CHADEMA msilete longolongo - Dai dume ni KATIBA mpya na Tume Mpya ya Uchaguzi

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Nina wasiwasi na hawa CHADEMA kuwa ni tawi la CCM ,ukiangalia kwa undani utaona wananchi tumehamishiwa kwenye bandari,mbuga na mambo mengi ambayo mwisho wa siku tunapigwa na kufungwa bao la kisigino.

Bila ya madai dume ya kudai katiba mpya na tume mpya iliyo huru ya uchaguzi itakuwa haya makelele yote mwisho wa siku ,mnabaki kususia uchaguzi na wabunge waliobahatishwa wasiingie bungeni,mchezo umekwisha.

Ombi ni haya makelele mnayopiga sasa kwenye mikutano yenu hayana faida hata chembe ,kumpigia mbuzi gitaa na kuwaburusa wananchi kwenye tamaa ya fisi.

Liamsheni dude ,la madai ya Katiba mpya na tume huru ,kwanza yaekeni haya sawa na myadhibiti bila ya hivyo ni kujidanganya na kutumia hela tu.

Katiba mpya na Tume huru ndio mwarobaini wa matatizo yote yanayotukumba.
 
Mkuu ina maana madai ya katiba ni ya Chadema peke yake? Wewe mchango wako ni upi?
 
Mtawavuta wananchi wengi na mtapata kura zao nyingi tu ,ila kwenye kilele cha matokeo mnaburuzwa kwa mbali sana,mtawambia nini wananchi wakati hamkuwa wenye kuwahamasisha kuhusu madai ya tume huru na katiba mpya ?
mpo bize na bandari na CCM nao wanakwenda na nyinyi kiulaini kwa kuwaachia mwanya mseme mtakavyo ,wao jambo lao moja tu kuondoka na masanduku ya kura na kubadilisha matokeo.

Mnabaki na makelele ya uchaguzi sio wa haki,sio huru ,jua lishakuchwa na watu hao wanaondoka na ushindi wa che,
 
Nina wasiwasi na hawa CHADEMA kuwa ni tawi la CCM ,ukiangalia kwa undani utaona wananchi tumehamishiwa kwenye bandari,mbuga na mambo mengi ambayo mwisho wa siku tunapigwa na kufungwa bao la kisigino.

Bila ya madai dume ya kudai katiba mpya na tume mpya iliyo huru ya uchaguzi itakuwa haya makelele yote mwisho wa siku ,mnabaki kususia uchaguzi na wabunge waliobahatishwa wasiingie bungeni,mchezo umekwisha.

Ombi ni haya makelele mnayopiga sasa kwenye mikutano yenu hayana faida hata chembe ,kumpigia mbuzi gitaa na kuwaburusa wananchi kwenye tamaa ya fisi.

Liamsheni dude ,la madai ya Katiba mpya na tume huru ,kwanza yaekeni haya sawa na myadhibiti bila ya hivyo ni kujidanganya na kutumia hela tu.

Katiba mpya na Tume huru ndio mwarobaini wa matatizo yote yanayotukumba.
stupid , dai na wewe, why chadema?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom