Waitara: Vijana wamekata tamaa kusomea Ualimu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,337
Reaction score
15,827
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 27 leo Mei 17, 2023.

​

Waitara: Vijana wamekata tamaa kusomea Ualimu
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema Shule nyingi za Serikali hazina mazingira mazuri ya kufundishia tofauti na ilivyo katika zile za binafsi, akitoa mfano kuwa hali hiyo imechangia hata yeye kuwapeleka watoto wake kusoma Shule Binafsi

Amesema “Mtoto wangu wa kidato cha pili anaweza kumshinda mwanafunzi wa kawaida wa kidato cha nne, mimi ni mwalimu naangalia wanachofundishwa.”

Ameongeza “Sasa hivi vijana wetu wamekata tamaa kwenda kusomea masomo ya Ualimu, wameona ni kama fani ambayo hawapati ajira mtaani.”

Amehoji “Imenishangaza sana kuona Wizara kuondoa utaratibu wa kutaja shule zilizofanya vizuri, kama una shule ambayo haina Mwalimu wa hesabu unategemea apate A kwenye mtihani? Hiyo miujiza inatokea wapi?”

Mbunge Rehema Juma Migilla ameitaka Serikali kuwekeza kwenye elimu
Mbunge Rehema Juma Migilla ameitaka Serikali kuwekeza kwenye elimu ikiwemo kuboresha miundombinu na kuongeza Walimu katika Shule za Serikali na kutokandamiza Shule Binafsi.

Aidha, amesema “Suala la kutotaja Shule zilizofanya vizuri katika mitihani siyo sahihi, hivi ingetokea Shule 10 Bora zingekuwa za Serikali msingetangaza? Tusikwepe majukumu yetu, mnawakatisha moyo wawekezaji binafsi, biashara ni ushindani na lazima mshindane.”
 
Bunge la chama kimoja . Lililowekwa na mwehu yule nyapara aliyepanga kututawala maisha.
Ati mqfiga matatu !
Rubber stamp
 
Kweli tupoteze muda kufuatilia Nini hasa hapo.Vioja kuanzia Kwa sabufa mpk Kwa wale vitu maalum
 
Bunge hili lililopora chaguzi limejaa Mapaka,labda ufuatilie wewe pamoja na mke wako

Kweli tupoteze muda kufuatilia Nini hasa hapo.Vioja kuanzia Kwa sabufa mpk Kwa wale vitu maalum
Ni afadhari uangalie video za Amba Luti akiwa anakula papai.
Kuliko hao walio chaguliwa na jiwe toka majalalani.
 
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 27 leo Mei 17, 2023.

​

Waitara: Vijana wamekata tamaa kusomea Ualimu
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema Shule nyingi za Serikali hazina mazingira mazuri ya kufundishia tofauti na ilivyo katika zile za binafsi, akitoa mfano kuwa hali hiyo imechangia hata yeye kuwapeleka watoto wake kusoma Shule Binafsi

Amesema “Mtoto wangu wa kidato cha pili anaweza kumshinda mwanafunzi wa kawaida wa kidato cha nne, mimi ni mwalimu naangalia wanachofundishwa.”

Ameongeza “Sasa hivi vijana wetu wamekata tamaa kwenda kusomea masomo ya Ualimu, wameona ni kama fani ambayo hawapati ajira mtaani.”

Amehoji “Imenishangaza sana kuona Wizara kuondoa utaratibu wa kutaja shule zilizofanya vizuri, kama una shule ambayo haina Mwalimu wa hesabu unategemea apate A kwenye mtihani? Hiyo miujiza inatokea wapi?”

Mbunge Rehema Juma Migilla ameitaka Serikali kuwekeza kwenye elimu
Mbunge Rehema Juma Migilla ameitaka Serikali kuwekeza kwenye elimu ikiwemo kuboresha miundombinu na kuongeza Walimu katika Shule za Serikali na kutokandamiza Shule Binafsi.

Aidha, amesema “Suala la kutotaja Shule zilizofanya vizuri katika mitihani siyo sahihi, hivi ingetokea Shule 10 Bora zingekuwa za Serikali msingetangaza? Tusikwepe majukumu yetu, mnawakatisha moyo wawekezaji binafsi, biashara ni ushindani na lazima mshindane.”

Sasa mazingira magumu au mazuri ya kufundishia yanahusianaje na vijana kukata tamaa kusomea ualimu? Na hao wanaosomea huo ualimu kila siku ni akina nani mheshimiwa? Acha uongo na upotoshaji. Mimi kama mshahara unaingia suala la mazingira ya kufundishia halinihusu bali linahusu watoto wenu.
 
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 27 leo Mei 17, 2023.

​

Waitara: Vijana wamekata tamaa kusomea Ualimu
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema Shule nyingi za Serikali hazina mazingira mazuri ya kufundishia tofauti na ilivyo katika zile za binafsi, akitoa mfano kuwa hali hiyo imechangia hata yeye kuwapeleka watoto wake kusoma Shule Binafsi

Amesema “Mtoto wangu wa kidato cha pili anaweza kumshinda mwanafunzi wa kawaida wa kidato cha nne, mimi ni mwalimu naangalia wanachofundishwa.”

Ameongeza “Sasa hivi vijana wetu wamekata tamaa kwenda kusomea masomo ya Ualimu, wameona ni kama fani ambayo hawapati ajira mtaani.”

Amehoji “Imenishangaza sana kuona Wizara kuondoa utaratibu wa kutaja shule zilizofanya vizuri, kama una shule ambayo haina Mwalimu wa hesabu unategemea apate A kwenye mtihani? Hiyo miujiza inatokea wapi?”

Mbunge Rehema Juma Migilla ameitaka Serikali kuwekeza kwenye elimu
Mbunge Rehema Juma Migilla ameitaka Serikali kuwekeza kwenye elimu ikiwemo kuboresha miundombinu na kuongeza Walimu katika Shule za Serikali na kutokandamiza Shule Binafsi.

Aidha, amesema “Suala la kutotaja Shule zilizofanya vizuri katika mitihani siyo sahihi, hivi ingetokea Shule 10 Bora zingekuwa za Serikali msingetangaza? Tusikwepe majukumu yetu, mnawakatisha moyo wawekezaji binafsi, biashara ni ushindani na lazima mshindane.”
Ni kweli mazingira ya kujifunza na kufundishia bado ni changamoto kubwa, hasa kwa elimu msingi na sekondari. Utakuta darasa moja lina watoto 100 na wakiwa wameketi chini na wakiwa na Walimu 7 shule nzima au pungufu ya saba. Kiukweli hili ni tatizo kubwa hasa kwa shule za serikali ambazo nyingi za shule hizi miundombinu yake haikidhi mahitaji ya sasa na kesho.

Kikubwa Mimi binafisi naishauri serekali iendelee na hii kasi ya ujenzi wa miundombinu ya taasisi za elimu hasa katika ngazi ya elimu msingi na sekondari ili kutoa mazingira wezeshi ya kujifunza na kufundishia. Pia tukumbuke kuwa misingi ya elimu ujengwa katika ngazi hizi, hivyo basi ni vema tukatengeneza mazingira pendwa kwa watoto wa taifa hili.

Mwisho naipongeza serikali ya awamu ya sita kwa kujitahidi kuimalisha miundombinu ya elimu na ninaomba iendelee na kasi hii. Lakini pia ikumbukwe jukumu la malezi ni la kwetu sote na tusisite kutoa michango yenye tija katika sekta hii ya elimu.
 
Back
Top Bottom