BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,465
Reaction score
860,396
Kwenye sakata la TL karibu kila organ ya serikali imetoa tamko (tusizungumzie utofauti wake) kuna vitu si vya kupuuza! Huku kwenye mitandao ya kijamii kuna mengi ya kweli na ya kizushi, ya kusingizia na hata ya kupika, kutunga.....!!!!

Kuna mambo hayako sawa na ni vema mamlaka husika kuyatolea tamko ili kuweka mambo sawa.... Mojawapo ni hili la kuingiliwa na majasusi wa kinyarwanda mpaka kwenye organs muhimu kabisa za nchi.

Ukisoma huko mitandaoni wanasema kuna mabinti wa kinywaranda ni majasusi wabobezi lakini wamepozi kama Masuria, huku kwenye wizara mbalimbali za Serikali si mara ya kwanza kukamatwa raia wa Rwanda wakiwa tayari wana nyadhfa na madaraka makubwa na nyeti kabisa
Kinondoni kumewahi kuripotiwa kukamatwa raia wa Rwanda wanaojifanya ni wafanyabiashara lakini wakiwa na viashiria vingi vya kufanya zaidi ya biashara!

Sasa tunaambiwa kuna viongozi wakubwa wanalindwa na askari wa kinywaranda. Ni habari za kuogofya kama ni kweli na kama ni za kupikwa ZIKANUSHWE MARA MOJA!

Tusitende kwa makengeza, BAHIMA EMPIRE ni dhana kificho inayopata uhai kwa namna ya ajabu kabisa(BAHIMA EMPIRE inasemekana ni mpango wa siri lakini mahsusi na wa muda mrefu sana wa kuifanya Afrika mashariki kuwa chini ya utawala watu wa asili fulani).

Kwa sehemu kubwa kabisa inawezekana ni uzushi na mambo ya kutunga lakini lisemwalo lipo!

Waendesha mpango huo wa BAHIMA inasemekana ni watu wasomi werevu wenye rasilimali za kutosha na ujuzi wa kila aina
Pengine BAHIMA ni mpango tu wa kuficha jambo lingine kubwa lisilojulikana.

Tuna watanzania wenzetu wasomi na watu maarufu wengine wakiwa wanasheria tegemewa wamekatishwa maisha yao lakini tuhuma wakirushiwa kundi BAHIMA lenye asili ya Rwanda.

Kama hili ni kweli sifurahishwi kabisa na kuingiliwa kiasi hiki? Je huko kwenye vyombo vyetu vya ulinzi tuko salama kiasi gani? Je hakuna majasusi huko waliopandikizwa? Bungeni je? Na huko kwingine je?

Uchaguzi mkuu wa Rwanda umepita na kumrudisha Kagame madarakani kwa ushindi wa tsunami asilimia 98 lakini wote tumeshuhudia uchaguzi ule ulikuwa butu, ulikuwa ni uchaguzi kukamilisha ratiba na kukwepa rungu la kimataifa kuhusu demokrasia lakini haukuwa huru wala wa haki.

Roadmap kuelekea 2020 hapa kwetu inaanza kutupa mwanga wa jinsi uchaguzi utakavyokuwa... Kuna kila dalili tunanakili kila kitu kutoka Rwanda! Tunaona wazi upinzani unavyonyongwa kwa styles zilezile za Rwanda, dhumuni ni moja tu kuudhoofisha kabisa ili ikifika 2020 uko hoi kabisa... Kisha uchaguzi ambao Utakuwa na ushindi wa tsunami [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Sisi ni taifa kubwa lenye nguvu na watu makini sana, naamini story za BAHIMA empire ni za kufikirika zisizo na chembe ya ukweli! Na hata kama ni kweli basi ziishie huko huko..... Lakini ni mpaka pale itakapothibitika vinginevyo....!!!!
 
Screenshot_20170924-051349.png
 
Swala la hao mapandikizi wapo kila mahali, hukusikia Jeshini kuna Mnyarwanda alikimbia alikuwa kitengo cha IT
Huyu sijui aliishia wapi

La pili wakati wa mvutano wa Jakaya na Kagame, Kagame aliuambia Ulimwengu kwamba "atamtandika Jk na asijue amepigwa na nini "
Kauli hii ilitosha kabisa sisi kama nchi tuchukue tahadhari na pia sio tahadhari tu hatua madhubuti kabisa
Kauli hiyo maana yake ni kwamba Kagame ana uwezo wa ku penetrate security barriers na kuingia Ikulu yetu kumfanya chochote rais wetu
Maana yake ni moja tu ana watu wake kwenye system yetu na tupo uchi kwake
Sijui wahusika walichukua hatua gani maana mambo haya hayawekwi kwenye public domain ni classified
Pamoja na ombwe la uongozi tulio nao bado naamini Tanzania yetu ina watu makini ambao hawata ruhusu hayo ya Bahima empire kunawiri ila nina mashaka makubwa sana kwa sababu wazalendo wa nchi hii tunaaminishwa ndio wasaliti na wakiongea wazee wana washwashwa sijui tunaelekea wapi

Mungu ibariki Tanzania
 
Swala la hao mapandikizi wapo kila mahali, hukusikia Jeshini kuna Mnyarwanda alikimbia alikuwa kitengo cha IT
Huyu sijui aliishia wapi [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] sijui aliondoka na nyaraka kiasi gani... Watu kama hawa unamaliza kimyakimya tuu

La pili wakati wa mvutano wa Jakaya na Kagame, Kagame aliuambia ulimwengu kwamba "atamtandika Jk na asijue amepigwa na nini "
Kauli ilitosha kabisa sisi kama nchi tuchukue tahadhari na pia sio tahadhari tu hatua madhubuti kabisa
Kauli hiyo maana yake ni kwamba Kagame ana uwezo wa ku penetrate security barriers na kuingia Ikulu yetu kumfanya chochote rais wetu
Maana yake ni moja tu ana watu wake kwenye system yetu na tupo uchi kwake
Sijui wahusika walichukua hatua gani maana mambo hayawekwi kwenye public domain
Pamoja na ombwe la uongozi tulio nao bado naamini Tanzania yetu ina watu makini ambao hawata ruhusu hayo ya Bahima empire kunawiri ila nina mashaka makubwa sana

Mungu ibariki Tanzania
 
Kwenye sakata la TL karibu kila organ ya serikali imetoa tamko (tusizungumzie utofauti wake) kuna vitu si vya kupuuza! Huku kwenye mitandao ya kijamii kuna mengi ya kweli na ya kizushi, ya kusingizia na hata ya kupika, kutunga.....!!!!
Kuna mambo hayako sawa na ni vema mamlaka husika kuyatolea tamko ili kuweka mambo sawa.... Mojawapo ni hili la kuingiliwa na majasusi wa kinyarwanda mpaka kwenye organs muhimu kabisa za nchi
Ukisoma huko mitandaoni wanasema kuna mabinti wa kinywaranda ni majasusi wabobezi lakini wamepozi kama MASURIA, huku kwenye wizara mbalimbali za SERIKALI si mara ya kwanza kukamatwa raia wa Rwanda wakiwa tayari wana nyadhfa na madaraka makubwa na nyeti kabisa
Kinondoni kumewahi kuripotiwa kukamatwa raia wa Rwanda wanaojifanya ni wafanyabiashara lakini wakiwa na viashiria vingi vya kufanya zaidi ya biashara! Sasa tunaambiwa kuna viongozi wakubwa wanalindwa na askari wa kinywaranda.... Ni habari za kuogofya kama ni kweli na kama ni za kupikwa ZIKANUSHWE MARA MOJA! Tusitende kwa makengeza
BAHIMA EMPIRE ni dhana kificho inayopata uhai kwa namna ya ajabu kabisa(BAHIMA EMPIRE inasemekana ni mpango wa siri lakini mahsusi na wa muda mrefu sana wa kuifanya Afrika mashariki kuwa chini ya utawala watu wa asili fulani)
Kwa sehemu kubwa kabisa inawezekana ni uzushi na mambo ya kutunga lakini lisemwalo lipo! Waendesha mpango huo wa BAHIMA inasemekana ni watu wasomi werevu wenye rasilimali za kutosha na ujuzi wa kila aina
Pengine BAHIMA ni mpango tu wa kuficha jambo lingine kubwa lisilojulikana.... Tuna watanzania wenzetu wasomi na watu maarufu wengine wakiwa wanasheria tegemewa wamekatishwa maisha yao lakini tuhuma wakirushiwa kundi BAHIMA lenye asili ya Rwanda
Kama hili ni kweli sifurahishwi kabisa na kuingiliwa kiasi hiki? Je huko kwenye vyombo vyetu vya ulinzi tuko salama kiasi gani? Je hakuna majasusi huko waliopandikizwa? Bungeni je? Na huko kwingine je?
Uchaguzi mkuu wa Rwanda umepita na kumrudisha Kagame madarakani kwa ushindi wa tsunami asilimia 98View attachment 594527lakini wote tumeshuhudia uchaguzi ule ulikuwa butu, ulikuwa ni uchaguzi kukamilisha ratiba na kukwepa rungu la kimataifa kuhusu demokrasia... Lakini haukuwa huru wala wa haki
Roadmap kuelekea 2020 hapa kwetu inaanza kutupa mwanga wa jinsi uchaguzi utakavyokuwa... Kuna kila dalili tunanakili kila kitu kutoka Rwanda! Tunaona wazi upinzani unavyonyongwa kwa styles zilezile za Rwanda, dhumuni ni moja tu kuudhoofisha kabisa ili ikifika 2020 uko hoi kabisa... Kisha uchaguzi ambao Utakuwa na ushindi wa tsunami [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Sisi ni taifa kubwa lenye nguvu na watu makini sana, naamini story za BAHIMA empire ni za kufikirika zisizo na chembe ya ukweli! Na hata kama ni kweli basi ziishie huko huko..... Lakini ni mpaka pale itakapothibitika vinginevyo....!!!!

Kama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!

Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!
 
mimi naomba nitoe ushauri na maoni yangu kwa vyama vya upinzani kuelekea uchaguzi wa 2020, waanze kuweka nguvu zao zote katika katiba na mfumo wa vyama vingi urekebishwe kwa sheria zilizo wazi na kamilifu, na iwapo kama katiba haitarekebishwa kuondoa mfumo wa tume ya uchaguzi uliopo sasa basi ni heri kujitoa katika uchaguzi mkuu,

haina maana yeyote kushiriki na kupotezea watu muda, ni bora kuweka wazi kabisa kuwa hatuwezi kushiriki uchaguzi mkuu unaoendeshwa na tume ambayo mwenyekiti wake anachaguliwa na mwenyekiti wa ccm na sheria ambazo hazina mfumo wa serikali ya mpito ya kubadilshana madaraka ya serikali iwapo upinzani utashinda uchaguzi, wapinzani walione hili sasa hivi tusije kuanza kuzungumzia haya mambo miezi miwili kabla ya uchaguzi.
 
Kama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!

Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!

Taja wazazi au ndugu ama jamaa wa Nyerere walio hai au walio huko Rwanda la sivyo huu ni uchochezi dhidi ya wachochewa wa mchochezi.
 
Weka picha yw hao Bahima tuwaone kabisa ili tuwajue ili wakikatisha tu tunao!

Wakikaa nchale, wakichuchumaa nchale, wakikimbia nchale wskisimama nchale hadi mauti iwafike.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji115] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Taja wazazi au ndugu ama jamaa wa Nyerere walio hai au walio huko Rwanda la sivyo huu ni uchochezi dhidi ya wachochewa wa mchochezi.

Hilo liko wazi labda wewe ndiyo hulijui lkn Nyerere asili yao ni Unyarwanda, hilo Uzanaki wamejipachika tu na kujitungia!
 
Kama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!

Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!
Hapana Mchonga hakutaka kabisa hii himaya ya wa HIMA (BAHIMA) Istawi... Angalia michezo ya kikanda aliyoicheza pale Burundi na Uganda.... Nyerere ndio alikuwa mastermind wa kuhakikisha anaijenga Tanganyika yenye nguvu dhidi ya wa Hima/BAHIMA.... Hata kama anatuhumiwa kwa vifo vya watu fulani ilikuwa ni kwa maslahi mapana dhidi ya himaya yenye malengo ya siri
Kifo chake kilikuwa nafuu kubwa kwa akina M7 na KGM
79ff339f6fbc3b4db6f7aad169fd118f.jpg
 
Sijathibitisha chochote ila kama unayoyasema unayaamini kuwa ni ukweli basi ni mpango wa muda mrefu sana na haujaanza leo, Kifo cha Habyarimana TZ yetu inahusika kwa namna moja au nyingine kwa maana Habya alitunguliwa akitokea Dar yeye pmj na Raisi wa Urundi na intelligence walimuonya kwanza kutokwenda TZ kwani walidukuwa Infos za assassination, na huwo ndiyo uliokuwa mwanzo genocide iliyomuingiza Kagame na kupata powers kuna players wengi kuanzia CIA, French intelligence na wengineo, usisahau Museveni ni partner wa Kagame na aliyemuingiza au moja ya watu waliomuingiza Museveni madarakani ni Nyerere, Museveni alikuwa TZ kabla ya kufanya Mapinduzi UG, zingatia kwamba Kagame alikuwepo kwenye Jeshi la Museveni lililofanya Mapinduzi Uganda hivyo unganisha dots halafu uone kama Nyerere anachomoka hapo, hivyo kama ni kweli usemavyo basi ni mpango wa muda mrefu wa tangu Nyerere kwani Nyerere ana asili ya Unyarwanda, pia usiwasahahu Wazungu kwani Kagame amesoma USA !
 
Kama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!

Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!
rubbish, we all are products of centuries migrations
 
Back
Top Bottom