Maana si kwa kukomaa huko! Hivi mtu ukiwa blackmailed unafanyaje kujinasua? Tufanyeje tuweze kuwanasua? Maana kwa kweli naanza kuwaonea huruma na inabidi tuwaombee sana!!
Kama una muda, usikilize uchambuzi yakinifu wa huyu msomi mbobezi. Kumbe ni Tanzania pekee duniani yenye mkataba wa Intergovernmental Agreement na Emirate ya Dubai.
Kumbe mkataba huu hauwezi...
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa...
Kenya imeanza mazungumzo na DPW ili kuwekeza kwenye bandari ya Mombasa, wabongo bado mnapika majungu na fitina.
Tunaiomba Serikali isipoteze muda kwenye jambo hili, isiwape nafasi wapotoshaji...
Leo kwenye Ibada ya Miaka 60 ya Uinjilishaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) sijamuona muumini safi Bwana Freeman Aikaeli MBOWE, Rafiki wa kufa na kuzikana na Dkt Shoo. Je...
Nawasalimu kwa JMT,
Mnyonge hanyongwi na haki anapewa.
Rais SSH kwa mara nyingine amesisitiza kwa Polisi kwamba ni Marufuku kumuweka mtu ndani yaani Mahabusu Kama Upelelezi Haujakamikika. Hii ni...
DPW umekuja wakati sahihi sana katika taifa letu pendwa la tanzania.
Tumepata kujuwa wanachi mambo ambayo tulikuwa atuyafahamu hapo mwanzo, na kutupa uwelewa kuhusu mambo yanavyo pelekwa kwa...
Hii mada nimeitoa mara nyingi naimba niitoe tena. Duniani sehemu kubwa ya migogoro inasababishwa na jambo hili. Huhitaji kuambiwa hili, linaonekana waziwazi. Mifano ni mingi kupita maelezo. India...
Kinachotokea ni kwamba Viongozi wa dini wanapinga Rasilimali za Taifa kugawiwa kama sadaka , ukiwemo Mkataba wa Bandari na DP WORLD .
Hakuna haja ya kupanua Magoli ili kutafuta huruma za kisiasa...
Hongera na kazi wakuu,
Bandari ya Dsm imeendelea kufanya vizuri katika kuhudumia mizigo.
Mwezi desemba ilivunja rekodi yake kwa kuhudumia meli 98 kutoka meli 89 za Mwezi Novemba.
Huu Ni ufanisi...
Ndugu zangu,
HIVI HIZI NDONDI ZITAISHA LINI?
Maana mnyukano unaendelea takriban miezi mitatu sasa, kwa kumbu kumbu zangu NDONDI kama hizi sijawahi kushuhudia hapo kabla, wananchi mzuka na Mori...
Serikali ya Rais Samia Suluhu iliwekeza kiasi cha TZS 157.8bn/- mnamo mwaka 2021 kwa lengo la kuboresha uwezo wa bandari ya Mtwara ikiwamo kuongeza kina cha bahari ili iweze kupokea meli...
Yapata mwezi mmoja uliopita, nikiwa Dodoma nilikutana na watu kadhaa, miongoni mwao ni wabunge wawili, mmojawapo aliwahi kuwa Naibu Waziri hapo awali. Hii ni kabla ya hukumu ya mahakama, ni kabla...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Visiwa vya Comoro nchini, Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui Mohamed...
Rukwa kuna mgogoro ndani ya Kanisa la KKKT katika Dayosisi ya Ziwa Tannganyika na hususani katika Usharika wa Sumbawanga Mjini.Na mgogoro wenyewe ni waumini wa dayosisi ile hawamkubali askofu wao...
Sikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba.
Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli.
Kusema kweli Rais...
Mheshimiwa Freeman Mbowe wewe ni mwanasiasa NGULI na uliyepitia mengi magumu.
Mheshimiwa Mbowe sisi vijana tumekua tukikuona ukiendeleza harakati za kulifanya taifa letu liwe bora kila uchao...
I. UTANGULIZI
Aya ya 19(2) katika Katiba ya Tanzania (1977) inaizuia serikali kujitenga na ubaguzi wa kidini na kuhimiza usawa wa kidini kwa kutumia maneno ifuatayo:
"Bila ya kuathiri sheria...
Eee Mungu watumie wakatholiki kuikomboa Tanganyika, waraka wa Kanisa umegusa sii tu Bandari, Bali madini, Loliondo, Bunge, Mahakama.
Haijawahi tokea.
Kwa mara ya kwanza kanisa la Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.