Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.
Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.
Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua...
Kwenye sakata la TL karibu kila organ ya serikali imetoa tamko (tusizungumzie utofauti wake) kuna vitu si vya kupuuza! Huku kwenye mitandao ya kijamii kuna mengi ya kweli na ya kizushi, ya...
Ni dhahiri na wazi kuwa Waziri January Makamba imemshinda wizara yake kutokana na ukosefu na usumbufu wa huduma ya umeme nchi nzima.
Ninachojiuliza kuwa ameshindikana vipi kuwajibishwa kwa jambo...
Nina wasiwasi na hawa CHADEMA kuwa ni tawi la CCM ,ukiangalia kwa undani utaona wananchi tumehamishiwa kwenye bandari,mbuga na mambo mengi ambayo mwisho wa siku tunapigwa na kufungwa bao la...
Wadau nawasabahi. Awamu ni vipindi vya Utawala wa Rais wa Nchi kwa Tanzania ni Miaka 5.
Wahenga walisema kila Kitabu na zama zake na mimi nasema kila AWAMU na CHUKIZO lake.Leo nataka nitaje...
Fuatilia yanayojiri kwenye Hafla ya Kutambua Mchango wa wadau kwenye Sekta ya Elimu, leo Agosti 31, 2023 ambapo Rais Mstaafu wa Awamu ya 4, Jakaya Kikwete ni Mgeni rasmi...
Tunakumbushana tu Kwani hadi sasa Wizara ya Mambo ya Nje ndio inaongoza kwa kutoa Marais Wawili waliongozana hayati Mkapa na mzee Kikwete
Lakini MFA inatamba sana kwenye 3 Bora za Kura za Maoni...
Ndugu Rais
Japo watu wanapenda kukuita rais wa awamu ya sita lakini mimi nakuona kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu anayekamilisha awamu ya tano.
Haina mantiki kwa mfano eti Rais...
Hii nchi ya Vietnam ni wajamaa kama "tulivyokuwa" sisi (almaarufu Socialist Republic of Vietnam), waliingia kwenye vita miaka ya 1950s mpaka katikati ya 1970s. Leo hii, wana shirika imara la...
Hakukuwahi kuwa na kura ya maoni ya kuwauliza wananchi kama wanataka mfumo wa vyama vingi au kuendelea na mfumo wa chama kimoja.
Hakukuwahi kuwa na tangazo lolote la kuwataka wananchi watoe maoni...
Balozi mstaafu Ali Siwa amekuwa katika utumishi wa umma tangu mwaka 1977 na kuweza kushika nafasi mbalimbali za uongozi.
Kati ya mwaka 2001 mpaka 2014, Balozi Mstaafu Ndugu Siwa alikuwa Afisa...
Ikumbukwe Viongozi Wakuu wa Chadema wako kanda ya Serengeti kwa ajili ya Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari zetu
Inasemekana baada ya Dkt. Dotto Biteko kutangazwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri...
1. Equatorial Guinea
Rais wake Teodoro Obiang Nguema; yuko madarakani kwa miaka 41 sasa. Mbili ya tatu ya wananchi wake wanaishi katika umaskini uliotopea licha ya kuwa nchi namba 3 kwa uzalishaji...
Kuna rafiki yangu lawyer kwenye NGO moja hapa NY ambayo yule dada Lisa Rockefeller ni board member, amenidokeza kuhusu issue ya huyu dada na yule kijana wa Bumbuli January Makamba.
Hii issue...
Sijui ana gundu au anamshauri vibaya Rais au anamdanyanya ukute😄
Alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! Ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda...
Sio dhambi wala jinai kuwa na ambitions za kuusaka uongozi wa juu wa nchi, lakini wengi wanakuwa consumed na ndoto hizo, wako distracted, wanafanya siasa zaidi kuliko kazi waliyopewa, wanahangaika...
Kila mtu anaona kabisa kuwa Mama anatamani kuachana na Majaliwa. Kwanini sasa asijiuzulu tu kama Ndugai yaishe!? Mwisho wa siku uje ulaumiwe kwa kila jambo bureee uwe mbuzi wa kafara.
Miaka 8...
TEC walipata kutoa waraka kipindi cha utawala wa hayati baba wa taifa (resty easy amen).
TEC walipata kutoa waraka kipindi cha utawala wa awamu ya 5, kupinga kiitwacho uminywaji wa haki za...
Marais saba wa nchi saba za Afrika ambao wamedumu kwa muda mrefu,Madarakani mpaka sasa.
1-Teodoro Obiang Nguema Mbasogo (Miaka-44 )Equatorial Guinea [emoji1119].
2-Paul Biya (Miaka-42 )
Cameroon...
NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO CHA TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja ameongoza kikao cha kimkakati cha kufanya mapitio ya...