Kwanini Chadema inawaogopa sana akina Dr Slaa na Mwabukusi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Mshindani mkuu wa Chadema kwenye Siasa za Upinzani ni ACT wazalendo yenye wabunge 4 vs 1 wa Ufipa st

Dr Slaa hana Chama cha Siasa na Mwabukusi ni Mwanachama wa kawaida wa NCCR Mageuzi Lakini imeonekana wanaogopwa sana na Chadema

Kwanini?

Mlale unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Unaamini kuwa CHADEMA wakiwaacha Mwabukusi na Slaa wapambane peke yako watafika December wakiwa relevant?
Mwabukusi na Slaa wanasikilizwa leo kwasababu CHADEMA waliwapa jukwaa la kupigia kelele zao
CHADEMA NA CCM Ndiyo vyama pekee vyenye wanachama nchi hii na wafuasi,ACT ina viongozi tu NCCR haina vyote
 
Mshindani mkuu wa Chadema kwenye Siasa za Upinzani ni ACT wazalendo yenye wabunge 4 vs 1 wa Ufipa st

Dr Slaa hana Chama cha Siasa na Mwabukusi ni Mwanachama wa kawaida wa NCCR Mageuzi Lakini imeonekana wanaogopwa sana na Chadema

Kwanini?

Mlale unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Acha bangi halafu acha kuandika kama mlevi, weka evidence.
 
Mshindani mkuu wa Chadema kwenye Siasa za Upinzani ni ACT wazalendo yenye wabunge 4 vs 1 wa Ufipa st

Dr Slaa hana Chama cha Siasa na Mwabukusi ni Mwanachama wa kawaida wa NCCR Mageuzi Lakini imeonekana wanaogopwa sana na Chadema

Kwanini?

Mlale unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
hachelewi kusepa na mke wa wenyewe ndio maana anaogopwa.
hakuna kingine, ni hicho tu...
 
Mshindani mkuu wa Chadema kwenye Siasa za Upinzani ni ACT wazalendo yenye wabunge 4 vs 1 wa Ufipa st

Dr Slaa hana Chama cha Siasa na Mwabukusi ni Mwanachama wa kawaida wa NCCR Mageuzi Lakini imeonekana wanaogopwa sana na Chadema

Kwanini?

Mlale unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Ni MAMLUKI!!!
 
Wanawaona ndio wakombozi pekee.. haswa Dr. Slaa bado wanamuhitaji na kimoyomoyo wanamajuto mengi..
 
Back
Top Bottom