uwezo wa mtu binafsi na badala yake kuuhusisha utovu wake wa uwezo wa kiuongozi na jinsia nzima yenye mamilioni ya watu nchini, ni uwezo duni wa kufikiri.

How come I am able to [easily] compartmentalize her serious lacking of leadership ability and separate it from her gender and therefore not lump all the women together with her? Seriously, how come?

2. Kosa jingine la kimantiki ni; Kama Rais Samia kaonyesha kuwa wanawake hawafai katika nyanja za uongozi wa juu kitaifa, ina maana wanaume ndo wanafaa?

Mpaka kufikia hivi sasa, kati ya marais 6 ambao tumewahi kuwa nao, watano ni wanaume. Mwanamke ni Samia tu.

Ina maana hao wanaume watano wote walifanya kazi maridadi sana katika vipindi vyao vya uongozi?

Walikuza GDP kwa viwango vikubwa sana? Waliboresha viwango vya maisha vya Mtanzania? Walitengeneza ajira nyingi na zilizo bora kwa Watanzania? Walifuta kabisa deni la taifa? Walikuza demokrasia? Walilinda na kutetea haki za watu?

Kama kuna kati ya hao watano wanaume ambao hawakuwa viongozi wazuri, kwa nini hatukusikia maneno ya kuwa hao ambao hawakuwa viongozi wazuri wamethibitisha kuwa wanaume hawafai kushikilia nafasi za juu za kiuongozi nchini?

Zaidi ya miaka 60 ya uhuru, Tanzania bado ni nchi maskini ya kutupwa. Tuko wa mwisho mwisho karibu kwenye kila kigezo cha ubora wa maisha.

Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani 🤣🤣🤣.

But seriously, kama marais wanaume ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kiuongozi hawatumiki kuwa ndo kigezo cha kusema kwamba wanaume hawafai kuwa viongozi, kwa nini Samia ndo atumike kama kigezo cha kusema kwamba wanawake hawafai kuongoza?

Ambaye hafai ni Rais Samia. Siyo wanawake.

Deuces ✌️.
Sukuma gang mnajulikana.
 
Back
Top Bottom