Hawa wanaweza kuwa ndio wale wafadhili wa Royol tour ambao tulifichwa , sasa wanapewa mapande ya aridhi, na wana binasifisha, fikiria Mzungu ana binasifisha Aridhi ya Umma.
======
Tanzania ni...
Lembeli aibukia jukwaa la Chadema, Kahama, akerwa na rushwa serikalini.
AKIHUTUBIA maelfu ya wananchi katika mikutano sita aliyoifanya leo kwenye jimbo la Ushetu na Kahama, mkoani Shinyanga...
Baada ya kupokea maoni mbalimbali ya wananchi na wadau kwa sasa serikali inachofanya ni kuandaa nyaraka mbalimbali za makubaliano na mikataba kama ilivyoshauriwa na kwa kuzingatia maslahi mapana...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amewapa Wakuu wa Mikoa mbinu mbalimbali za kutekeleza Diplomasia ya Uchumi katika Mikoa yao.
Dkt. Tax...
Mwendo wa kimyaaa kimya huku wakingoja watu wasahau tukisha sahau tutaiona bendera ya waarabu inapepea pale bandarini kimya kimya na hakuna hata gazeti litalo andika! tukianza kelele mwarabu...
Aisee, hivi inakuwaje muwekezaji mmoja tuu anafanya mpaka tubadili sheria za nchi ambazo zilitungwa kwa umakini mkubwa? Hii sheria ya maliasili ni mpya kabisa ya mwaka 2017 tuu hapo, ni kwa nini...
Rais Samia amesema Viongozi wa Serikali wajitahidi kutatua migogoro ya Ardhi kwa Wakati Kwani kuna migogoro mingi
Rais amesema Vita vingi duniani kwa sasa husababishwa na kugombea Ardhi na huko...
Hadi sasa sijaielewa kama Bunge bado ni Moja walio katika Umoja wa pamoja au wako makundi makundi
Bunge lamualika Nabii Mkuu GeoDavie Kufanya Maombi bungeni na barua ya mwaliko ilikabidhiwa kwa...
Vijana waliopo kwenye Vituo atamizi vya mafundo ya Kilimo Bora na ufugaji wa Kisasa wameanza kupata faida ya jasho lao.
Hii ni baada ya kuanza kuuza mifugo Yao wanayonenepesha na mbogamboga...
Viongozi wetu wanapatikanaje?
Na tunapimaje uwezo wao wa kuongoza? Je tuna mfumo wa kuwatengeneza? Job Description ya Kuwa Rais, Waziri Mkuu, Spika kwa Tanzania inataka vitu gani?
Nimekumbuka...
BRICS ni umoja mpya wa kiulimwengu ulioanzishwa na nchi 5 za awali za Brazil, Russia, India, China na South Afrika wenye lengo la kukwepa vikwazo vya kiuchumi, kisiasa, kijeshi na kijamii kutoka...
Bank ya pili katika utengenezaji faida nchini imeamua kurejea Riba yao ya awali wanayotoa mikopo Kwa baadhi ya watu, kutoka asilimia 13% iliyopunguzwa muda si mrefu Hadi asilimia 16%.
Hayo...
Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa.
Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana...
Katika ziara ya kongamano la uwekezaji huko Lindi nimemsikia wakisema Mama katengeneza mazingira ya wawekezaji ambayo ni rafiki, wawekezaji waje, kaulu ya kwamba sisi matajiri wakati hatuna uwezo...
https://youtu.be/45tUyT29Xx8?si=FiDJLgdgOnGlidgn
Nimewaona hawa wataalamu wa "TMA" kupitia Luninga ya "ITV"habari saa mbili jioni hii. wametoa tahadhali ya mvua kubwa za majanga almaarufu kama...
Ushauri tu.
Wengine kwa upande wetu tunaona bora zitoke timu kutoka kila upande unaopinga kwa hoja na unaokubali kwa hoja uwekezaji wa Dp world, hizo timu zizunguke nchi nzima kutoa hoja zao...
Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo.
Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa...
Ahitimisha Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji Mkoani Lindi
#Aelekeza Halmashauri nchini kuandaa Mpango wa Uchimbaji madini endelevu
Ruangwa - Lindi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
Agosti 20, mwaka huu, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), lillibua miadala baada ya kuitaka Serikali kusitisha mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi na kijamii, kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.