CHADEMA kukiwasha mikoa ya Nyanda za Juu Kusini

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,044
2,568
CHADEMA wanategemewa kuanza yale makongamano ya kukusanya michango toka kwa wananchi wa mikoa ya Mbeya, Iringa na Songwe kuanzia tarehee 13/10/23.

Kigogo wa chama Mrema ambae ni mkurugenzi wa mahausiano wa chama alithibitisha kuanza kwa makangamono husika.

Mzee Mbowe atasaidiwa na binamu yake Godbless ambae anaminika ni mhamsishaji mzuri kwenye kuhamisisha ukuasanyaji wa michango.
 
Slaa's & the gang wame wabutua kabisa chadema wapo hoi hawajui wadili na ccm au slaa's& the gang!
 
Chdema wanategemewa kuanza yale makongamano ya kukusanya michango toka kwa wananchi wa mikoa ya Mbeya, Iringa na Songwe kuanzia tarehee 13/10/23.

Kigogo wa chama Mhemshimwa Mrema ambae ni mkurugenzi wa mahausiano wa chama alithibitisha kuanza kwa makangamono husika.

Mzee Mbowe atasaidiwa na binamu yake Godbless ambae anaminika ni mhamsishaji mzuri kwenye kuhamisisha ukuasanyaji wa michango.
CDM hoyeeeeeee!
 
Back
Top Bottom