Ukweli kuhusu ugomvi wa January Makamba na Lisa Rockefeller | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli kuhusu ugomvi wa January Makamba na Lisa Rockefeller

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Seacliff, Dec 7, 2010.

 1. S

  Seacliff Senior Member

  #1
  Dec 7, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kuna rafiki yangu lawyer kwenye NGO moja hapa NY ambayo yule dada Lisa Rockefeller ni board member, amenidokeza kuhusu issue ya huyu dada na yule kijana wa Bumbuli –January Makamba.

  Hii issue imemkera sana huyu dada na anaichukulia serious sana. January na Lisa walikuwa na uhusiano mzuri sana ambao ulishamiri zaidi wakati alipokuwa Marekani kwenye safari na JK ya kuonana na investors na donors.

  Lisa pia ndiye aliye-organize na rafiki yake wa “The Economist” kuandika ile piece ya January Makamba ambayo ilikuwa na objective ya kumsaidia kukuza profile yake kwenye kampeni.

  Kwa Lisa, January alionekana ni mtu progressive anayependa maendeleo na quite possibly future leader wa Tanzania.

  Wakati Lisa alipokuja Tanzania mara ya mwisho akakuta mradi aliotolea hela nyingi kule Mbeya haujafanyika, wakati alipewa guarantee na rafiki yake January kuwa hela hiyo itatumiwa kwenye huo mradi, alikuja juu na kudai accountability.

  January apparently akamjia juu na kumtishia kuwa yuko Bongo asilete ukoloni wa Kimarekani. Apparently, alimpa threats nyingi zaidi na kwa sababu ya hizo threats dada Lisa alizipeleka nyumbani na familia ikapiga simu Homeland Security.

  Ilibidi wamarekani wa-launch formal investigation ambayo mpaka sasa inaendelea.

  Kuna matisho aliyoyatoa January bila kufikiria madhara yake na huyu dada akayachukulia serious na kwa hasira sana. Kumbuka yeye alikuwa anategemea appreciation huku na quite honestly sidhani kama alikuwa na mambo mengine mengi zaidi ya kusaidia.

  Sasa hiyo ndiyo inasemekana imemfanya Mkulu ashindwe kumpa ule uwaziri ambao kijana alikuwa ana uhakika wa kuupata.

  Kuna habari pia kwamba kijana January amewekwa kwenye list mbaya ya Homeland Security na itakuwa vigumu sana kusafiri huku mpaka hii issue iwe cleared.
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  ma mods wa marekani wa m ban na kikwete kabisa!
   
 3. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  Mmmh, hii kali!
   
 4. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Tuwekee link ya chanzo cha habari ili TUJANUARIKE huko :teeth:
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mhh na hii ni post yako ya kwanza. Inaelekea wewe ni member mzoefu hapa JF ila umeamua kutoka kivingine. kwi kwi kwi kwi kwi.
  Mtoto wa nyoka ni chura? Hapana haijawahi kutokea katika historia ya dunia hii chura aliwahi kuzaa nyoka........... possibly unaelewa what I mean. Ni kwa sababu hiyo siwezi kuona ajabu kusoma kitu kama hiki hapa. Hata kama ni uongo lakini inaaminisha kwa sehemu moja au nyingine maana Chura huzaa chura na nyoka huzaa nyoka.
   
 6. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Tatizo la ulevi wa madaraka linawafanya watu wengine kuona unyonge wa watanzania unaendelea mpaka wa watu wengine wacha apate joto ya jiwe atajifunza next time.
   
 7. m

  mams JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mtoto wa nyoka katu hafundishwi kung'ata
   
 8. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  So it is true that Ernesto Sheka is January Makamba! If it's so that dude is BRAINLESS STEEL.
   
 9. A

  A Lady Senior Member

  #9
  Dec 7, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makwuba!
   
 10. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mpen ushaur azae nae, kes iishe!
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Naamini January Makamba yuko Jf anatakiwi kueleza umma wa watanzania juu ya habari hii kama ni ya kutengeneza itambomoa kama hataitolea ufafanuzi
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  January is that arrogant, I can totally believe this. Dangerously arrogant and power hungry in a by hooks and crooks style.

  Lisa is just a rich airhead who believes that these African dictator's entourages and hangers on should be responsible just because they spent time faking all that accountability bullshyt at George Mason.

  Now that this is brought into this perspective, even by a long shot, that sadly dilapidated article from "The Economist" makes perfect sense. I am glad The Economist is not my source for Africa's news.
   
 13. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  We inaonekana una beef na January, how can we trust your words.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Dec 7, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo January naye ni fisadi fisadi.

  Bongo bana yaani vurugu mechi tupu.
   
 15. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  QUOTE=Kiranga; I am glad The Economist is not my source for Africa's news.

  The Economist is a BALONEY newspaper. I don't know what is its stake on African continent. It acts like Uhuru,Habari Leo and Daily News Newspapers! No wonder it wrote an article giving praises to Kikwete and his doomed govt. that it has a blueprint democratic and well governed system in Africa!!
   
 16. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2010
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nafikiri ni vyema tukapata link ya hizo taarifa zako ili tupate kuchangia vizuri.....maana hizi habari ni vyeti sana.
  Mimi siwezi ku-comment mpaka nipate source za taarifa.....
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Duh! Kwa hiyo ubwabwa wa January ushaingia mchanga!
   
 18. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hivi wakuu vyanzo vya habari huwa vinatoka mbinguni?
   
 19. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  source ni rafiki yake huyo aliyemtaja kwenye mstari wa kwanza.
   
 20. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mtoto wa nyoka ni .......
   
Loading...