Kutokea Mambo ya Nje Mkapa na Kikwete walifanikiwa kuwa Rais wa JMT, Salim Ahmed Salim, Migiro na Membe Walifeli. Makamba Jr atafaulu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Tunakumbushana tu Kwani hadi sasa Wizara ya Mambo ya Nje ndio inaongoza kwa kutoa Marais Wawili waliongozana hayati Mkapa na mzee Kikwete

Lakini MFA inatamba sana kwenye 3 Bora za Kura za Maoni

Je, Safari ya CCM kumpeleka January Makamba Ikulu ndio imeanza?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
si mlikubaliana rais wa muungano zamu hii atatoka kule Kizimkazi? Tunawakumbusha viongozi zama za kuishi kwa mazoea na janjajanja zimepitwa na wakati.

Walikubaliana kivipi?

Nakumbuka Kuna mtu aliwahi kusema tulikubaliana kuwa akitokea Rais huyu wa JMT ni zamu yangu

Aiseh nilishangaa sana yaan mnakubaliana kututawala mnavyotaka??
 
Tunakumbushana tu Kwani hadi sasa Wizara ya Mambo ya Nje ndio inaongoza kwa kutoa Marais Wawili waliongozana hayati Mkapa na mzee Kikwete

Lakini MFA inatamba sana kwenye 3 Bora za Kura za Maoni

Je, Safari ya CCM kumpeleka January Makamba Ikulu ndio imeanza?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Sababu ya Makamba kupelekwa mambo ya nje?
 
Nchi ilipofikia hata Bambo na Kingwendu wanaweza kuiongoza kama rais.

Hivyo hata mtu mwenye uwezo mdogo sana kama Makamba anaweza kuwa rais.

Sababu CCM na wizi wa kura, rushwa na uongo ndio dira yao na kigezo cha kupata madaraka.
 
Tunakumbushana tu Kwani hadi sasa Wizara ya Mambo ya Nje ndio inaongoza kwa kutoa Marais Wawili waliongozana hayati Mkapa na mzee Kikwete

Lakini MFA inatamba sana kwenye 3 Bora za Kura za Maoni

Je, Safari ya CCM kumpeleka January Makamba Ikulu ndio imeanza?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Ramli za Babu wa Loliondo kuwaza hivyo vipi Magufuli?
 
Tunakumbushana tu Kwani hadi sasa Wizara ya Mambo ya Nje ndio inaongoza kwa kutoa Marais Wawili waliongozana hayati Mkapa na mzee Kikwete

Lakini MFA inatamba sana kwenye 3 Bora za Kura za Maoni

Je, Safari ya CCM kumpeleka January Makamba Ikulu ndio imeanza?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kwani kale kautaratibu ka kuachiana kati ya wakristo na waislamu bado katakuwepo ifikapo 2030 ??!

Kama bado kapo basi itakuwa ni zamu ya wakristo 2030-2040 !

Makamba Mungu akipenda 2050 🙏🙏🙏 Lakini mimi hapo nitakuwa nilisha rudi nyumbani kwetu ni kuzuri 🙏🙏😅😅 ! Kwahiyo sitomshuhudia akiwa Ikulu !!
 
Tunakumbushana tu Kwani hadi sasa Wizara ya Mambo ya Nje ndio inaongoza kwa kutoa Marais Wawili waliongozana hayati Mkapa na mzee Kikwete

Lakini MFA inatamba sana kwenye 3 Bora za Kura za Maoni

Je, Safari ya CCM kumpeleka January Makamba Ikulu ndio imeanza?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kama suala ni kuongozana, basi anayefuata atatoka Wizara ya Ujenzi
 
Salim Ahmed Salim na Hayati Benard Camillius Membe walitokea foreign affairs na walikwama

Wizara ya Afya ya Muungano nayo imeshatoa ma Rais wawili wa Zanzibar na wote ni mtu na Baba yake
 
Kwani kale kautaratibu ka kuachiana kati ya wakristo na waislamu bado katakuwepo ifikapo 2030 ??!

Kama bado kapo basi itakuwa ni zamu ya wakristo 2030-2040 !

Makamba Mungu akipenda 2050 Lakini mimi hapo nitakuwa nilisha rudi nyumbani kwetu ni kuzuri ! Kwahiyo sitomshuhudia akiwa Ikulu !!
Baba Mzazi wa January ni Muislam, Mama Mzazi wa January ni Mkristo, Mke wa January ni Mkristo

ikifika muda wa kuchukua fomu ataamua awe Muislam or Mkristo, ikiwa 2030 atakuwa Mkristo na ikiwa 2050 atakuwa Muislam

watu kwny madaraka watafanya lolote ili wapate tu

Gabon huko wanashangilia kumaliza utawala wa Familia moja ya Bongo kwa miaka 56 lakini alieingia pia ni Binamu yale Ally Bongo
 
Nchi ilipofikia hata Bambo na Kingwendu wanaweza kuiongoza kama rais.

Hivyo hata mtu mwenye uwezo mdogo sana kama Makamba anaweza kuwa rais.

Sababu CCM na wizi wa kura, rushwa na uongo ndio dira yao na kigezo cha kupata madaraka.
Umewakosea heshima hao uliowataja, ungemtaja zembwela.
 
Tunakumbushana tu Kwani hadi sasa Wizara ya Mambo ya Nje ndio inaongoza kwa kutoa Marais Wawili waliongozana hayati Mkapa na mzee Kikwete

Lakini MFA inatamba sana kwenye 3 Bora za Kura za Maoni

Je, Safari ya CCM kumpeleka January Makamba Ikulu ndio imeanza?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
His failure shall be the worst ever to be mentioned.in his history
 
H
Baba Mzazi wa January ni Muislam, Mama Mzazi wa January ni Mkristo, Mke wa January ni Mkristo

ikifika muda wa kuchukua fomu ataamua awe Muislam or Mkristo, ikiwa 2030 atakuwa Mkristo na ikiwa 2050 atakuwa Muislam

watu kwny madaraka watafanya lolote ili wapate tu

Gabon huko wanashangilia kumaliza utawala wa Familia moja ya Bongo kwa miaka 56 lakini alieingia pia ni Binamu yale Ally Bongo
ahaha ha! Hatar sana 😀
 
Tunakumbushana tu Kwani hadi sasa Wizara ya Mambo ya Nje ndio inaongoza kwa kutoa Marais Wawili waliongozana hayati Mkapa na mzee Kikwete

Lakini MFA inatamba sana kwenye 3 Bora za Kura za Maoni

Je, Safari ya CCM kumpeleka January Makamba Ikulu ndio imeanza?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hakubaliki nguruwe pori huyu kigeugeu wa dini
 
Back
Top Bottom