Hii panga pangua ya mama kuhusu mashirika ya umma inatia shaka. Kwanza tujiulize ni mashirika gani ya biashara yanaendeshwa na serikali. Mengi yalikwisha binafsishwa zamani kabisa enzi ya mkapa...
Nimekuta mahali mjadala mkubwa kuhusiana na kuondolewa kwenye nafasi zao Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Katanga na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Kamishna Diwani Athumani...
Kijana Mzalendo, David Levi Nkindikwa amekuja na uchambuzi wa hoja lukuki zikihusisha matashi ya Spika wa Bunge Tulia, Prof Mkumbo, Katibu Mkuu Chongolo kuhusu mkataba wa Bandari uchambuzi ambao...
Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37, Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza...
Kijana Mzalendo Nkindikwa David amemvaa Katibu Mkuu wa CCM, Chongolo kushabikia Mkataba wa Bandari licha ya kupingwa kila kona ya nchi.
Niwaombe watanzania tuendelee kushikamana kutetea...
Kumekuwa na kelele nyingi wiki hii kwamba Januari Makamba ametoa sijui bilioni 3 kuwahonga Wabunge ili wapiteshe Bajeti yake na kutumia sijui milioni 700 kuhonga Vyombo vya Habari vyote ili...
Mkataba una mapungufu mengi sana. Serikali ikae nq wataalam wa mikataba ya uwekezaji wenye uzalendo wa juu. Wapitie vifungu tata...virekebishwe na uletwe tena bungeni kupitiwa na kupitishwa.
Si...
Ukitaka watu wawe na imani na serikali yako.
Kwanza: Hoja zote zikiwemo zilizotolewa na Taasisi yenye influence kubwa kama Tec zijibiwe kwa hoja.
Pili: Usikubali uhuru wa Vyombo vya Habari...
22 August 2023
https://m.youtube.com/watch?v=jOoXIZ27tUA
Abdulrahman Kinana anasema toka mfumo wa vyama vingi idadi ya wabunge na wawakilishi imekuwa ikipanda na hata uchaguzi wa 2020 idadi...
KERO YA MAJI KANDIYA HAITANISHINDA - MBUNGE EDWARD LEKAITA
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amewaambia wananchi wa tawi la Kandiya Kitongoji cha Kona kuwa changamoto ya Maji...
Na Mwl John Pambalu
Nimeshangazwa sana na kauli ya mzee Kikwete aliyoitoa jana huko mkoani Mara siku moja baada ya tamko la Baraza la maaskofu Katoliki katika kile alichodai kuwa si sawa...
USHAURI KWA WATUMISHI WOTE
1. Jenga nyumba mapema. Iwe mjini au kijijini . Kujenga katika umri wa 50 sio mafanikio. Usizoee majengo ya serikali. This comfort is so dangerous. Wape nafasi watoto...
Rais Magufuli amewaagiza viongozi wa Serikali kwa kushirikiana na vyombo vya Usalama kufuatilia vitendo vya ufisadi vilivyofanywa na Mmiliki wa Hoteli maarufu ya Musoma Hotel iliyopo huko Musoma...
Nimesikitika sana kusikia malumbano ya watu mbalimbali kuhusu suala la kuuzwa dhidi ya kukodishwa kwa bandari zote za mwambao wa bahari ya Hindi upande wa Tanzania bara kwenda kwa waarabu wa Dubai...
Nape Nnauye Waziri wa Habari aliyezuia Bunge Live, na baadaye kumsingizia Magufuli kabla ya kutimuliwa, ameendeleza makali yake baada ya kufanikiwa kumhujumu John Mrema, na kuzuia kipindi cha...
Nimejaribu kuwaza kwa kina haya yanayoendelea hapa Tanzania kuhusiana na sekta ya bandari.
Sote tunajua tayari Serikali na bunge wamepitisha na kusaini mkataba wa uendelezaji na uendeshaji...
Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court:
1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is...
Na kama wangefanya tofauti kwanini unadhani hivyo? Wakati kuna viongoz enzi wakiwa upinzan walipinga na kukosoa vikali CCM na sera zake na kukiita chama cha wez na laana kwa taifa!! Kwa mgongo wa...
Tangu nchi ipate Uhuru kutoka kwa Muingereza 1961 tumekuwa na marais 6; Mwl. Nyerere (Mkatoliki), Rais Mwinyi (Muislam), Rais Mkapa (Mkatoliki), Rais Kikwete (Muislam), Rais Magufuli (Makatoliki)...
Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!
Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.