Tetesi: TTB ilimpotosha rais kuhusu umuhimu wa matangazo CNN/royal tour

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411

Hawa TTB [Tanzania Tourist Board] walikana kumtuma huyu Mwijaku nchini Ufaransa na kutuandikia barua ndefu ya kanusho huku Mwijaku naye akifuta post yake aliyojirekodi siku akiondoka na kuwataja sponsors wake Hawa anayemiliki HAWA TOURS.

Walichosahau ni kuwa Teknolojia ni kitu kipo mbele kuliko akili zao na haisahau wala haidanganyiki.

Wakanushe na hii basi! Cha kushangaza hakuna atakayechukuliwa hatua kwa uongo ule akitumia nembo ya serikali na kula mshahara wa walipa kodi wa TZ ili awadanganye waTZ.

Nchi imekuwa ya kushangaza na mambo ya ajabu ajabu. Nchi ya chawa. Rais alienda India na Chawa, leo wapo Manyara kumpokea tena Rais kwa gharama za serikali yaani kodi za Mama Lishe,Bodaboda,Machinga.

Siku mbili zilizopita Rais Samia Suluhu akipokea ripoti ya Wizara Mambo ya nje, amekiri matumizi mabaya ya Wizara hiyo na utalii kujitangaza nje, huku akisema tulitumia mabilioni kujitngaza CNN na hakuna mtalii aliyeongezeka kutokea MAREKANI.
 
Siku mbili zilizopita rais Samia Suluhu Akipokea ripoti ya Wizara Mambo ya nje, amekiri matumizi mabaya ya Wizara hiyo na utalii kujitanga nje,
Hayo aliyasema vipi na wapi unaweza kunipa word by word (ad verbatim) sababu kama kweli alisema haya takuwa simweli....
huku akisema tulitumia mabilioni kujitngaza CNN na hakuna mtalii aliyeongezeka kutokea MAREKANI.
Tulitumia au walitumia ?, Tulitumia na nani tusiwe tunawaunganisha wananchi kwenye upuuzi..., mambo yakienda poa ni wao wamefanya wakifanya ndivyo ni sisi wote ndio tumefanya...
 
Kuna Wakati mtu unajikuta tu unawakubali Hamas

Dunia ina Upumbavu mwingi sana
Alafu mtu anakwambi tuna amani, yaani hayo mapoyoyo yanyoharibu watoto wa kike, kumbuka ile video Mwija akimla nyuma yule dada anaitwa Meniiiiiina, alafu hilo hilo lifi-ra,,,,haji ndio kodi zangu zinalipeleka ufaransa kutangaza utalii, hapo wanafki tunajifanya tunapinga upinge wakati ma roll model wetu ndio wanakula watu nyuma.
 
Back
Top Bottom