Ujana una mambo yake mengi sana tena Sana tu.
Mheshimiwa January Makamba Enzi hizo akiwa ni mmoja wa watarajiwa wa kuchukua fomu za Ugombea Urais CCM 2015, alitoa maoni kuwa siasa na uongozi wa...
Rais Buhari alipoingia madarakani alifanya baadhi ya maboresho kwenye uongozi na moja ya mabadiliko aliyofanya ni kujiteua kama waziri wa nishati wa Taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani...
Mh Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria , ametamka hadharani kwamba zaidi ya 50% hawaijui Katiba ya sasa , Kwa tafsiri ya Kawaida ni kwamba zaidi ya nusu ya Wananchi hawaijui Katiba...
Mmoja wa washiriki kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 amerusha swali kwa wawasilishaji Mike Mushi na Ayoub Rioba pamoja na meza ya Mgeni Rasmi Waziri Nape Nnauye kwanini...
Ndio ukweli huo.
Katika taifa la watu milioni 60 bado nafasi chache na nyeti zinazohitaji akili iliyochangamka na energetic lakini bado anateuliwa mstaafu anayetakiwa kukaa na wajukuu nyumbani...
Kwenye mada moja kwa moja bila kuchoshana.
Kwako Mh. Rais, naomba kama itakupendeza mtumbue Waziri wa Ardhi Anjelina Mabula na nafasi yake mpeleke Dotto Biteko huku Prof. Sospeter Muhongo...
Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.
Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya.
Watanzania...
Habari Wana JF,
Ukweli ni Ngumu sana kwa Upinzani kuchukua Madaraka ila Kwa sasa kama Upinzani hasa CHADEMA utafanikiwa kumshawishi Majaliwa kuhamia na kugombea Urais litakuwa pigo kubwa ka CCM...
Yanipasa kufikiria mara mbili tatu kwanini haya yanatokea.
Serikali yetu ya Tanzania ilishawahi kuingia mikataba mingi huko nyuma ambayo imeliingiza Taifa letu kwenye Hasara kubwa na wizi wa...
Pamoja na kwamba Majaliwa hapendi mambo mengi ya ajabu anayofanya mtawala, lakini mtu pekee ambaye atajaribu kufunika uovu wa mtawala wa sasa kwa kadri atakavyoweza ni Majaliwa. Tayari mikakati...
Zimbabwe tayari wapinzani wanadai kuibiwa uchaguzi.
Gabon uchaguzi wao ni leo:
"Huko kwenye mtandao wa internet, TCRA ya huko tayari imeshafanya yake."
Zaidi mno Serikali ya huko imepiga...
Kwa Hali ya maisha ilivyo ngumu bado TANESCO mkoa wa Mbeya, wanazima umeme kila siku wilaya ya Chunya bila kujali kuna watanzania wala bila kujali ni Jimbo lilliloko mikononi mwa CCM.
Katika hali...
1. 𝗞𝘂𝗸𝗮𝗺𝗮𝘁𝘄𝗮
Mnamo usiku wa manane tarehe 12 august 2023 siku ya ijumaa usiku tukiwa safarini tulikamatwa na askari polisi maeneo ya mikumi check point karibu na mizani. Askari hao walituambia...
Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa
Zaidi ya...
Hayo mabadiliko ya sheria yakipita kuwapa haki wawekezaji kumiliki ardhi, kuna hatari watu/mawakala wakaenda ughaibuni kufanya udalali wa kutafuta Makabaila wa kununua mlima Kilimanjaro ili...
MBUNGE wa Mvumi na Mjumbe wa NEC ya CCM Taifa, Livingstone Lusinde maarufu Kibaji ametajwa kushinikiza vikao vya NEC ya CCM kuwa Chama kimfukuze Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina.
Lusinde anadaiwa...
Taarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA.
Usajili huo Mpya umefanyika katika...
Kwanza niwarudishe nyuma, mnakumbuka kulikua na kitu kinaitwa "kikokotoo"? Mnakumbuka kilipingwa sana na kila mtu? Na kama mnakumbuka mpaka kigogo mmoja alitumbuliwa na Magu!
Sasa niwaulize baada...
Ulifanyika uchaguzi 2020, Chama Cha mapinduzi kilimpa Magufuli na sa100 ilani waliyopitia nayo Nchi nzima kuinadi Kwa wananchi.
Katika ilani hiyo ya 2020, hakuna mahala popote CCM ilimuelekeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.